Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Wewe jamaa japokuwa umeandika masihara kadhaa lkn ujumbe wako nimeuelewa, ukiwa mbinguni unapewa uwezo wa kimungu so hakuna kuchoka ktk kusifu na kuabudu refer malaika watakatifu,wenye uhai wanne,Wazee Ishirini na wanne,Makerubi na Masherafi wao humwabudu na kumsifu Mungu tangu misingi ya ulimwengu lkn hawachoki
Haina mantiki yoyote duniani hapa tuangaike weeee na kuabudu tufike huko mbinguni tuendelee nakuabudu tu !! Hivi wewe huoni Kama kuabudu ni adhabu??? Au utakapokufa ukawa kaburini bado tu utakua unaabudu sio duh kwa imani hiyo mm hapana mbinguni huko nifuraha na kupumzika sio tena habari ya kuabudu
 
Sisi tumezitoa kwa wakoloni.
Babu zetu hawakuwa na miungu ya biblia na miungu ya kuran.
Lakini kama umeamua kuitumia kueneza upendo, basi sawa [emoji122]
Ila usisahau kwamba kushikilia tamaduni za kikoloni bila mantiki ni utumwa wa kifikra. Nataka ukomboke na utumwa wa fikra.
Walikua na Nini ??? Hvyo vitu/ mila walizokua nazo Leo hii wewe ukiambiwa kufanya unafanya ??? Je hizo mila unafanya au unadai kwa mdomo tu ??? Kuanzia sasahiv achana na dini zao ,elimu yao uliosoma tupilia mbali, nguo achana nazo ,simu ndio kabisa ,gari usipande Yani kila kitu kinachojiusisha nao hao achana nacho sio unaacha baadhi na baadhi unabaki na vyo utakua unafiki huo
 
Tuanze na hizi maana unaandikaga gazeti point au swali inabidi kulitafuta Sana
Maswali yanajulikana kama upo makini. Sababu kuna alama zinazo ainisha swali, yaani "Alama ya kuuliza". Hapa umeandika uongo sababu maswali yanaonekana wazi kabisa.
Hakuna maali nimekataa Allah kuwa na umbile linaloshikika physical being, tena ndio point yangu kubwa kwamba Allah ni physical being na Mungu wa wakristo ni Spirit
Swali langu lingine nakuuliza, hivi ni lazima kila chenye umbo kiwe ni "kiumbe/being" ?

Nilikuuliza huko nyuma nani aliwafundisha ya kuwa Mungu ni Roho ? Ni Yesu au nani ? Unakimbia hilo swali.
Allah kuwa na umbile linaloshikika imemfanya mpaka kusikia inabidi ateremke usiku wa manane asikilize waislamu,
Hii ni maana yako. Kushuka kwake kila theluthi ya mwisho wa siku ni katika taratibu zake tu alizo jiwekea ila yeye ni :

Au wanadhania kwamba Sisi Hatusikii siri zao na minong’ono yao? Sivyo! (Tunasikia!) Na Wajumbe wetu wako kwao wanaandika. [Az-Zukhruf: 80]

Kingine hapa naomba nikuulize kwani kwa mujibi ulivyo soma Allah huwa anashuka muda gani kusikiliza waja wake ? Kama ni muda fulani muda huo mwingine hasikii ? Sasa rejea hiyo aya hapo juu.
Allah ni umbile linaloshikika lisilo na nguvu ya uhai ndani yake yani roho , kiufupi Allah is hollow na ni kama statue kwa jinsi anavyojieleza mwenyewe
Sasa yeye atakuwaje na Roho wakati roho ni katika viumbe vya Allah ? Yeye Allah ni hai na hajawahi kutokuwa hai.

Anasema Allah aliye juu :

Na wala usiombe pamoja na Allaah mungu mwengine. Hakuna Muabudiwa wa haki ila Yeye. Kila kitu ni chenye kuhiliki isipokuwa Wajihi Wake. Hukumu ni Yake Pekee na Kwake Pekee mtarejeshwa. [Al-Qaswasw: 88]

Kisha akasema tena Allah mtukufu :

Yeye Ndiye Aliye hai daima hakuna Muabudiwa wa haki ila Yeye; basi muombeni Yeye wenye kumtakasia ‘ibaadah. AlhamduliLLaah, Himidi Anastahiki Allaah Rabb wa walimwengu. [Ghaafir: 65]


Kisha akasema tena Allah Mtukufu :

Allaah, Muabudiwa wa haki ila Yeye, Aliye hai daima, Msimamia kila kitu. [Aal-‘Imraan: 2]

Maswali : Nani amekwambia kwamba Allah ni Hollow ? Au mtazamo wako unao tokana na ujinga wako ?

Nilikuuliza swali nani aliye kwambia kila kilicho hai kina Roho ?
Hii statue pia ina umbile la ajabu Sana
Kwanza mguu ni mmoja , mikono miwili upande mmoja na uso
Hili la "Statue" unasema wewe, naomba unipe sifa tano za "Statue" kisha ulinganishe na unayemnasibishia jina hilo.

Tena katika sifa nyingine za Allah ni kuwa Mola wetu anacheka.
 
Nimecheka sana. Unaweza kuthibitisha ya kuwa Mayahudi walimcheka ?
Nimecheka Sana jamaa walimuuliza bila yeye kujipanga akasema hajui , Yani nimecheka na wayahudi wa kipindi hicho
 
Maswali yanajulikana kama upo makini. Sababu kuna alama zinazo ainisha swali, yaani "Alama ya kuuliza". Hapa umeandika uongo sababu maswali yanaonekana wazi kabisa.

