Mungu ndiye anayejua kama hiyo 2025 atakuwepo au hatakuwepo.Umeenda mbali sana. Kuna 2025. Kama Mungu ndiye anayejua ni nani tampokea Samia 2030, je wewe unajua ni nani atakayempokea samia 2025?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ndiye anayejua kama hiyo 2025 atakuwepo au hatakuwepo.Umeenda mbali sana. Kuna 2025. Kama Mungu ndiye anayejua ni nani tampokea Samia 2030, je wewe unajua ni nani atakayempokea samia 2025?
Utakuwa umekosea ni wa kumpokea 2025, watanzania wamepanga kuachana na haya mauzauza ifikapo 2025.Ndugu zangu watanzania,
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo mbele yake,huyo ndiye humpa mtu njia na maarifa,humuandalia mazingira na watu wa kumvusha na kumshika mkono, Humficha dhidi ya maadui na kuwapumbaza wabaya ili wasiweze kumfikiria wala kumtupia mishale ya kumjeruhi.
wakati mwingine hawa wateule walioandaliwa na Mungu huwa hata hawaelewi kama wanajukumu zito mbele yao juu ya Taifa letu,huwa siyo watu wenye uchu wala uroho wa madaraka na huwezi ukawakuta wakitumia mafedha mengi kununua au kuutafuta uongozi, bali watu hawa hupiganiwa sana na watu wazalendo ndani ya chama kuanzia wazee hadi wastaafu, hupiganiwa sana na watu nyeti na muhimu ndani ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama,kuanzia usalama wa Taifa,JWTZ na polisi kwa ujumla.
Nawaambieni watanzania ya kuwa Mungu wetu ambaye amekuwa akilipigania Taifa letu Tayari ameshamuandaa Rais wetu ajaye baada ya mama Samia kumaliza muda wake 2030,Tayari ameshamuweka sawa katika ulimwengu wa kiroho,Tayari ameshayaelekeza macho,masikio na hisia ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa mtu huyo ili waendelee kumlinda dhidi ya waroho na mafia wa kimadaraka.Tayari ameshaweka mkono wake juu ya mtu huyo, Tayari ameshatoa kibali kwake na kumpatia,ujio wake utapokelewa kwa shangwe , nderemo na vifijo katika kuendeleza kazi njema na ya kutukuka anayoendelea kuifaya Rais samia mpaka 2030.
Mungu ndiye anajuwa kwanini Amemuandaa huyo, kwanini kwa wakati huo ,Hivyo ndivyo alivyomuinua katika ulimwengu wa kiroho hayati Baba wa Taifa mwalimu nyerere ,mh Mzee Alli Hassan mwinyi ,Hayati Benjamini William mkapa ,Mh Dr Jakaya mrisho Kikwete,Hayati Dr John Pombe Joseph magufuli na Hatimaye mama wa Shoka kipenzi cha watanzania nuru ya wanyonge na Taa ya Taifa mh mama samia suluhu Hasssan.
Jiulizeni wakati wa kuinuliwa kwa mh All Hassan mwinyi kuliongoza Taifa letu kulikuwa na watu wangapi waliokuwa wakitupiwa macho kumrithi mwalimu nyerere nje ya mwinyi mwenyewe? Vipi wakati wa kuinuliwa kwa Hayati Benjamin mkapa ambaye wakati huo hakuwa maarufu sana ndani ya chama na hata kwa watanzania na wagombea wenzake? Vipi wakati wa mh Dr Jakaya mrisho Kikwete kulikuwa na wagombea wangapi? Vipi wakati wa hayati Dr Magufuli? Nani alitegemea kuwa ndiye angepewa ridhaa yakupeperusha Bendera ya chama mbele ya akina marehemu Benard kamilliusi Membe Au mh Edward lowassa aliyejiandaa kwa vita ya kuutaka Urais Tangia miaka ya Tisini?
Wenyeviti wangapi wa mikoa, wabunge, makatibu wa wa CCM wa mikoa walikuwa wakimuunga mkono mh lowassa? Mnakumbuka wimbo ulioimbwa wakati mh Kikwete akiingia ukumbini juu ya lowassa? Mnafikiri kwa nini aliinuliwa hayati Dr magufuli na kuwaacha wote na majina yao makubwa na ya kihistoria ndani ya chama na ndani ya serikali?
