Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Allah ni jina
Koran 17:110. Sema: Mwombeni Allah , au mwombeni Rahman, kwa jina lolote mnalo mwita.
Kuna mjinga mmoja anasema Allah ni cheo. Hakafu amescreenshot maneno ya mjinga mwenzake kwamba anadai Allah siyo jina ni cheo. Sasa nikamuuliza kwani cheo siyo jina.

Nilimuuliza anajua sifa za jina hajaniambia mpaka muda huu.
 
nimekutaka ueleze ni kwa namna ipi neno Mungu si title bali jina kama unavyo dai hadi sasa hujafanya hivyo umebaki kurukaruka.
ninasema 1+1 ni 2 we unasema ni 11,ninakuambia eleza kwa namna ipi ni 11:, unauliza ikiwa ninajua maana ya tamko 1+1.
zero brain mnachosha.
actually ninajua huna jibu zaidi ya sarcasm za kipuuzi. Upumbavu pia ni kipaji siwezi ondoa kipaji cdako kwa maneno ya Jf tu.

View attachment 2129677
Kijana naposema wewe ni mjinga ujue na maanisha na ubaya umerejea kwa mjinga mwenzako. Huko nyuma nilikuuliza swali na mimi ndiyo wa kwanza kukutaka wewe unipe sifa za jina lakini mpaka muda huu hukafanya hivyo.

Nilikwambia Allah ni jina na tamko "Cheo" ni jina kadhalika. Sasa nitakuuliza Cheo siyo jina ? Sasa usiruke ruke ukawa unaleta mambo ambayo yanaonyesha ujinga wako ulivyo komaa.

Swali langu limemili katika kile ulicho kitolea mfano huko juu Raisi.
 
Uiwaeleza kwa mkufuata misingi ya dini husika utahitimisha kwa namna hiyo

Lakini ukianza kusema in general kla dini inaabudu Mungu sawa na dini zingine hapo utakuwa unafanya clear ambiguity
Issue za kuabudu ndio zinaingia kwenye tofauti za mafundisho na taarifa za kuhusu huyo Mungu, na sizungumzii kila dini bali nazungumzia dhana Mungu anayedaiwa kuumba huu ulimwengu.
 
Kwa nini unapenda kuamisha mada , nimemjibu muhusika kwamba asiweke logic yake ya Allah kwa Mungu wa wakristo
ndio nikamjibu
Ila vijana wa jf mna umakini mdogo sana, kwahiyo wewe kusema kwamba sisi tuna amini Mola wetu ana umbile hujatoka nje mada ? Maana yake aliye kuuliza ametoka nje ya mada, ulitakiwa usimjibu lakini umemjibu na mimi katika jibu lako nikaamua nikuulize swali. Kwahiyo sijatoka nje ya mada ulitakiwa ujibu kisha uendelee ulipo ishia.
  • Mguu
    • Muhammad alisema ......' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Vol. 6, Book 60, Hadith 372
    • Koran 68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi (Ugoko),.... Allah mwisho wa siku atadhihirisha mundi
  • Mikono
    • ........"And both of His hands are right hands." Sunan an-Nasa'i 5379
Kwahiyo kwamba unakataa Allah hana umbile ? Kwani kuwa kwake na umbile ji dosari ?
Mungu kwa imani ya kikristo ni roho sio mwili, Kilichokufa ni human flesh
Yn 4:24 Mungu ni Roho....
Kwani kila chenye umbile kina kufa ? Hili nani amekufundisha ?

Roho inafanha vipi kazi pasi na umbile ?

Yesu ndiyo aliwafundisha ya kuwa Mungu ni Roho ?
Swali hapo ni utake kujua Roho ni nini? hili swali aliulizwa muhammad akalishindwa na wayahudi walimtest tu?
Kwani Mayahudi walikuwa wanajua Roho ni nini ? Maana yake Mayahudi walikuwa wanajua ya kuwa hakuna mwenye elimu ya Roho kwa undani wake ila Allah peke yake na ndio maana jibu alilo litoa liliwatosheleza ba wakasadiki ya kuwa Mtume ni mtume kweli wa Allah. Maana angesema ya kuwa ana elimu juu ya Roho Mayahudi wangesema Mtume ni Muongo sababu elimu ya ndani juu ya Roho hakuna anaye jua ila Allah peke yake.

