Mungu Ndiye Anayejua Atakayempokea Urais Rais Samia 2030



Mungu ndo anajua kama wewe chawa utaonekana au la?
 
Tatizo unajidhalilisha mwenyewe,wewe nani anaye kulipa kufanya hili tangazo la kumpromote mtu ambaye anaweza kujipromote mwenyewe? kwa yale anayo yafanya kama kiongozi wa umma

Kama unaona hili ni jambo zuri kwako basi utakuwa na tatizo kichwani ,na kama ni uchu wa madaraka tu ,basi kwako umepitiliza

Basi,wakati ndio utakao amua ni nani ataongoza taifa hili na sio kama upigavyo ramri zako hizo chonganishi
 
Hayo ni mawazo yako kwa mtizamo wako . sisi sote hatuwezi kufanana katika kufikiri na ikifikia hatua ya kufanana katika kufikiri basi kutakuwa matatizo mahali fulani .
 
Ukitaka akina kinana wakuone, tengeneza agenda ambazo utaweza kuwashawishi watu wakakuelewa. Sasa ona uku jf kila Mtu anakukataa
Usiabdike jambo kwa ajili ya kuwafurahisha watu fulani Andika jambo kulingana na mtizamo na imani yako na siyo kukariri na kukaririshwa kama kasuku.
 
Wewe na yule bibi ako mkome!!
Sina sababu ya kuendelea kubishana na wewe maana nimeshaona akili yako imelegea mahali na unahitaji kuwa hospitali kuu ya akili pale Mirembe Dodoma ,upate matibabu bure kabisa pasipo malipo kwa afya ya akili yako.
 
Baba ako akupe shamba ukalime sio kupiga ramli uku. Kwanza nyie ndo mnamtengenezea rais picha mbaya kwa wananchi unasifia ovyo ovyo tu naamn yeye mwenyewe hapend wapuuzi kama nyie
Kama unaona nasifia sana basi nawe hujazuiliwa kukosoa unapoona pana mapungufu kuliko kuja hapa na kuropoka na kukurupuka,kwani nani kakwambia hapa ndio shambani? Au wewe hapa ndio unapopatia chakula kwa ajili ya tumbo lako? Kama huna shaba au shughuli ya kufanya na kuishia kuruka ruka hapa basi ni bora utafute kazi ya kufanya mitaani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…