Jibu ni kuwa uongozi unatoka kwa Mungu na kila mtu huinuliwa Na Mungu kwa makusudi maalumu na kwa wakati wake na Mungu akikupitisha katika ulimwengu wa kiroho hakuna mwanadamu yeyote wa cheo chochote awezaye kukuzuia ,kila mtu huja kwa sababu ya kutimiza kusudi fulani alilolipanga mwenyezi Mungu kulingana na makusudi yake katika ulimwengu wa kiroho. Watu hawa wakati mwingine wanaweza pata vikwazo mbalimbali au kukataliwa na wenye kupitisha au kuamua .
lakini kwa kuwa Mungu huwa ameamua juu ya watu hao, basi huishia kushinda kwa kuwekewa watu ambao watazungumza na sauti zao zikasikika au kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo huweka kauli zao juu ya nani ambaye wangependa kufanya naye kazi kwa wakati huo na kwasababu zipi na kwa Taarifa zipi za kiusalama juu ya mhusika.
watu hao siyo wale ambao huwa wanatajwa tajwa hadharani,huja tu kama mshangao kwa wengi au kwa lazima au kwa kuhitajika na watu walio wengi kutegemeana namna Mungu alivyoamua kuwapitisha na kuwafikisha mbele za watu,wengine anaweza waleta kwa kukubalika kwao kuanzia mwanzo hadi mwisho kiutendaji, kiuchapa kazi pamoja na misimamo yao katika historia zao au safari zao za kiutumishi .na wengine akawaleta mwishoni na kuwainua ghafla na kuwapa kibali mkononi mwao.
Ukiona mtu amekuwa mkuu wa nchi yaani Rais na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwa Taifa letu ,basi ujue kuna vita iliyopiganwa na Mwenyezi Mungu katika kumuinua mhusika.kuna kinga ya kiroho aliyopewa mhusika kuwashinda wengine .
Ndio maana asiyejuwa haya mambo anaweza kuhangaika kutafuta na kuiba mahela serikalini ili kuja kununua wapiga kula lakini akaishia kuanguka kwa laana ya kuwaibia watanzania wanyonge fedha ambazo zingenunua dawa mahospitalini au vifaa tiba na kuokoa vifo vya baadhi ya watu waliotangulia mbele za haki kwa kukosa madawa au vifaa tiba ambavyo wakati huo havifanyi kazi kwa sababu fedha za kutengenezea hazipo, na huku mwingine amejirundikia kwa ufisadi ili aje awanunue wajumbe.
Tuendelee kumuomba Mungu wetu aendelee kumbaliki na kumlinda Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan ili aendelee kututumikia watanzania kwa moyo wa upendo na huruma. Aendelee kumtia nguvu na kumpatia njia na maarifa ya kuliongoza Taifa, maana pekee yake kwa akili za kibinadamu hawezi pasipo msaada wake Mungu, Aendelee kumpa ujasiri wa kuyakabili yote yajayo mbele yake pasipo kuyumba wala kuyumbishwa, maana Mamilioni ya Watanzania wengi Tupo nyuma yake na upande wake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mkuu Lucas mwashambwa kwanza niendelee kukupongeza kwa kipaji cha kuandika, ila leo pia ndio nimejua pia una upako wa kuhubiri.Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo mbele yake,huyo ndiye humpa mtu njia na maarifa,humuandalia mazingira na watu wa kumvusha na kumshika mkono, Humficha dhidi ya maadui na kuwapumbaza wabaya ili wasiweze kumfikiria wala kumtupia mishale ya kumjeruhi.
Ni kweliwakati mwingine hawa wateule walioandaliwa na Mungu huwa hata hawaelewi kama wanajukumu zito mbele yao juu ya Taifa letu,huwa siyo watu wenye uchu wala uroho wa madaraka na huwezi ukawakuta wakitumia mafedha mengi kununua au kuutafuta Uongozi, bali watu hawa hupiganiwa sana na watu Wazalendo ndani ya chama kuanzia Wazee hadi wastaafu, hupiganiwa sana na watu nyeti na muhimu ndani ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama,kuanzia Usalama wa Taifa,JWTZ na polisi kwa ujumla.
Jee una uhakika ni Samia ndie ameandaliwa na Mungu kwa 2025?. Mimi nilitoa wito huu Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na baadae nikaisikia sauti hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje MwanamkeNawaambieni Watanzania ya kuwa Mungu wetu ambaye amekuwa akilipigania Taifa letu Tayari ameshamuandaa Rais wetu ajaye baada ya Mama Samia kumaliza muda wake 2030,
Nashauri tusibiri yaTayari ameshamuweka sawa katika ulimwengu wa kiroho,Tayari ameshayaelekeza macho,masikio na hisia ya vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama kwa mtu huyo ili waendelee kumlinda dhidi ya waroho na mafia wa kimadaraka.Tayari ameshaweka mkono wake juu ya mtu huyo, Tayari ameshatoa kibali kwake na kumpatia,ujio wake utapokelewa kwa shangwe , nderemo na vifijo katika kuendeleza kazi njema na ya kutukuka anayoendelea kuifaya Rais samia mpaka 2030.
Naunga mkono hojaMungu ndiye anajuwa kwanini Amemuandaa huyo, kwanini kwa wakati huo ,Hivyo ndivyo alivyomuinua katika Ulimwengu wa kiroho hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ,Mh Mzee Alli Hassan Mwinyi ,Hayati Benjamini William Mkapa ,Mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete,Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli na Hatimaye Mama wa Shoka kipenzi cha Watanzania nuru ya wanyonge na Taa ya Taifa Mh Mama Samia Suluhu Hasssan.
