Mungu ndiye shetani(?)

Nilikuwa na hili wazo ila nikasita kulitoa, "ulimwengu wote ni wa shetani, ukicheza nae vizuri utakula Bata. Tafakari kwa makini kila penye maendeleo shetani yupo. Utasikia Mungu kanipa, kakupa wewe una vichwa viwili? Una nini zaidi akupendelee? My friend "life is a game"
 
Vitu vya kiMungu havijakaa kuleta maana Bali vinatakiwa kuaminika hata kama havileti maana

Point ni moja believe in Him.
 
Imani yako ndio itakayo kuponya, tenda mema ili uvune mema!
 
Alishinikizwa? Nani mwenye nguvu ktk ya anayeshinikiza na mshinikizwaji.
 
Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Nimeshawahi kuwajibu watu hivi, ila ukifikiri kwa makini ni kama unamtengezea mtu nidhamu ya woga wa kuhoji. Nadhani mtu huyu haitaji kutishwa na kifo na njaa, anahitaji maelezo ni kwann MUNGU ambaye ni pendo ameua wengi kuzidi shetani ambaye ni chukizo.
 
I love You, Lord
For Your mercy never fails me
All my days, I've been held in Your hands
From the moment that I wake up
Until I lay my head
Oh, I will sing of the goodness of God…….. 🙏🏾❤️
 
Warumi 9; 18 Basi, kama ni hivyo, atakaye kumrehemu humrehemu, na atakaye kumfanya mgumu humfanya mgumu.
19 Basi, utaniambia, Mbona angali akilaumu? Kwa maana ni nani ashindanaye na kusudi lake?
20 La! Sivyo, Ee binadamu; wewe u nani umjibuye Mungu? Je! Kitu kilichoumbwa kimwambie yeye aliyekiumba, Kwani kuniumba hivi?
21 Au mfinyanzi je! Hana amri juu ya udongo, kwa fungu moja la udongo kuumba chombo kimoja kiwe cha heshima, na kimoja kiwe hakina heshima?
22 Ni nini basi, ikiwa Mungu kwa kutaka kuonyesha ghadhabu yake, na kuudhihirisha uweza wake, kwa uvumilivu mwingi, alichukuliana na vile vyombo vya ghadhabu vilivyofanywa tayari kwa uharibifu;
 
Jibu hoja kwa hoja, sio kujificha kwenye kivuli cha kutisha watu
Huyo Mungu wenu miaka 300 iliyopita hakuna mtu aliyekuwa anamfahamu hapa Africa, so usitishe sana watu wanaoichallenge masimulizi ya Biblia
Afrika Tena nawakati Ethiopian wanamfahamu tokea miaka hiyo ya before Christ (B.C) kwa hiyo Ethiopian haipo Africa
 
Reactions: Cyb
Unadhani kwa akili yako wewe mwafrika ambaye hadi pini umeshindwa kutengeneza unategemea utamjua Mungu
 
Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Finkiri nje ya box kusema kwamba binadamu au wewe hapo ulipo sasa hivi huwezi kupaaa kama ndege ni mwisho wa uwezo wako wakufikiri, lakini hakuna kinachoshindikana,

Jamaa anatumia vyema uwezo wake katika kufikiri na kudadisi mambo mbalimbali, ni kheri huyu aliyejaribu kuliko ayisejaribu kufikiri nje ya box na kukariri kile system kilichomfundisha
 
Mkuu February Makamba naomba nisiweke neno langu kwenye andiko lako hili bali nikupe Biblia inavyokuelezea mtu kama wewe
1. Zab ya 53: 1a Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; ......
2. Zab 74:22 Ee Mungu, usimame, ujitetee mwenyewe, Ukumbuke unavyotukanwa na mpumbavu mchana kutwa.
 

wewe mkeo au demu wako umemlipa mahari tu unaishi naye,lakini hata kuona tu anacheka na mwanaume mwingine hutaki,achia mbali ukiona anamsujudia na kunyenyekea.

sasa Mungu amekuumba ukiwa haupo,kakupa punzi,kakuleta duniani,kakupa masharti kama rejesho la aliyokupa,unaleta umalaya malaya kwingine,kwanini asikumind!!!!!!
 
Reactions: Cyb
Nani kasema Hakuna Mungu huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…