Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

ujui unachotaka kukipinga na ujakanusha kuwa Allah si jina kinyume na dai langu kuwa ni Title tu kama kama ilivyo Rais, Mwalimu, Baba, Mama, Fundi etc. badala yake unajenga swali lako kupitia maelezo yale yale usiyoshindwa kuyaelewa uku ukihisi umenipinga.
UNAPOTEA KIJANA.
Jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Kwahiyo Raisi siyo jina ? Kwahiyo cheo siyo jina ?

Unajua sifa ya tamko kuitwa jina au kuwa jina ?

Muwe mnasoma kwanza Allah ni jina. Yaani unakanisha halafu unakubali.
 
Unarudi kwenye hoja yetu hapa kwamba anayekusudiwa ni mmoja tu pamoja na kutofautiana majina au mafundisho ila huyo Mungu anayekusudiwa ndio huyo anasemwa kuumba huu ulimwengu. Hayo majina uliyoweka mengi yana maana ya Mungu ukiyatafsiri kwenye kiswahili ni sawa na mzungu akisema God.
Kwenye specific dini ni sahihi kusema Mungu anayekusudiwa anayekusudiwa ni mmoja

Lakini ukija universal kwamba dini zote zinazoabudu Munhu zinawakilisha Mungu mmoja hapo nitakupinga

Hata wewe binafsi sidhani kama uko tayari kukubali Mungu anayeabudiwa na wakristo kwamba ni Mungu mmoja sawa na wako

Mungu wa ukristo anasema huwezi kwenda kwake bila kupitia Yesu, na ili umfate yesu ni pamoja na kubatizwa jambo ambalo limepingwa vikali na Allah

Allah kakuambia oenk hadi wake wanne, unataka kusema ndio Mungu huyu huyu aliyemkataza padri asioe?
 
Nimesema hivi anayekusudiwa ni mmoja kwa maana wakristo wanaposema Mungu wanakusudia yule aliyeumba huu ulimwengu na waislamu wanaposema Mungu wanakusudia pia aliyeumba huu ulimwengu na ndipo nikasema hao wote wanamkusudia mmoja, ndio maana mkristo hasemi kuwa Mungu wao kawaumba wakristo tu na waislamu wameumbwa na Mungu wao na waislamu ni hivyo hivyo. Tatizo hapo ni mafundisho na taarifa zenye kumuhusu huyo anayekusudiwa(Mungu) ndio zinatofautiana baina ya hizo pande mbili. Na ndio maana hata ndani ya hizo dini pia kuna tofauti na ndio kunaibuka madhehebu tofauti tofauti ndani ya dini kwamba huyu kaelewa hivi yule kaelewa vile ila wote tunawatambua wanaamini Mungu mmoja hatusemi kutofautiana huko basi wanaamini Miungu tofauti.
 
Kweli Mungu ni mmoja tuu
ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwa

ukienda qur'an 112:1 utapata majibu ya ulichokiongea na nilichokuelimisha
  • Hakuna maali tunakosea Mungu mejizihirisha kwa wakristo kwa namna hiyo aliyopenda yeye

  • Ila cha kushangaza ni mungu Allah anapojaribu kujilinganisha na kujiona hawezi kwa sababu kuna vitu hana na hailewi vimewezakanaje
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
 
Jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Kwahiyo Raisi siyo jina ? Kwahiyo cheo siyo jina ?

Unajua sifa ya tamko kuitwa jina au kuwa jina ?

Muwe mnasoma kwanza Allah ni jina. Yaani unakanisha halafu unakubali.
first thing, thig first Jf aijawai kukoswa wajinga, wajinga wapo/tupo. furthermore na kuna kundi la wapumbavu pia.

unasema tuwe tunasoma, tuwe tunasoma na nani? umejuaje Kuwa na wengine nao hawajui kama mimi unaenihisi kuwa sijui?.
acha kuingiza watu wengine wakati umenikoti mimi.
unasisitiza TAMKO, TAMKO, tamko ndiyo linafanya Allah iwe jina badala Title? kwa namna ipi hasa? eleza.
Chief, punguza utoto.
 