Naunga mkono hojaJiulizeni wakati wa kuinuliwa kwa Mh All Hassan Mwinyi kuliongoza Taifa letu kulikuwa na watu wangapi waliokuwa wakitupiwa macho kumrithi Mwalimu Nyerere nje ya Mwinyi mwenyewe? Vipi wakati wa kuinuliwa kwa Hayati Benjamin Mkapa ambaye wakati huo hakuwa maarufu sana ndani ya chama na hata kwa Watanzania na wagombea wenzake? Vipi wakati wa Mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete kulikuwa na wagombea wangapi?
Naunga mkono hoja, hii ya kuinuliwa kwa JPM, mimi nilikutangaza humu mwaka mmoja kabla Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli by that time hata JPM mwenyewe alikuwa hajui!.Vipi wakati wa Hayati Dr Magufuli? Nani alitegemea kuwa ndiye angepewa ridhaa yakupeperusha Bendera ya chama mbele ya akina marehemu Benard Camilliusi Membe Au Mh Edward Lowassa aliyejiandaa kwa vita ya kuutaka Urais Tangia miaka ya Tisini?
Naunga mkono hojaWenyeviti wangapi wa Mikoa, Wabunge, Makatibu wa CCM wa Mikoa walikuwa wakimuunga mkono Mh Lowassa? Mnakumbuka wimbo ulioimbwa wakati mlMh Kikwete akiingia ukumbini juu ya Lowassa? Mnafikiri kwa nini aliinuliwa hayati Dr Magufuli na kuwaacha wote na majina yao makubwa na ya kihistoria ndani ya Chama na ndani ya Serikali?
Naunga mkono hojaJibu ni kuwa uongozi unatoka kwa Mungu na kila mtu huinuliwa Na Mungu kwa makusudi maalumu na kwa wakati wake na Mungu akikupitisha katika ulimwengu wa kiroho hakuna Mwanadamu yeyote wa Cheo chochote awezaye kukuzuia ,kila mtu huja kwa sababu ya kutimiza kusudi fulani alilolipanga Mwenyezi Mungu kulingana na makusudi yake katika Ulimwengu wa kiroho. Watu hawa wakati mwingine wanaweza pata vikwazo mbalimbali au kukataliwa na wenye kupitisha au kuamua .
Naunga mkono hojalakini kwa kuwa Mungu huwa ameamua juu ya watu hao, basi huishia kushinda kwa kuwekewa watu ambao watazungumza na sauti zao zikasikika au kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo huweka kauli zao juu ya nani ambaye wangependa kufanya naye kazi kwa wakati huo na kwasababu zipi na kwa Taarifa zipi za kiusalama juu ya mhusika.
watu hao siyo wale ambao huwa wanatajwa tajwa hadharani,huja tu kama mshangao kwa wengi au kwa lazima au kwa kuhitajika na watu walio wengi kutegemeana namna Mungu alivyoamua kuwapitisha na kuwafikisha mbele za watu,wengine anaweza waleta kwa kukubalika kwao kuanzia mwanzo hadi mwisho kiutendaji, kiuchapa kazi pamoja na misimamo yao katika historia zao au safari zao za kiutumishi .na wengine akawaleta mwishoni na kuwainua ghafla na kuwapa kibali mkononi mwao.
Naunga mkono hojaUkiona mtu amekuwa Mkuu wa Nchi yaani Rais na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama kwa Taifa letu ,basi ujue kuna vita iliyopiganwa na Mwenyezi Mungu katika kumuinua mhusika.kuna kinga ya kiroho aliyopewa mhusika kuwashinda wengine .
Hili la laana ni kweli, na sio tuu laana ya kuiba fedha na kununua kura, hata kushinda uchaguzi kwa hila, kuwafanyia wapinzani figisu, mhusika unapata laana!, hili nililizungumza humu Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!Ndio maana asiyejuwa haya mambo anaweza kuhangaika kutafuta na kuiba mahela serikalini ili kuja kununua wapiga kula lakini akaishia kuanguka kwa laana
Naunga mkono hojaTuendelee kumuomba Mungu wetu aendelee kumbaliki na kumlinda Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan ili aendelee kututumikia Watanzania kwa moyo wa upendo na huruma. Aendelee kumtia nguvu na kumpatia njia na maarifa ya kuliongoza Taifa, maana peke yake kwa akili za Kibinadamu hawezi pasipo msaada wake Mungu,
Naunga mkono hoja, na katika kuyakubali yote pia ampe ujasiri wa kujiandaa kisaikojia endapo atashauriwa vinginevyo kuhusu 2025Aendelee kumpa ujasiri wa kuyakabili yote yajayo mbele yake pasipo kuyumba wala kuyumbishwa, maana Mamilioni ya Watanzania wengi Tupo nyuma yake na upande wake.
Naunga mkono hojaKazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda Nchi yangu.
