Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

The force behind all power is Ernegy. God is Ernergy.
Ndio Mungu ni uwezo.
Shida kubwa hapa ni dini. Dini ndio inasababisha watu wawe na mashaka ya uwepo wa Mungu. Haswa kwa kutuambia kwamba tusipofanya mambo mema eti tutachomwa moto milele.
Things comes in pairs. Usiku kwa mchana, Magharibi kwa mashariki. Kushoto na kulia.
Hivyo hivyo Mungu na Shetani.
Mambo mazuri yoooʻote ni ya Upande wa Mungu. Upendo, fadhili, utu wema,nk
Mambo yote mabaya ni ya shetani. Wizi, fitina, uasherati nk hiyo ni mali ya shetani.
Angalia mpangilio wa dunia na ulimwengu kwa ujumla. Mzunguko wa jua na mwezi, Manyota na masayari jinsi yalivyojipanga. Unadhani huu mpangilio umekuja tu?
Kwa jinsi mambo yalivopangiliwa hapa Duniani, unadhani huyo mpanagiliaji wa mambo yeye hajapangiliwa?
 
Kwa sababu kitendo wanachofanyiwa si haki, kama ni kuua mtu anakatisha uhai wao kwa makusudi kama kubakwa basi mtu anawaingilia kwa nguvu bila wao kukubaliana nae.
umetumia kigezo gani kujua kama kuua au kubaka siyo haki?
 
umetumia kigezo gani kujua kama kuua au kubaka siyo haki?
Kigezo cha kwanza ni cha kimaadili au hata kiimani(Dini).Maadali ya jamii nyingi duniani yanaonesha kukatisha uhai wa mwanadamu mwenzio kwa makusudi na isivyo halali ni kosa sababu unamnyima haki ya kuishi mwanadam mwenzio hata imani za dini zinaonesha kuua kwa makusudi ni dhambi.
Kigezo cha pili yaweza kuwa sheria za nchi sababu nchi nyingi kama siyo zote duniani zinakataza kuuwa mtu kwa makusudi kabisa hasa wnaaangalia nia ya muuaji. Ndo maana kama unaua bila kukusudia si kosa, au umeua kwa kujilinda but kma umeua kwa kukusudia ni kosa sababu umenyima haki ya mwingine pasiposababu ya kuondoa uhai wake kwa njia halali kabisa.
Shida wewe nimekuuliza maswali mengi hujajibu hata moja badala yake unaendelea kuuliza maswali yakuzungukazunguka tu. Mimi nakujibu yako then yangu hujibu. Labda ulipuyanga na unataka kujifunza zaidi. But uwe unajibu maswali yangu na mimi nijifunze mengi kupitia wewe
 
Swali gani sijajibu?
 
Na mimi sihitaji huviamini hivyo vitabu nahitaji utumie akili kutambua uwepo wa aliyeumba kila kitu

Kwa unavyofikiria je asili ya mwanadam ni nini kama hajaumbwa na Mungu ???
na asili yake Mungu ni nini? si kwa ubaya lakini!
 
Hakuna mtu aliyethibitisha uwepo wa Mungu ama shetani,manake watu wakifa huwa hawarudi kutupa mrejesho kwa faida ya members kuwa huko kuna nini. Hivyo mambo haya ni ya kusadikika tu na hayana ukweli wowote.
 
Anateseka, ndugu zake
Umewahi kujua kwa nini wanyama wengine hawauani hovyo kiholela au kwa nini wanyama hawabaki??
Kinachowatesa ndugu zake ni nini?Hao wanyama wasiouana hawana sababu ya kuuana na siyo Kinga ya wengine kuuawa.

Hao wanyama wasiobaka labda bado hawajafikia kiwango cha kubaka.
 
Kwa jinsi mambo yalivopangiliwa hapa Duniani, unadhani huyo mpanagiliaji wa mambo yeye hajapangiliwa?
Kwanza kubali Kuna mpangaji wa mambo ya ulimwengu ndipo uwe na haki ya kuhoji huyo mpangaji alipangwa na nani.
 
Back
Top Bottom