FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hee, leo mnaukataa ukondoo na ndiyo imani yenu hiyo ?Usichanganye uoga na amani. Hakuna namna watanzania wataendelea kuwa makondoo huku wakiona chama cha majizi kinaendelea kukaa madarakani kwa shuruti. Machafuko pekee ndio yatawatoa madarakani nyie majizi.
Kuwa Muislam, Waislam wote ni wachungaji.