dormant accont
Senior Member
- Jan 4, 2022
- 154
- 162
Basi sawa!Tangia hapo suala la Mungu ni masuala ya kiimani, ndio maana hata wale wanaoabudu sanamu hawasemi kuwa hilo sanamu ndio mungu mwenyewe.
Kwahiyo sasa kama wewe unaamini kuwa kuna mungu wa waafrika tu basi sawa mwisho wa ndio imani hizo tunazozungumzia hapa.
Kikubwa ni upendo na mantiki.
Kama ukifiria kwa makini unaona ni sawa kuabudu miungu ya wakoloni basi fanya hivyo.
Kikubwa hiyo miungu ikuongoze kufanya upendo 🤝