Msiwe mnachukua maandiko nusunusu na kuuaelewa nusunusu.
 
Ila vijana wa jf mna umakini mdogo sana, kwahiyo wewe kusema kwamba sisi tuna amini Mola wetu ana umbile hujatoka nje mada ? Maana yake aliye kuuliza ametoka nje ya mada, ulitakiwa usimjibu lakini umemjibu na mimi katika jibu lako nikaamua nikuulize swali. Kwahiyo sijatoka nje ya mada ulitakiwa ujibu kisha uendelee ulipo ishia.

Kwahiyo kwamba unakataa Allah hana umbile ? Kwani kuwa kwake na umbile ji dosari ?

Kwani kila chenye umbile kina kufa ? Hili nani amekufundisha ?

Roho inafanha vipi kazi pasi na umbile ?

Yesu ndiyo aliwafundisha ya kuwa Mungu ni Roho ?

Kwani Mayahudi walikuwa wanajua Roho ni nini ? Maana yake Mayahudi walikuwa wanajua ya kuwa hakuna mwenye elimu ya Roho kwa undani wake ila Allah peke yake na ndio maana jibu alilo litoa liliwatosheleza ba wakasadiki ya kuwa Mtume ni mtume kweli wa Allah. Maana angesema ya kuwa ana elimu juu ya Roho Mayahudi wangesema Mtume ni Muongo sababu elimu ya ndani juu ya Roho hakuna anaye jua ila Allah peke yake.

Msiwe mnachukua maandiko nusunusu na kuuaelewa nusunusu.
Weka point zako na maswali Yako kwenye mtiriko nikujibu
 
Kijana naposema wewe ni mjinga ujue na maanisha na ubaya umerejea kwa mjinga mwenzako. Huko nyuma nilikuuliza swali na mimi ndiyo wa kwanza kukutaka wewe unipe sifa za jina lakini mpaka muda huu hukafanya hivyo.

Nilikwambia Allah ni jina na tamko "Cheo" ni jina kadhalika. Sasa nitakuuliza Cheo siyo jina ? Sasa usiruke ruke ukawa unaleta mambo ambayo yanaonyesha ujinga wako ulivyo komaa.

Swali langu limemili katika kile ulicho kitolea mfano huko juu Raisi.
*** you.. stop quoting me unless you get sence
I'll be frank and not coy. You must be the dumbest woman on this forum.
However, my senses are also telling me that the nonsense and deceitful you are spewing here are from in your unholy book.. next time you quote me I will report you to mods.. Idiot.
 
Issue za kuabudu ndio zinaingia kwenye tofauti za mafundisho na taarifa za kuhusu huyo Mungu, na sizungumzii kila dini bali nazungumzia dhana Mungu anayedaiwa kuumba huu ulimwengu.
Mungu yupi aliyeumba ulimwengu na Mungu yupi katika dini ganu ambaye hajaumba ulimwengu?
 
Mungu yupi aliyeumba ulimwengu na Mungu yupi katika dini ganu ambaye hajaumba ulimwengu?
Eleza unachotaka kueleza mkuu hapa tunajadiliana tu hakuna ligi, mimi nimesema kuwa naelezea Mungu ambaye anatajwa kuwa kaumba huu ulimwengu na ni mmoja ila tunajua kuna imani ya kuamini zaidi ya Muungu mmoja kwa maana ya kuamini miungu mingi.
 
Kwahiyo kwamba unakataa Allah hana umbile ? Kwani kuwa kwake na umbile ji dosari ?