0742-676627.
Mazeri sijui kama atafikai 2025Umeenda mbali sana. Kuna 2025. Kama Mungu ndiye anayejua ni nani tampokea Samia 2030, je wewe unajua ni nani atakayempokea samia 2025?
Njoo mitaani uwaambie hivyo watanzania uone namna watakavyokufurusha kwa hasira kali.maana watanzania wanamkubali sana Rais Samia na ndio maana wameamua kumpa tena muhula wa pili ili awaongoze Tena.Utakuwa umekosea ni wa kumpokea 2025, watanzania wamepanga kuachana na haya mauzauza ifikapo 2025.
Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu ambaye amekuwa akimpigania ,kumlinda na kumtetea ataendelea kusimama naye na kuendelea kumpatia uzima na afya njema ya kuendelea kututumikia watanzania. Watanzania kwa mamilioni wameamua kwenda na Rais samia uchaguzi ujao ili atuongoze mpaka 2030Mazeri sijui kama atafikai 2025
2025 hafikiNoooooooooooooooooooooooooooo Mimi sio mburundi ni mtanzania nasema nooooooooooooooo mwisho 2025
MIE NADHANI WEWE ULIFAA SANA UMPOKEENdugu zangu watanzania,
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo mbele yake,huyo ndiye humpa mtu njia na maarifa,humuandalia mazingira na watu wa kumvusha na kumshika mkono, Humficha dhidi ya maadui na kuwapumbaza wabaya ili wasiweze kumfikiria wala kumtupia mishale ya kumjeruhi.
wakati mwingine hawa wateule walioandaliwa na Mungu huwa hata hawaelewi kama wanajukumu zito mbele yao juu ya Taifa letu,huwa siyo watu wenye uchu wala uroho wa madaraka na huwezi ukawakuta wakitumia mafedha mengi kununua au kuutafuta uongozi, bali watu hawa hupiganiwa sana na watu wazalendo ndani ya chama kuanzia wazee hadi wastaafu, hupiganiwa sana na watu nyeti na muhimu ndani ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama,kuanzia usalama wa Taifa,JWTZ na polisi kwa ujumla.
Nawaambieni watanzania ya kuwa Mungu wetu ambaye amekuwa akilipigania Taifa letu Tayari ameshamuandaa Rais wetu ajaye baada ya mama Samia kumaliza muda wake 2030,Tayari ameshamuweka sawa katika ulimwengu wa kiroho,Tayari ameshayaelekeza macho,masikio na hisia ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa mtu huyo ili waendelee kumlinda dhidi ya waroho na mafia wa kimadaraka.Tayari ameshaweka mkono wake juu ya mtu huyo, Tayari ameshatoa kibali kwake na kumpatia,ujio wake utapokelewa kwa shangwe , nderemo na vifijo katika kuendeleza kazi njema na ya kutukuka anayoendelea kuifaya Rais samia mpaka 2030.
Mungu ndiye anajuwa kwanini Amemuandaa huyo, kwanini kwa wakati huo ,Hivyo ndivyo alivyomuinua katika ulimwengu wa kiroho hayati Baba wa Taifa mwalimu nyerere ,mh Mzee Alli Hassan mwinyi ,Hayati Benjamini William mkapa ,Mh Dr Jakaya mrisho Kikwete,Hayati Dr John Pombe Joseph magufuli na Hatimaye mama wa Shoka kipenzi cha watanzania nuru ya wanyonge na Taa ya Taifa mh mama samia suluhu Hasssan.
Jiulizeni wakati wa kuinuliwa kwa mh All Hassan mwinyi kuliongoza Taifa letu kulikuwa na watu wangapi waliokuwa wakitupiwa macho kumrithi mwalimu nyerere nje ya mwinyi mwenyewe? Vipi wakati wa kuinuliwa kwa Hayati Benjamin mkapa ambaye wakati huo hakuwa maarufu sana ndani ya chama na hata kwa watanzania na wagombea wenzake? Vipi wakati wa mh Dr Jakaya mrisho Kikwete kulikuwa na wagombea wangapi? Vipi wakati wa hayati Dr Magufuli? Nani alitegemea kuwa ndiye angepewa ridhaa yakupeperusha Bendera ya chama mbele ya akina marehemu Benard kamilliusi Membe Au mh Edward lowassa aliyejiandaa kwa vita ya kuutaka Urais Tangia miaka ya Tisini?
Wenyeviti wangapi wa mikoa, wabunge, makatibu wa wa CCM wa mikoa walikuwa wakimuunga mkono mh lowassa? Mnakumbuka wimbo ulioimbwa wakati mh Kikwete akiingia ukumbini juu ya lowassa? Mnafikiri kwa nini aliinuliwa hayati Dr magufuli na kuwaacha wote na majina yao makubwa na ya kihistoria ndani ya chama na ndani ya serikali?