  • Hakuna maali tunakosea Mungu mejizihirisha kwa wakristo kwa namna hiyo aliyopenda yeye

  • Ila cha kushangaza ni mungu Allah anapojaribu kujilinganisha na kujiona hawezi kwa sababu kuna vitu hana na hailewi vimewezakanaje
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
Qur'an inatufundisha "wala musiwatukane wale wanaoabudu kinyume na Mwenyezi Mungu,huenda wao wakamtukana Allah kwa uadui bila ya elimu.... 6:108

Qur'an haitafsiriwi unavoona ww tuu ina namna yake ya kuitafsiri sisi huku Mungu wetu hana nafsi 3
Rejea 112:1

Ukitaka kujifunza jifanye mjinga utavuna mengi ila ukitaka kubaki ivo ivo jifanye mjuaji
 
Kwenye specific dini ni sahihi kusema Mungu anayekusudiwa anayekusudiwa ni mmoja

Lakini ukija universal kwamba dini zote zinazoabudu Munhu zinawakilisha Mungu mmoja hapo nitakupinga

Hata wewe binafsi sidhani kama uko tayari kukubali Mungu anayeabudiwa na wakristo kwamba ni Mungu mmoja sawa na wako

Mungu wa ukristo anasema huwezi kwenda kwake bila kupitia Yesu, na ili umfate yesu ni pamoja na kubatizwa jambo ambalo limepingwa vikali na Allah

Allah kakuambia oenk hadi wake wanne, unataka kusema ndio Mungu huyu huyu aliyemkataza padri asioe?
Najua ww ni Atheist

Nikuulize swali dogo tuu

Ivi wewe una baba na mama wawili au mmoja?
 
Nimesema hivi anayekusudiwa ni mmoja kwa maana wakristo wanaposema Mungu wanakusudia yule aliyeumba huu ulimwengu na waislamu wanaposema Mungu wanakusudia pia aliyeumba huu ulimwengu na ndipo nikasema hao wote wanamkusudia mmoja, ndio maana mkristo hasemi kuwa Mungu wao kawaumba wakristo tu na waislamu wameumbwa na Mungu wao na waislamu ni hivyo hivyo. Tatizo hapo ni mafundisho na taarifa zenye kumuhusu huyo anayekusudiwa(Mungu) ndio zinatofautiana baina ya hizo pande mbili. Na ndio maana hata ndani ya hizo dini pia kuna tofauti na ndio kunaibuka madhehebu tofauti tofauti ndani ya dini kwamba huyu kaelewa hivi yule kaelewa vile ila wote tunawatambua wanaamini Mungu mmoja hatusemi kutofautiana huko basi wanaamini Miungu tofauti.
Uiwaeleza kwa mkufuata misingi ya dini husika utahitimisha kwa namna hiyo

Lakini ukianza kusema in general kla dini inaabudu Mungu sawa na dini zingine hapo utakuwa unafanya clear ambiguity
 
Uliniquote lkn sioni maneno yko itakua uliandika maneno ya chuki sana ndo mna ata siyaoni

hlf icho ulichokiandika saivi ivi kabla ya yesu na kufa zile siku 3 mnazosema nani alikua anaendesha ulimwengu?
Kinachokutatiza ni kwamba imani yako mnaamini allah ni physical being , yani anaumbile linaloshikika , amedhihirisha mwenyewe ana miguu mikono miwili upande mmoja, uso n.k
  • Mguu
    • Muhammad alisema ......' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Vol. 6, Book 60, Hadith 372
    • Koran 68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi (Ugoko),.... Allah mwisho wa siku atadhihirisha mundi
  • Mikono
    • ........"And both of His hands are right hands." Sunan an-Nasa'i 5379
Mungu kwa imani ya kikristo ni roho sio mwili, Kilichokufa ni human flesh
Yn 4:24 Mungu ni Roho....
 
first thing, thig first Jf aijawai kukoswa wajinga, wajinga wapo/tupo. furthermore na kuna kundi la wapumbavu pia
Wewe ndiyo umo humo na huwezi kupinga hili kwa hoja za kielimu.
unasema tuwe tunasoma, tuwe tunasoma na nani? umejuaje Kuwa na wengine nao hawajui kama mimi unaenihisi kuwa sijui?.
acha kuingiza watu wengine wakati umenikoti mimi.
Sasa kama hujui tamko Uraisi ni jina na tamko Allah ni jina wewe ni mjinga katika hili.

Kutumia wingi ni kuwa kweli wengi hamjui haya mambo sababu tunajadiliana na watu wa mfano wako humu ndani.

Yaani mimi wewe sihisi kama hujui yaani nina uhakika ya kuwa hujui hiki unachokijadili sasa hivi.
 
unasisitiza TAMKO, TAMKO, tamko ndiyo linafanya Allah iwe jina badala Title? kwa namna ipi hasa? eleza.
Chief, punguza utoto.

Utoto unao wewe ambaye unajadili mambo usiyo kuwa na elimu nayo.

Kingine usichokijua vyeo vinaingia katika Jina/Nomino. Sasa unapo kataa ya kuwa Allah siyo jina ni Title unazingatia nini katika misingi ya lugha ?

Unajua maana ya Allah ? Nilikuomba huko juu unipe sifa ya jina na cheo.
 