Kwani kila chenye umbile kina kufa ? Hili nani amekufundisha ?
Tuanze na hizi maana unaandikaga gazeti point au swali inabidi kulitafuta Sana

Hakuna maali nimekataa Allah kuwa na umbile linaloshikika physical being, tena ndio point yangu kubwa kwamba Allah ni physical being na Mungu wa wakristo ni Spirit

Allah kuwa na umbile linaloshikika imemfanya mpaka kusikia inabidi ateremke usiku wa manane asikilize waislamu,

Allah ni umbile linaloshikika lisilo na nguvu ya uhai ndani yake yani roho , kiufupi Allah is hollow na ni kama statue kwa jinsi anavyojieleza mwenyewe

Hii statue pia ina umbile la ajabu Sana
Kwanza mguu ni mmoja , mikono miwili upande mmoja na uso
 
Hivi inakuaje watu tena wasomi mnakua na imani kali hivi kwa kufata maandiko mliyoandikiwa na wakoloni[emoji848]
Miungu haisemi chochote, wakoloni wanatuambia miungu imesema hili mara miungu imesema lile na sisi tunafata tu hadi leo[emoji17]
Kwani ww si nimsomi hicho ulichokisoma uliandika ww au.au labda neno imani ndio linakuchanganya. Jua hivi kwa vyovyote hakuna asie na imani hapa ulimwenguni. Mm namuamini ALLAH peke ww hauamini inamana Kuna kitu unachokiamini kingine Sasa tatizo linakuja wapi ww unataka niamini kama unavoamini ww, wakati kila mtu ana imani yake.
 
Kwani Mayahudi walikuwa wanajua Roho ni nini ? Maana yake Mayahudi walikuwa wanajua ya kuwa hakuna mwenye elimu ya Roho kwa undani wake ila Allah peke yake na ndio maana jibu alilo litoa liliwatosheleza ba wakasadiki ya kuwa Mtume ni mtume kweli wa Allah. Maana angesema ya kuwa ana elimu juu ya Roho Mayahudi wangesema Mtume ni Muongo sababu elimu ya ndani juu ya Roho hakuna anaye jua ila Allah peke yake.

Msiwe mnachukua maandiko nusunusu na kuuaelewa nusunusu.

Wayahudi walimcheka Sana , kwanza alitumia kama siku mbili na badae hakaja akajibu hajui , wakamuona kanjanja
 
Bahat mbaya watu hawapend kusikia ukweli.

Uslam na ukristo ni imani mbil tofaut zilizoundwa na jamii moja yenye malengo fulan kwa dunia.

Mungu wa uislam na ukristo ni tofauti, mbingu ya uislam na ukristo ni tofauti.

Stories za maandiko ya uislam na ukristo ni toafut.

Jehanam iliyotajwa na uislam ni tofauti na ile iliyotajwa na ukristo.

Yesu wa ukristo ni tofaut na Yule issa wa marium

, Inshort hizi ni dini mbili tofaut zilizoundwa kwa nadharia tofaut zenye malengo aina moja tu, kulazimisha jamii za kiafrika ziamin ktk White supremacy, kutia uoga na kulazimisha watu waamini bila kuhoji.

Huyo Mungu angekuwa mmoja bas asingeruhus tofaut ziwepo, ambazo zmekuwa zkileta migogoro na migongano.

Tofaut hizo hupelekea mauwaji sabbu za kiitikadi, utengano, na dharau,

Ni mjinga tu ndye atakaye halalisha usawa wa hizi imani kuwa mmoja,

Uislam & ukristo ni agenda za viumbe haramu wa kiroho walizoamua kutumia kumshurutisha mtu mweusi asahau imani yake na asili yake, kwa kufuata nadharia za uongo, ambazo ziliundwa na wajanja wachache View attachment 2127872
Haya ukiulizwa ukweli unaosema utoe ushahidi kua ni ukweli utatoa,hebu tatizo lenu nyinyi mnasema white supremacy blah blah nyingi ww umeenda shule na ndio ukajua kusoma na kuandika sio hio haikua white supremacy hmm, kwanini haukuacha kusoma,usitumie simu ,Wala jf , Facebook,gari na, usivae nguo Mana vyote wazungu ndio wameleta Mana Africa hivi vitu havikuwepo [emoji16][emoji16] sio. Kwahio umekosea kusema kua mkweli sijuwi Nini ,ule nimtazamo wako mkuu sawa ,kwahio usilazimishe mtu awaze nakufanya Kama wewe
 
Hakuna nchi Africa iliyopata machafuko kutokana na ubaguzi wa umaskini au ubaguzi wa mapenzi. Sijawahi sikia taifa limegawanyika kisa wananchi wamebaguana kwa mapenzi na umaskini.
Ubaguzi unaoharibu nchi za Afrika ni wa dini na makabila. Wakoloni wametumia vizuri dini na makabila kutugawa hadi leo.
Eti hakuna research hio umefanya lini.1994 Rwandan genocide ulikuwepo kweli??
 