Jibu ni kuwa uongozi unatoka kwa Mungu na kila mtu huinuliwa Na Mungu kwa makusudi maalumu na kwa wakati wake na Mungu akikupitisha katika ulimwengu wa kiroho hakuna mwanadamu yeyote wa cheo chochote awezaye kukuzuia ,kila mtu huja kwa sababu ya kutimiza kusudi fulani alilolipanga mwenyezi Mungu kulingana na makusudi yake katika ulimwengu wa kiroho. Watu hawa wakati mwingine wanaweza pata vikwazo mbalimbali au kukataliwa na wenye kupitisha au kuamua .
lakini kwa kuwa Mungu huwa ameamua juu ya watu hao, basi huishia kushinda kwa kuwekewa watu ambao watazungumza na sauti zao zikasikika au kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo huweka kauli zao juu ya nani ambaye wangependa kufanya naye kazi kwa wakati huo na kwasababu zipi na kwa Taarifa zipi za kiusalama juu ya mhusika.
watu hao siyo wale ambao huwa wanatajwa tajwa hadharani,huja tu kama mshangao kwa wengi au kwa lazima au kwa kuhitajika na watu walio wengi kutegemeana namna Mungu alivyoamua kuwapitisha na kuwafikisha mbele za watu,wengine anaweza waleta kwa kukubalika kwao kuanzia mwanzo hadi mwisho kiutendaji, kiuchapa kazi pamoja na misimamo yao katika historia zao au safari zao za kiutumishi .na wengine akawaleta mwishoni na kuwainua ghafla na kuwapa kibali mkononi mwao.
Ukiona mtu amekuwa mkuu wa nchi yaani Rais na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwa Taifa letu ,basi ujue kuna vita iliyopiganwa na Mwenyezi Mungu katika kumuinua mhusika.kuna kinga ya kiroho aliyopewa mhusika kuwashinda wengine .
Ndio maana asiyejuwa haya mambo anaweza kuhangaika kutafuta na kuiba mahela serikalini ili kuja kununua wapiga kula lakini akaishia kuanguka kwa laana ya kuwaibia watanzania wanyonge fedha ambazo zingenunua dawa mahospitalini au vifaa tiba na kuokoa vifo vya baadhi ya watu waliotangulia mbele za haki kwa kukosa madawa au vifaa tiba ambavyo wakati huo havifanyi kazi kwa sababu fedha za kutengenezea hazipo, na huku mwingine amejirundikia kwa ufisadi ili aje awanunue wajumbe.
Tuendelee kumuomba Mungu wetu aendelee kumbaliki na kumlinda Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan ili aendelee kututumikia watanzania kwa moyo wa upendo na huruma. Aendelee kumtia nguvu na kumpatia njia na maarifa ya kuliongoza Taifa, maana pekee yake kwa akili za kibinadamu hawezi pasipo msaada wake Mungu, Aendelee kumpa ujasiri wa kuyakabili yote yajayo mbele yake pasipo kuyumba wala kuyumbishwa, maana Mamilioni ya Watanzania wengi Tupo nyuma yake na upande wake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Huu ni Utawala wenye Baraka za Mwenyezi Mungu,Ndio maana unaendelea kutawaliwa na utulivu na Amani.Sio kwa utawala hu wa Firauni.
Anafika kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na Maombi yetu Watanzania Tunaoendelea kukesha Tukimuombea Rais wetu.2025 hafiki
Nashukuru sana Mkuu na Nimepokea na Kujitahidi kufanya hayo Marekebisho japo naweza nikawa Sijafanikiwa kuyamaliza.Mkuu Lucas mwashambwa kwanza niendelee kukupongeza kwa kipaji cha kuandika, ila leo pia ndio nimejua pia una upako wa kuhubiri.
Leo naomba nikupige darasa kidogo, nimenote makosa ya mtoto wa darasa la tatu katika andiko hili nakuwekea marekebisho with numbers ili urekebishe ndipo nije kwenye contents.
P
Hongera sana, unakwenda kuwa a very great man humu jukwaani.Nashukuru sana Mkuu na Nimepokea na Kujitahidi kufanya hayo Marekebisho japo naweza nikawa Sijafanikiwa kuyamaliza.
Ndugu zangu watanzania,
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo mbele yake,huyo ndiye humpa mtu njia na maarifa,humuandalia mazingira na watu wa kumvusha na kumshika mkono, Humficha dhidi ya maadui na kuwapumbaza wabaya ili wasiweze kumfikiria wala kumtupia mishale ya kumjeruhi.
wakati mwingine hawa wateule walioandaliwa na Mungu huwa hata hawaelewi kama wanajukumu zito mbele yao juu ya Taifa letu,huwa siyo watu wenye uchu wala uroho wa madaraka na huwezi ukawakuta wakitumia mafedha mengi kununua au kuutafuta uongozi, bali watu hawa hupiganiwa sana na watu wazalendo ndani ya chama kuanzia wazee hadi wastaafu, hupiganiwa sana na watu nyeti na muhimu ndani ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama,kuanzia usalama wa Taifa,JWTZ na polisi kwa ujumla.