Kinachokutatiza ni kwamba imani yako mnaamini allah ni physical being , yani anaumbile linaloshikika , amedhihirisha mwenyewe ana miguu mikono miwili upande mmoja, uso n.k
  • Mguu
    • Muhammad alisema ......' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Vol. 6, Book 60, Hadith 372
    • Koran 68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi (Ugoko),.... Allah mwisho wa siku atadhihirisha mundi
  • Mikono
    • ........"And both of His hands are right hands." Sunan an-Nasa'i 5379
Mungu kwa imani ya kikristo ni roho sio mwili, Kilichokufa ni human flesh
Yn 4:24 Mungu ni Roho....
Ukristo aliletwa na nani ?

Roho ni nini ?
 
hebu thibitisha kwa maandiko na vitendo kama vipo kua Waislamu wanalisujudia jiwe jeusi
Jiwe jeusi linakazi kubwa sana , ndio maana linasujudiwa na kubusiwa , halijawekwa na Allah bure tu
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho likisaidiana na allah
    • Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allah, Allah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Narrated by al-Tirmidhi, 961; Ibn Maajah, 2944
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • ....."Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi...." Sunan an-Nasa'i 2919
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambi za waislamu
    • Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu." Jami` at-Tirmidhi 877
 
Wewe ndiyo umo humo na huwezi kupinga hili kwa hoja za kielimu.

Sasa kama hujui tamko Uraisi ni jina na tamko Allah ni jina wewe ni mjinga katika hili.

Kutumia wingi ni kuwa kweli wengi hamjui haya mambo sababu tunajadiliana na watu wa mfano wako humu ndani.

Yaani mimi wewe sihisi kama hujui yaani nina uhakika ya kuwa hujui hiki unachokijadili sasa hivi.

nimekutaka ueleze ni kwa namna ipi neno Mungu si title bali jina kama unavyo dai hadi sasa hujafanya hivyo umebaki kurukaruka.
ninasema 1+1 ni 2 we unasema ni 11,ninakuambia eleza kwa namna ipi ni 11:, unauliza ikiwa ninajua maana ya tamko 1+1.
zero brain mnachosha.
actually ninajua huna jibu zaidi ya sarcasm za kipuuzi. Upumbavu pia ni kipaji siwezi ondoa kipaji cdako kwa maneno ya Jf tu.

Screenshot_20220224-131129_Google.jpg
 
Kwahiyo Allah siyo jina ? Kwanini hamjifunzi lugha ?

Yaani unakataa halafu unakiri, kwahiyo Title siyo jina au Title haiwezi kuwa jina ?

Unajua kama umethibitisha ya kuwa Allah ni jina pale ulipo andika hivi "....mungu yoyote yule kwa kiarabu ni Allah." ?
Allah ni jina
Koran 17:110. Sema: Mwombeni Allah , au mwombeni Rahman, kwa jina lolote mnalo mwita.
 
Ukristo aliletwa na nani ?

Roho ni nini ?
Kwa nini unapenda kuamisha mada , nimemjibu muhusika kwamba asiweke logic yake ya Allah kwa Mungu wa wakristo
ndio nikamjibu
Allah ana maumbile
  • Mguu
    • Muhammad alisema ......' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Vol. 6, Book 60, Hadith 372
    • Koran 68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi (Ugoko),.... Allah mwisho wa siku atadhihirisha mundi
  • Mikono
    • ........"And both of His hands are right hands." Sunan an-Nasa'i 5379
Mungu kwa imani ya kikristo ni roho sio mwili, Kilichokufa ni human flesh
Yn 4:24 Mungu ni Roho....

Swali hapo ni utake kujua Roho ni nini? hili swali aliulizwa muhammad akalishindwa na wayahudi walimtest tu?
 
Qur'an inatufundisha "wala musiwatukane wale wanaoabudu kinyume na Mwenyezi Mungu,huenda wao wakamtukana Allah kwa uadui bila ya elimu.... 6:108

Qur'an haitafsiriwi unavoona ww tuu ina namna yake ya kuitafsiri sisi huku Mungu wetu hana nafsi 3
Rejea 112:1

Ukitaka kujifunza jifanye mjinga utavuna mengi ila ukitaka kubaki ivo ivo jifanye mjuaji
Nipo apo kukufundisha uelewe
  • Unajua hao viumbe wanaitwa houris ambao allah kasema anaweza kuchukua kama mke , ni viumbe ambao ni kwa ajili ya kupiga machine tu ni weupe mpaka unaona viungo vya ndani kama moyo , maini n.k
    • Allah hapa anasema akitaka mke atachukua houris au malaika
      • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
    • Muhammad hapa anaelezewa houris ni viumbe weupe mpaka unaona organ za ndani
      • Muhammad akasema .........houris, (who will be so beautiful, pure and transparent that) the marrow of the bones of their legs will be seen through the bones and the flesh." Sahih al-Bukhari 3254
 
Back
Top Bottom