Kiufupi Mungu ni mmoja na ndie aliyeumba kila kitu Mungu hajaleta dini iwe mkristo au muislamu bali yeye alileta Wokovu na kuhakikishia kuwa Kati ya madhehebu tu ya krikristo sio yote yanamuabudu Mungu huyo mmoja Waroman,walokole n.k pia waislam hivyohivyo
Mimi nawaambia waislam hawamuabudu Mungu wanaedhani kuwa hivyo hivyo kwa waroma, wasabato na mashahidi wa Yehova wote ni wamashetani pia bila kusahau walokole wengi tu kuliko waliopo katika nafasi ya kweli
Naona msemaji wa mungu unatoa mambo.eeh [emoji23][emoji23][emoji23] endelea
 
Habari zenu

Husika na kichwa cha habari
Sina shaka juu ya muumbaji wa huu ulimwengu na vitu na limwengu zingine zote tunazozijua na tusizozifahamu; kwamba M/Mungu aliyeumba wakristo na waislamu na watu wa dini zingine zote na wasiokuwa na dini pia ni yule yule tu M/Mungu mmoja;

Aliyeumba bahari,mito, aliyeumba binaadamu, majini kwa wanaoamini aliyeumba dunia na sayari zingine zote zinazotambulika na zisizotambulika na viumbe vilivyoko huko pia ..

Na msioamini uwepo wa M/Mungu sitaki kuwakera katika hili najua mtauliza M/Mungu mwenyewe ndio nani? Sitawajibu hilo swali nawajuza mapema..

Nimekaa nimeangalia sana waislam na waikristo naona hawana tofauti yeyote kimaumbile na kitabia pia yaani bila shaka ni wapo sawa tu wazi kuwa tumeumbwa na M/Mungu mmoja.. sasa kinachoshangaza hizi tofauti zetu kuchukiana, kugonbana kupelekea mpaka kuuana na mambo mengine ya hovyo kufanyiana.. kama tumeumbwa na M/Mungu tofauti ...haipendezi..

Na bora nchi yetu chuki juu ya imani/dini tofauti haipo sana haijashika kasi sana mataifa mengine ni hatari zaidi walimu wadini wanapaswa kutoa elimu nzuri kwa waumini wao na kutohubiri au kutoa mawaidha ya chuki kwa waumini wao..

Asante
Asante, Ila tu nikukumbushe Mungu sio mmoja na hatumwabudu Mungu mmoja Hilo tu. Na chuki unayoiona inatokana na kulazimishana katika kumuabudu Mungu Yoshua anawaambia wana waizraeli wachague watakate muabudu na mtu akichagua huna haja ya kumchukia nadhani msingi wa chuki unaanzia hapo. Ubarikiwe
 
Sawa,ila kama ulivyosema " imani iambatane na logic na facts, kama si hivyo imani ni mfu".
Mi nakushauri utafute logic kwenye hizi dini tulizoambukizwa na wakoloni. Ukizifata kama zilivyo bila logic na facts, basi imani yako ni mfu.
Unaposema mlizoletewa unamanisha nini.??? Sasa siutaje dini yenu mliokua nayo kabla ya kuletewa ??? Je ww hio dini / imani unauhakika ndio kila jamii hapa Africa ndio waliokua nayo??? Kuna makabila hapa Africa yanakula watu je nakwenu ndio hivo na unataka uendeleze usikwepe ukaanza kusema kwa utandawazi huu sijuwi digital mara globalization,hivyo vyote vyakuletewa hatukuwa navyo sisi ok. Sasa ww twambie kipi chatufaa Mana hata kabla ya hayo yote pamoja nakudai kua hivi tuvionavyo nivyakuletewa haya vyakwenu mnavyojivunia vikowapi
 
Back
Top Bottom