Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Anayekusudiwa ndio huyo huyo mmoja ambaye ni muumba wa huu ulimwengu pamoja na binaadamu, hizi tofauti hutokana na mapokeo ila anayekusudiwa ni huyo huyo.
Mungu anaetajwa ndani ya vitabu vya bibilia sio huyo imposter.
zingatia kwamba, Mungu wa kwenye Qur'an hajataza jina lake hata sehemu moja, kataja sifa Zake tu.
so, hata wafuasi wake hawamjui jina lake halisi . wao wanajua wanaabudu mungu tu ila jina hawamjui.
 
Yeah ni suala la imani mkuu, wapi pia ambao wanaamini Mungu ila wanaamini Mungu hajihusishi na yanayoendelea ulimwenguni hivyo Mungu hasemi lolote. Kwahiyo ni vile tu unavyochagua kuamini tu.
Mi ntafurahi tu kama imani zenu hazileti ubaguzi. Yani mtoto wako usije kumfungisha ndo na mtu kisa dini au kabila. Au ukaajili watu kwa kuangalia dini au kabila. Matokeo yake ni chuki na vita kama Sudani ilivyo😔
 
Bahat mbaya watu hawapend kusikia ukweli.

Uslam na ukristo ni imani mbil tofaut zilizoundwa na jamii moja yenye malengo fulan kwa dunia.

Mungu wa uislam na ukristo ni tofauti, mbingu ya uislam na ukristo ni tofauti.

Stories za maandiko ya uislam na ukristo ni toafut.

Jehanam iliyotajwa na uislam ni tofauti na ile iliyotajwa na ukristo.

Yesu wa ukristo ni tofaut na Yule issa wa marium

, Inshort hizi ni dini mbili tofaut zilizoundwa kwa nadharia tofaut zenye malengo aina moja tu, kulazimisha jamii za kiafrika ziamin ktk White supremacy, kutia uoga na kulazimisha watu waamini bila kuhoji.

Huyo Mungu angekuwa mmoja bas asingeruhus tofaut ziwepo, ambazo zmekuwa zkileta migogoro na migongano.

Tofaut hizo hupelekea mauwaji sabbu za kiitikadi, utengano, na dharau,

Ni mjinga tu ndye atakaye halalisha usawa wa hizi imani kuwa mmoja,

Uislam & ukristo ni agenda za viumbe haramu wa kiroho walizoamua kutumia kumshurutisha mtu mweusi asahau imani yake na asili yake, kwa kufuata nadharia za uongo, ambazo ziliundwa na wajanja wachache View attachment 2127872
Kwani mtu mweusi ana maajabu gani mkuu kiasi cha kwamba hadi tufikirie kuwa hizi dini mbili ni kwa ajiri ya waafrika japokuwa hizi dini zipo pahala pengi tu duniani?

Unataka kusema kwamba kama tusingeletewa hizi dini ndio labda wamasai huku au wazaramo n.k ndio tungekuwa vp yani ila tatizo hizi dini?
 
unakusudia kusema nini, Sir?.
Sijakuelewa kabisa
Inakuaje wakoloni waje nchini na kuamua mikoa ipi iwe waislamu na ipi iwe wakristo na kisha sisi tukaona maamuzi ya wakoloni ni mipango ya Mungu.
Yani ukanda wa Pwani( Tanga, lindi, mtwara, Pwani na Zanzibar) waliambukizwa uislamu na mikoa ya ndani Iringa, Mbeya, Kilimanjaro na Arusha wameambukizwa ukristo kwa idadi kubwa
Mkoloni anatupangia hadi nini tuabudu na sisi tunafata tu hadi leo.
 
Mi ntafurahi tu kama imani zenu hazileti ubaguzi. Yani mtoto wako usije kumfungisha ndo na mtu kisa dini au kabila. Au ukaajili watu kwa kuangalia dini au kabila. Matokeo yake ni chuki na vita kama Sudani ilivyo😔
Chuki ni chuki tu na ubaguzi ni ubaguzi, hivyo vitu havitegemei dini ili vifanye kazi kwa maana unaweza ukatumia tofauti za makabila kufanya chuki au ubaguzi au ukatumika umasikini wako kubaguliwa na wenye uwezo. Kwahiyo dini sio ndio hufanya watu wachukiane bali watu wanaweza kutumia dini au chochote kubaguana au kuchukiana kama ilivyo kwa mambo mengine kama pesa mapenzi n.k

Lakini pia wapo wanaotumia dini hizo hizo kuleta upendo na umoja.
 
Inakuaje wakoloni waje nchini na kuamua mikoa ipi iwe waislamu na ipi iwe wakristo na kisha sisi tukaona maamuzi ya wakoloni ni mipango ya Mungu.
Yani ukanda wa Pwani( Tanga, lindi, mtwara, Pwani na Zanzibar) waliambukizwa uislamu na mikoa ya ndani Iringa, Mbeya, Kilimanjaro na Arusha wameambukizwa ukristo kwa idadi kubwa
Mkoloni anatupangia hadi nini tuabudu na sisi tunafata tu hadi leo.
Dah.tatizo lako ni kubwa sana,Chief.
tukomee hapa.
 