Nawaambieni watanzania ya kuwa Mungu wetu ambaye amekuwa akilipigania Taifa letu Tayari ameshamuandaa Rais wetu ajaye baada ya mama Samia kumaliza muda wake 2030,Tayari ameshamuweka sawa katika ulimwengu wa kiroho,Tayari ameshayaelekeza macho,masikio na hisia ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa mtu huyo ili waendelee kumlinda dhidi ya waroho na mafia wa kimadaraka.Tayari ameshaweka mkono wake juu ya mtu huyo, Tayari ameshatoa kibali kwake na kumpatia,ujio wake utapokelewa kwa shangwe , nderemo na vifijo katika kuendeleza kazi njema na ya kutukuka anayoendelea kuifaya Rais samia mpaka 2030.
Mungu ndiye anajuwa kwanini Amemuandaa huyo, kwanini kwa wakati huo ,Hivyo ndivyo alivyomuinua katika ulimwengu wa kiroho hayati Baba wa Taifa mwalimu nyerere ,mh Mzee Alli Hassan mwinyi ,Hayati Benjamini William mkapa ,Mh Dr Jakaya mrisho Kikwete,Hayati Dr John Pombe Joseph magufuli na Hatimaye mama wa Shoka kipenzi cha watanzania nuru ya wanyonge na Taa ya Taifa mh mama samia suluhu Hasssan.
Jiulizeni wakati wa kuinuliwa kwa mh All Hassan mwinyi kuliongoza Taifa letu kulikuwa na watu wangapi waliokuwa wakitupiwa macho kumrithi mwalimu nyerere nje ya mwinyi mwenyewe? Vipi wakati wa kuinuliwa kwa Hayati Benjamin mkapa ambaye wakati huo hakuwa maarufu sana ndani ya chama na hata kwa watanzania na wagombea wenzake? Vipi wakati wa mh Dr Jakaya mrisho Kikwete kulikuwa na wagombea wangapi? Vipi wakati wa hayati Dr Magufuli? Nani alitegemea kuwa ndiye angepewa ridhaa yakupeperusha Bendera ya chama mbele ya akina marehemu Benard kamilliusi Membe Au mh Edward lowassa aliyejiandaa kwa vita ya kuutaka Urais Tangia miaka ya Tisini?
Wenyeviti wangapi wa mikoa, wabunge, makatibu wa wa CCM wa mikoa walikuwa wakimuunga mkono mh lowassa? Mnakumbuka wimbo ulioimbwa wakati mh Kikwete akiingia ukumbini juu ya lowassa? Mnafikiri kwa nini aliinuliwa hayati Dr magufuli na kuwaacha wote na majina yao makubwa na ya kihistoria ndani ya chama na ndani ya serikali?
Jibu ni kuwa uongozi unatoka kwa Mungu na kila mtu huinuliwa Na Mungu kwa makusudi maalumu na kwa wakati wake na Mungu akikupitisha katika ulimwengu wa kiroho hakuna mwanadamu yeyote wa cheo chochote awezaye kukuzuia ,kila mtu huja kwa sababu ya kutimiza kusudi fulani alilolipanga mwenyezi Mungu kulingana na makusudi yake katika ulimwengu wa kiroho. Watu hawa wakati mwingine wanaweza pata vikwazo mbalimbali au kukataliwa na wenye kupitisha au kuamua .
lakini kwa kuwa Mungu huwa ameamua juu ya watu hao, basi huishia kushinda kwa kuwekewa watu ambao watazungumza na sauti zao zikasikika au kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo huweka kauli zao juu ya nani ambaye wangependa kufanya naye kazi kwa wakati huo na kwasababu zipi na kwa Taarifa zipi za kiusalama juu ya mhusika.
watu hao siyo wale ambao huwa wanatajwa tajwa hadharani,huja tu kama mshangao kwa wengi au kwa lazima au kwa kuhitajika na watu walio wengi kutegemeana namna Mungu alivyoamua kuwapitisha na kuwafikisha mbele za watu,wengine anaweza waleta kwa kukubalika kwao kuanzia mwanzo hadi mwisho kiutendaji, kiuchapa kazi pamoja na misimamo yao katika historia zao au safari zao za kiutumishi .na wengine akawaleta mwishoni na kuwainua ghafla na kuwapa kibali mkononi mwao.
Ukiona mtu amekuwa mkuu wa nchi yaani Rais na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwa Taifa letu ,basi ujue kuna vita iliyopiganwa na Mwenyezi Mungu katika kumuinua mhusika.kuna kinga ya kiroho aliyopewa mhusika kuwashinda wengine .
