Kweli Mungu ni mmoja tuu ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwaHabari zenu
Husika na kichwa cha habari
Sina shaka juu ya muumbaji wa huu ulimwengu na vitu na limwengu zingine zote tunazozijua na tusizozifahamu; kwamba M/Mungu aliyeumba
UMEINGIZWA CHAKAKweli Mungu ni mmoja tuu
ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwa
ukienda qur'an 112:1 utapata majibu ya ulichokiongea na nilichokuelimisha
Sikulazimishi kuaminiUMEINGIZWA CHAKA
Hivi inakuaje watu tena wasomi mnakua na imani kali hivi kwa kufata maandiko mliyoandikiwa na wakoloni🤔mnatumia nguvu sana kuaminisha kuwa "MIMI NIKO"ndiye Yule Mungu wa waislamu.
tosheken na ibada zenu na miungu yenu ya kipagani.
Anayekusudiwa ndio huyo huyo mmoja ambaye ni muumba wa huu ulimwengu pamoja na binaadamu, hizi tofauti hutokana na mapokeo ila anayekusudiwa ni huyo huyo.mnatumia nguvu sana kuaminisha kuwa "MIMI NIKO"ndiye Yule Mungu wa waislamu.
tosheken na ibada zenu na miungu yenu ya kipagani.
Hivi inakuaje watu tena wasomi mnakua na imani kali hivi kwa kufata maandiko mliyoandikiwa na wakoloni🤔
Miungu haisemi chochote, wakoloni wanatuambia miungu imesema hili mara miungu imesema lile na sisi tunafata tu hadi leo😔
Uislamu ungekuwa kivyake vyake tu kama Hindu na Budha ingependeza sana kuliko kutuiga Wayahudi na Wakristo.Mkristo anaamini Mungu wake ni Yesu/Yesu ni mwana wa Mungu na Mungu kawaumba kwa mfano wake na huyo yesu wanaweza kumuomba msamaha akawasamehe, na Yesu ndie anatetukuzwa sana katika ibada watu wanaomba kwa jina lake
Muislam anaamini Mungu wake ni mmoja tu hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja na huyo Mungu ndo anafaa kutegemewa na kuombwa msaada, Na anaetukuzwa ni huyo Mungu tu ndo anaombwa kwa jina lake pekee.
Mkristo na Muislam Hao hawaamini kitu kimoja
Yeah ni suala la imani mkuu, wapi pia ambao wanaamini Mungu ila wanaamini Mungu hajihusishi na yanayoendelea ulimwenguni hivyo Mungu hasemi lolote. Kwahiyo ni vile tu unavyochagua kuamini tu.Hivi inakuaje watu tena wasomi mnakua na imani kali hivi kwa kufata maandiko mliyoandikiwa na wakoloni🤔
Miungu haisemi chochote, wakoloni wanatuambia miungu imesema hili mara miungu imesema lile na sisi tunafata tu hadi leo😔
Yahweh ni jina wakati Allah ni title.Kihebrania - Yahweh
Kiarabu - Allah
Kiswahili - Mungu.
Hakuna utofauti wowote