dormant accont
Senior Member
- Jan 4, 2022
- 154
- 162
Sawa!Sawa sawa mkuu maana si unajua huwezi kuwakwepa wakoloni hata wewe hapo mkuu hicho kifaa unachotumia kuingilia hapa Jf tukaweza kuwasiliana kama hivi ni kazi ya wakoloni, leo hii tiba zetu ni za wakoloni elimu yetu ya wakoloni yani kila kitu. Si ajabu hata wewe mkuu hadi umekuwa atheist ni kwa sababu ya kusoma vitabu vya wakoloni hao hao.
Ndio maana nasema muhimu ni kuangali kile unachoona ni sahihi usiangalie kuwa hiki ni cha mkoloni au cha mababu zako.
Yeah mkuu kuna zaidi ya upendo kwenye maisha, kuna amani kuna haki n.k lazima upendo uendane na haki,lazima kuwe na amani na amani ilindwe sasa wewe mkuu unaimba upendo upendo tu upendo ni hisia.
Tuchague kipi cha kufuata na kipi cha kuacha kutoka kwa wakoloni kwa kuangalia usahihi na mantiki.
Mimi sina shida na wewe kufuata miungu ya wakoloni kama umeona ni sahihi na inaleta mantiki.
Tuko pamoja🤝