Ndio maana asiyejuwa haya mambo anaweza kuhangaika kutafuta na kuiba mahela serikalini ili kuja kununua wapiga kula lakini akaishia kuanguka kwa laana ya kuwaibia watanzania wanyonge fedha ambazo zingenunua dawa mahospitalini au vifaa tiba na kuokoa vifo vya baadhi ya watu waliotangulia mbele za haki kwa kukosa madawa au vifaa tiba ambavyo wakati huo havifanyi kazi kwa sababu fedha za kutengenezea hazipo, na huku mwingine amejirundikia kwa ufisadi ili aje awanunue wajumbe.
Tuendelee kumuomba Mungu wetu aendelee kumbaliki na kumlinda Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan ili aendelee kututumikia watanzania kwa moyo wa upendo na huruma. Aendelee kumtia nguvu na kumpatia njia na maarifa ya kuliongoza Taifa, maana pekee yake kwa akili za kibinadamu hawezi pasipo msaada wake Mungu, Aendelee kumpa ujasiri wa kuyakabili yote yajayo mbele yake pasipo kuyumba wala kuyumbishwa, maana Mamilioni ya Watanzania wengi Tupo nyuma yake na upande wake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-67662
Magufuli watu kama wewe aliwaita vichaa ambao mnaweza kukubali nchi kuuzwa,Masai wakifukuzwa kama mbwa kwenye nchi Yao,misitu inauzwa na Bado wewe ukasema Hadi 2030. Wewe ni chizi,kichaa,tapeli,mpumbavu na juha wa kiwango cha juu Sana. Mungu chukua hili lishetani na lipumbavu harakaNdugu zangu Watanzania,
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo mbele yake,huyo ndiye humpa mtu njia na maarifa,humuandalia mazingira na watu wa kumvusha na kumshika mkono, Humficha dhidi ya maadui na kuwapumbaza wabaya ili wasiweze kumfikiria wala kumtupia mishale ya kumjeruhi.
wakati mwingine hawa wateule walioandaliwa na Mungu huwa hata hawaelewi kama wanajukumu zito mbele yao juu ya Taifa letu,huwa siyo watu wenye uchu wala uroho wa madaraka na huwezi ukawakuta wakitumia mafedha mengi kununua au kuutafuta Uongozi, bali watu hawa hupiganiwa sana na watu Wazalendo ndani ya chama kuanzia Wazee hadi wastaafu, hupiganiwa sana na watu nyeti na muhimu ndani ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama,kuanzia Usalama wa Taifa,JWTZ na polisi kwa ujumla.
Nawaambieni Watanzania ya kuwa Mungu wetu ambaye amekuwa akilipigania Taifa letu Tayari ameshamuandaa Rais wetu ajaye baada ya Mama Samia kumaliza muda wake 2030,Tayari ameshamuweka sawa katika ulimwengu wa kiroho,Tayari ameshayaelekeza macho,masikio na hisia ya vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama kwa mtu huyo ili waendelee kumlinda dhidi ya waroho na mafia wa kimadaraka.Tayari ameshaweka mkono wake juu ya mtu huyo, Tayari ameshatoa kibali kwake na kumpatia,ujio wake utapokelewa kwa shangwe , nderemo na vifijo katika kuendeleza kazi njema na ya kutukuka anayoendelea kuifaya Rais samia mpaka 2030.
Mungu ndiye anajuwa kwanini Amemuandaa huyo, kwanini kwa wakati huo ,Hivyo ndivyo alivyomuinua katika Ulimwengu wa kiroho hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ,Mh Mzee Alli Hassan Mwinyi ,Hayati Benjamini William Mkapa ,Mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete,Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli na Hatimaye Mama wa Shoka kipenzi cha watanzania nuru ya wanyonge na Taa ya Taifa Mh Mama Samia Suluhu Hasssan.
Jiulizeni wakati wa kuinuliwa kwa Mh All Hassan Mwinyi kuliongoza Taifa letu kulikuwa na watu wangapi waliokuwa wakitupiwa macho kumrithi Mwalimu Nyerere nje ya Mwinyi mwenyewe? Vipi wakati wa kuinuliwa kwa Hayati Benjamin Mkapa ambaye wakati huo hakuwa maarufu sana ndani ya chama na hata kwa Watanzania na wagombea wenzake? Vipi wakati wa Mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete kulikuwa na wagombea wangapi? Vipi wakati wa Hayati Dr Magufuli? Nani alitegemea kuwa ndiye angepewa ridhaa yakupeperusha Bendera ya chama mbele ya akina marehemu Benard Camilliusi Membe Au Mh Edward Lowassa aliyejiandaa kwa vita ya kuutaka Urais Tangia miaka ya Tisini?
Wenyeviti wangapi wa Mikoa, Wabunge, Makatibu wa CCM wa Mikoa walikuwa wakimuunga mkono Mh Lowassa? Mnakumbuka wimbo ulioimbwa wakati mlMh Kikwete akiingia ukumbini juu ya Lowassa? Mnafikiri kwa nini aliinuliwa hayati Dr Magufuli na kuwaacha wote na majina yao makubwa na ya kihistoria ndani ya Chama na ndani ya Serikali?
