pia tafuta na usome 'Soma Blood circulation, soma the Solar system, Soma Excretion etc humo utauona uwepo wa Mungu,
NB,
Tusisome kwajili ya kufaulu mitihani tusome kwa mazingatio. π
Mbona dini au mungu sasa havijasaidia Somalia, Sudan na Yemen kuepuka anarchy??Nakubaliana na wewe. Neno lenyewe "Anarchy " linaashiria kuasi dhidi ya mfumo mwema unaokubalika na wengi.
Kwa ivo hisia kwamba mfumo huo wa vurugu mechi (Anarch) ni mbaya ni kwa kuwa watu wanajua hawatakiwi kuishi aina hiyo ya maisha.
Sasa hoja yangu maisha mazuri au mabaya tafsiri yake haitoki kusikojulikana au kuwa na chanzo kinachotokana na uzowefu tu wa kuishi na kupambana na vikwazo katika maisha.
Hisia za hatia hazitokani na jinsi binadamu anavyoishi bali zinatokana na jinsi binadamu alivyoumbwa.
Bahati mbaya wengi wenye nadharia za mabadiliko ya binadamu kutokana na uzowefu wa maisha (evolution) hawataki kuamini kuwa binadamu kaumbwa na ingawa wenyewe hawana majibu kama hakuumbwa basi ametokeajetokeaje.
Nimeipenda hii mkuu, hata mimi nahisi hivyo piaI think Kuna uwezekano Mungu yupo lakini he might be outside the system and he automated everything not in a religious sense but the beginning. Or the universe is infinity it has no beginning or end, it's just there for years and years.
Shukran kwa nyongeza mkuu,pia tafuta na usome '
- Anatomy ya moyo
- Shinikizo la damu
- Sheria za fluid dynamics
- Evolutionary development ya mfumo wa moyo kwa viumbe na pia kasome
- Gravity (General Relativity)
- Planetary formation (accretion disks)
- Orbital mechanics'
bado hujaelewa basi tuambie kuwa science ilitaja jina la mungu kwa muktadha upiShukran kwa nyongeza mkuu,
Humo mote kuna vitu Science inaishia kutambua uwepo wa nguvu na utaalamu wa zaidi ya kawaida.(MUNGU).
sciece haijawahi kusema kuwa mungu hayupo pia haijawahi kusema kuwa mungu yupoShukran kwa nyongeza mkuu,
Humo mote kuna vitu Science inaishia kutambua uwepo wa nguvu na utaalamu wa zaidi ya kawaida.(MUNGU).
Habari mwanaJamii mwenzangu,Wakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi.
Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani.
Naishia hapa Kwa sasa.
Hakika mkuu π.Habari mwanaJamii mwenzangu,
Uko sahihi mkuu.
Katika kuona mda wake unakaribia, anafanya vitu wazi wazi ndo maana leo tunawajua mafreemason kuliko zamani walipojificha. Ukiona sherehe ya ufunguzi wa olympic ya michezo ya barafu kule Italia, utahisi papa haishi karibu, du!
Chungulia hata wengine wao walivostuka... link hii hapa
https://youtu.be/26BZ2ExQtug
Sasa, Marekani ndo kabisaa - mashoga wanalindwa na sheria, na makanisa mengi yamewakubali... hapo ndo ujue shetani kakamilisha yake marekani na ulaya (kwa wazungu kiujumla) - cheki vile anavombeep Mungu, bendera ya mashoga ni kama upinde wa mvua...
na sasa anatunyemelea sisi weusi vikali, espesheli vile sisi waumbwa na miongoni mwetu, waebrania na wayahudi halisi. Dunia ishasanuka, wanaojiita wayahudi leo hii ni feki.