Hakuna nchi Africa iliyopata machafuko kutokana na ubaguzi wa umaskini au ubaguzi wa mapenzi. Sijawahi sikia taifa limegawanyika kisa wananchi wamebaguana kwa mapenzi na umaskini.
Ubaguzi unaoharibu nchi za Afrika ni wa dini na makabila. Wakoloni wametumia vizuri dini na makabila kutugawa hadi leo.
Chuki ni chuki tu na ubaguzi ni ubaguzi, hivyo vitu havitegemei dini ili vifanye kazi kwa maana unaweza ukatumia tofauti za makabila kufanya chuki au ubaguzi au ukatumika umasikini wako kubaguliwa na wenye uwezo. Kwahiyo dini sio ndio hufanya watu wachukiane bali watu wanaweza kutumia dini au chochote kubaguana au kuchukiana kama ilivyo kwa mambo mengine kama pesa mapenzi n.k

Lakini pia wapo wanaotumia dini hizo hizo kuleta upendo na umoja.
 
Swali zuri Yehova ndio jina alilowapa binaadamu Mungu kabla ya kristo ila Mungu anaitwa YESU
Inaelekea hata utatu hauelewi vizuri
Screenshot_2022-02-12-12-55-08-887_com.instagram.android~2.jpg
 
Kiufupi Mungu ni mmoja na ndie aliyeumba kila kitu Mungu hajaleta dini iwe mkristo au muislamu bali yeye alileta Wokovu na kuhakikishia kuwa Kati ya madhehebu tu ya krikristo sio yote yanamuabudu Mungu huyo mmoja Waroman,walokole n.k pia waislam hivyohivyo
Mimi nawaambia waislam hawamuabudu Mungu wanaedhani kuwa hivyo hivyo kwa waroma, wasabato na mashahidi wa Yehova wote ni wamashetani pia bila kusahau walokole wengi tu kuliko waliopo katika nafasi ya kweli
 
Mungu anaetajwa ndani ya vitabu vya bibilia sio huyo imposter.
zingatia kwamba, Mungu wa kwenye Qur'an hajataza jina lake hata sehemu moja, kataja sifa Zake tu.
so, hata wafuasi wake hawamjui jina lake halisi . wao wanajua wanaabudu mungu tu ila jina hawamjui.
Point ipo palepale kwamba anayekusudia ni mmoja tu, hakuna Miungu miwili tofauti iliyoumba huu ulimwengu pamoja na sisi binaadamu.
 
Sawa,ila kama ulivyosema " imani iambatane na logic na facts, kama si hivyo imani ni mfu".
Mi nakushauri utafute logic kwenye hizi dini tulizoambukizwa na wakoloni. Ukizifata kama zilivyo bila logic na facts, basi imani yako ni mfu.

Dah.tatizo lako ni kubwa sana,Chief.
tukomee hapa.
 
Hakuna nchi Africa iliyopata machafuko kutokana na ubaguzi wa umaskini au ubaguzi wa mapenzi. Sijawahi sikia taifa limegawanyika kisa wananchi wamebaguana kwa mapenzi na umaskini.
Ubaguzi unaoharibu nchi za Afrika ni wa dini na makabila. Wakoloni wametumia vizuri dini na makabila kutugawa hadi leo.
Bado upo palepale kwamba wao ndio wametumia dini kuleta ubaguzi sasa hapo utalaumu vp dini au kabila la mtu?
Maana wengine wanaishi kwa amani na upendo na kusaidiana kwa sababu ya dini hizo hizo. Mkuu dunia ishakumbwa hadi na vita za kidunia pasina kuhusika dini, kwahiyo matumizi ya watu mabaya ya kitu haifanyi kuona hicho kitu ni kibaya wakati chenyewe hakijaundwa kwa malengo ya ubaya.
 
Mungu wa kweli hakuzaa wala hakuzaliwa hafanani na kitu chochote kile mungu huyu pia hana jina .ukiona dini mungu wafuasi wake wanahadi sura yake wanavisanamu vyake hiyo dini ina walakini sana ..kitendo cha mungu kufananana na binadam ni kumtia hudhaifu huyo mungu .mungu kwanza haonekani .hawa wanaoabudu miungu wanao fanana na binadam kesho wataulizwa huko .
 
Bado upo palepale kwamba wao ndio wametumia dini kuleta ubaguzi sasa hapo utalaumu vp dini au kabila la mtu?
Maana wengine wanaishi kwa amani na upendo na kusaidiana kwa sababu ya dini hizo hizo. Mkuu dunia ishakumbwa hadi na vita za kidunia pasina kuhusika dini, kwahiyo matumizi ya watu mabaya ya kitu haifanyi kuona hicho kitu ni kibaya wakati chenyewe hakijaundwa kwa malengo ya ubaya.
Sawa!
Ni vizuri kama unatumia miungu ya wakoloni kuishi kwa upendo.
Hapo nakuunga mkono.
Itumie imani ya miungu ya wakoloni, lakini itumie kueneza upendo 👏
 
Back
Top Bottom