myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Umepotea....Huwa nasema
Mm pia mungu ndo shetan mkuu hakuna mungu kuna shetan tu dunian
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepotea....Huwa nasema
Mm pia mungu ndo shetan mkuu hakuna mungu kuna shetan tu dunian
Nimeshawahi kuwajibu watu hivi, ila ukifikiri kwa makini ni kama unamtengezea mtu nidhamu ya woga wa kuhoji. Nadhani mtu huyu haitaji kutishwa na kifo na njaa, anahitaji maelezo ni kwann MUNGU ambaye ni pendo ameua wengi kuzidi shetani ambaye ni chukizo.Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Shetani hajafa mpaka sasa. Kwanini anayehoji auwawe vibaya? MUNGU wetu ni katili kiasi hicho?Utakufa vibaya....hadhihakiwi
VizuriShetani hajafa mpaka sasa. Kwanini anayehoji auwawe vibaya? MUNGU wetu ni katili kiasi hicho?
Afrika Tena nawakati Ethiopian wanamfahamu tokea miaka hiyo ya before Christ (B.C) kwa hiyo Ethiopian haipo AfricaJibu hoja kwa hoja, sio kujificha kwenye kivuli cha kutisha watu
Huyo Mungu wenu miaka 300 iliyopita hakuna mtu aliyekuwa anamfahamu hapa Africa, so usitishe sana watu wanaoichallenge masimulizi ya Biblia
Unadhani kwa akili yako wewe mwafrika ambaye hadi pini umeshindwa kutengeneza unategemea utamjua MunguMaswali ni mengi kuliko majibu kwakweli.
Soma hii warumi uniambie kama Paulo anamake sense
Warumi 10 | SRUV Bible | YouVersion
WARUMI 9
10. Wala si hivyo tu, lakini Rebeka naye, akiisha kuchukua mimba kwa mume mmoja, naye ni Isaka, baba yetu, 12. aliambiwa hivi, Mkubwa atamtumikia mdogo 11.(kwa maana kabla hawajazaliwa wale watoto, wala hawajatenda neno jema wala baya, ili lisimame kusudi la Mungu la kuchagua, si kwa sababu ya matendo, bali kwa sababu ya nia yake Mungu),
13.Kama ilivyoandikwa, Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia.
14.Tuseme nini basi? Kuna udhalimu kwa Mungu? La hasha! 15 Maana amwambia Musa, Nitamrehemu yeye nimrehemuye, nitamhurumia yeye nimhurumiaye. 16 Basi, kama ni hivyo, si katika uwezo wa yule atakaye, wala wa yule apigaye mbio; bali wa yule arehemuye, yaani, Mungu.
17 Kwa maana Maandiko yasema juu ya Farao, ya kwamba, Nilikusimamisha kwa kusudi hili, ili nioneshe nguvu zangu kwako, jina langu likatangazwe katika nchi yote. 18 Basi, kama ni hivyo, atakaye kumrehemu humrehemu, na atakaye kumfanya mgumu humfanya mgumu.
19. Basi, utaniambia, Mbona angali akilaumu? Kwa maana ni nani ashindanaye na kusudi lake?
20. La! Sivyo, Ee binadamu; wewe u nani umjibuye Mungu? Je! Kitu kilichoumbwa kimwambie yeye aliyekiumba, Kwa nini umeniumba hivi?
21. Au mfinyanzi je! Hana amri juu ya udongo, kwa fungu moja la udongo kuumba chombo kimoja kiwe cha heshima, na kimoja kiwe hakina heshima?
Finkiri nje ya box kusema kwamba binadamu au wewe hapo ulipo sasa hivi huwezi kupaaa kama ndege ni mwisho wa uwezo wako wakufikiri, lakini hakuna kinachoshindikana,Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Mkuu February Makamba naomba nisiweke neno langu kwenye andiko lako hili bali nikupe Biblia inavyokuelezea mtu kama weweUkisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye, wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee; 2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto). Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746.
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa... Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa n.k.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu, Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?
Ukisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye, wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee; 2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto). Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746.
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa... Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa n.k.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu, Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?
Hahah kumbe mungu ni kwaajili ya wazungu tuUnadhani kwa akili yako wewe mwafrika ambaye hadi pini umeshindwa kutengeneza unategemea utamjua Mungu
Nani kasema Hakuna Mungu huyo?Mkuu February Makamba naomba nisiweke neno langu kwenye andiko lako hili bali nikupe Biblia inavyokuelezea mtu kama wewe
1. Zab ya 53: 1a Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; ......
2. Zab 74:22 Ee Mungu, usimame, ujitetee mwenyewe, Ukumbuke unavyotukanwa na mpumbavu mchana kutwa.