Jibu ni kuwa uongozi unatoka kwa Mungu na kila mtu huinuliwa Na Mungu kwa makusudi maalumu na kwa wakati wake na Mungu akikupitisha katika ulimwengu wa kiroho hakuna Mwanadamu yeyote wa Cheo chochote awezaye kukuzuia ,kila mtu huja kwa sababu ya kutimiza kusudi fulani alilolipanga Mwenyezi Mungu kulingana na makusudi yake katika Ulimwengu wa kiroho. Watu hawa wakati mwingine wanaweza pata vikwazo mbalimbali au kukataliwa na wenye kupitisha au kuamua .
lakini kwa kuwa Mungu huwa ameamua juu ya watu hao, basi huishia kushinda kwa kuwekewa watu ambao watazungumza na sauti zao zikasikika au kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo huweka kauli zao juu ya nani ambaye wangependa kufanya naye kazi kwa wakati huo na kwasababu zipi na kwa Taarifa zipi za kiusalama juu ya mhusika.
watu hao siyo wale ambao huwa wanatajwa tajwa hadharani,huja tu kama mshangao kwa wengi au kwa lazima au kwa kuhitajika na watu walio wengi kutegemeana namna Mungu alivyoamua kuwapitisha na kuwafikisha mbele za watu,wengine anaweza waleta kwa kukubalika kwao kuanzia mwanzo hadi mwisho kiutendaji, kiuchapa kazi pamoja na misimamo yao katika historia zao au safari zao za kiutumishi .na wengine akawaleta mwishoni na kuwainua ghafla na kuwapa kibali mkononi mwao.
Ukiona mtu amekuwa Mkuu wa Nchi yaani Rais na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama kwa Taifa letu ,basi ujue kuna vita iliyopiganwa na Mwenyezi Mungu katika kumuinua mhusika.kuna kinga ya kiroho aliyopewa mhusika kuwashinda wengine .
Ndio maana asiyejuwa haya mambo anaweza kuhangaika kutafuta na kuiba mahela serikalini ili kuja kununua wapiga kula lakini akaishia kuanguka kwa laana ya kuwaibia Watanzania wanyonge Fedha ambazo zingenunua dawa mahospitalini au vifaa tiba na kuokoa vifo vya baadhi ya watu waliotangulia mbele za haki kwa kukosa madawa au vifaa tiba ambavyo wakati huo havifanyi kazi kwa sababu fedha za kutengenezea hazipo, na huku mwingine amejirundikia kwa ufisadi ili aje awanunue wajumbe.
Tuendelee kumuomba Mungu wetu aendelee kumbaliki na kumlinda Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan ili aendelee kututumikia Watanzania kwa moyo wa upendo na huruma. Aendelee kumtia nguvu na kumpatia njia na maarifa ya kuliongoza Taifa, maana peke yake kwa akili za Kibinadamu hawezi pasipo msaada wake Mungu, Aendelee kumpa ujasiri wa kuyakabili yote yajayo mbele yake pasipo kuyumba wala kuyumbishwa, maana Mamilioni ya Watanzania wengi Tupo nyuma yake na upande wake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda Nchi yangu.
0742-676627.
Sifa na Utukufu Namrudishia Mungu Maana huyo ndiye Mpaji.Hongera sana, unakwenda kuwa a very great man humu jukwaani.
P
Kama ni ya mwendazake mbona mnaiita awamu ya sita badala ya awamu ya tano?Siyo 2030 ni 2035.
Awamu hii siyo ya mama Samia, hii ni ya mwendazake.
Sawa Nashukuru na naheshimu mawazo yako juu yangu.Lakini mimi siwezi kukushambulia kwa lugha kama ulizotumia wewe ,maana naheshimu utu wa Mtu na ubinadamu na huwa siwezi kumdhalilisha mtu pale tunapotofautiana mitizamo. Lakini pia napenda kukwambia kuwa Rasilimali zetu zipo katika mikono salama ya Mh Mama Samia Suluhu Hasssan Mzalendo wa Kweli. Mali zote na Rasilimali zote zitaendelea kulindwa kwa nguvu zetu zote na kwa uchungu mkubwa ili siku zinufaishe na vizazi vijavyoMagufuli watu kama wewe aliwaita vichaa ambao mnaweza kukubali nchi kuuzwa,Masai wakifukuzwa kama mbwa kwenye nchi Yao,misitu inauzwa na Bado wewe ukasema Hadi 2030. Wewe ni chizi,kichaa,tapeli,mpumbavu na juha wa kiwango cha juu Sana. Mungu chukua hili lishetani na lipumbavu haraka
Hapana mimi siweweseki hapaKama 2030 Mungu ndiye anayejua basi ata 2025 Mungu ndiye anayejua pia sio wewe kujipangia.Acha kuweweseka.
Wakupe tu hata ukuu wa Wilaya maana sio kwa uchawa huuNdugu zangu Watanzania,