Swali langu lingine nakuuliza, hivi ni lazima kila chenye umbo kiwe ni "kiumbe/being" ?

Nilikuuliza huko nyuma nani aliwafundisha ya kuwa Mungu ni Roho ? Ni Yesu au nani ? Unakimbia hilo swali.

Hii ni maana yako. Kushuka kwake kila theluthi ya mwisho wa siku ni katika taratibu zake tu alizo jiwekea ila yeye ni :

Au wanadhania kwamba Sisi Hatusikii siri zao na minong’ono yao? Sivyo! (Tunasikia!) Na Wajumbe wetu wako kwao wanaandika. [Az-Zukhruf: 80]

Kingine hapa naomba nikuulize kwani kwa mujibi ulivyo soma Allah huwa anashuka muda gani kusikiliza waja wake ? Kama ni muda fulani muda huo mwingine hasikii ? Sasa rejea hiyo aya hapo juu.

Sasa yeye atakuwaje na Roho wakati roho ni katika viumbe vya Allah ? Yeye Allah ni hai na hajawahi kutokuwa hai.

Anasema Allah aliye juu :

Na wala usiombe pamoja na Allaah mungu mwengine. Hakuna Muabudiwa wa haki ila Yeye. Kila kitu ni chenye kuhiliki isipokuwa Wajihi Wake. Hukumu ni Yake Pekee na Kwake Pekee mtarejeshwa. [Al-Qaswasw: 88]

Kisha akasema tena Allah mtukufu :

Yeye Ndiye Aliye hai daima hakuna Muabudiwa wa haki ila Yeye; basi muombeni Yeye wenye kumtakasia ‘ibaadah. AlhamduliLLaah, Himidi Anastahiki Allaah Rabb wa walimwengu. [Ghaafir: 65]


Kisha akasema tena Allah Mtukufu :

Allaah, Muabudiwa wa haki ila Yeye, Aliye hai daima, Msimamia kila kitu. [Aal-‘Imraan: 2]

Maswali : Nani amekwambia kwamba Allah ni Hollow ? Au mtazamo wako unao tokana na ujinga wako ?

Nilikuuliza swali nani aliye kwambia kila kilicho hai kina Roho ?

Hili la "Statue" unasema wewe, naomba unipe sifa tano za "Statue" kisha ulinganishe na unayemnasibishia jina hilo.

Tena katika sifa nyingine za Allah ni kuwa Mola wetu anacheka.
Unaandika ma vitu marefu Sana point za kutafuta na tochi, weka swali moja moja

Allah ni umbile lisilo na uhai ndani yake halina roho hili tumemaliza

Uliza swali moja moja
 
Kinachokutatiza ni kwamba imani yako mnaamini allah ni physical being , yani anaumbile linaloshikika , amedhihirisha mwenyewe ana miguu mikono miwili upande mmoja, uso n.k
  • Mguu
    • Muhammad alisema ......' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Vol. 6, Book 60, Hadith 372
    • Koran 68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi (Ugoko),.... Allah mwisho wa siku atadhihirisha mundi
  • Mikono
    • ........"And both of His hands are right hands." Sunan an-Nasa'i 5379
Mungu kwa imani ya kikristo ni roho sio mwili, Kilichokufa ni human flesh
Yn 4:24 Mungu ni Roho....
Akili zako ndogo huwezi kutafsiri qur'an ww

Yni kweli ww unamuita binadamu mwenzako Mungu ambae anakula na kunywa kma ww na mwisho wa siku anaenda Msalani

Allah na uyo yesu wenu nani ni physical being?
Saivi ukiranda makanisani utakuta Sanamu bryan deacon ety ndo Yesu ivi mkoje lkn nyinyi
 
Jiwe jeusi linakazi kubwa sana , ndio maana linasujudiwa na kubusiwa , halijawekwa na Allah bure tu
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho likisaidiana na allah
    • Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allah, Allah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Narrated by al-Tirmidhi, 961; Ibn Maajah, 2944
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • ....."Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi...." Sunan an-Nasa'i 2919
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambi za waislamu
    • Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu." Jami` at-Tirmidhi 877
Mm nimesema weka ushahidi sasa ww maneno meeeengiiii

Usizidi kudhihirisha ujinga wako kma hujui kitu sema uelimishwe
 
Hii ni maana yako. Kushuka kwake kila theluthi ya mwisho wa siku ni katika taratibu zake tu alizo jiwekea ila yeye ni :
Kushuka maana yake hasikiii akiwa mbali hilo halina ubishi angekuwa anasikia hasingekuwa na sababu za kushuka na kupanda kila siku

Hili umezalisha swali lingine , Muhammad alivyoenda kwa Allah alipishana na Allah mbingu ya ngapi? maana Allah alishuka mbingu ya kwanza usiku na Muhammad usiku alikuwa yupo Safarini anaenda mbingu ya Saba akiwa juu ya punda mwenye mabawa,
 
Nimecheka Sana jamaa walimuuliza bila yeye kujipanga akasema hajui , Yani nimecheka na wayahudi wa kipindi hicho
Nakupa kazi unionyeshe ya kuwa Mayahudi wakimcheka, sababu ukisoma katika Tafsiri ya Ibn Kathiri inaonyesha kwanza Mayahudi wenyewe walizozana kuhusu hilo swali, mwingine aliwaambia wenzake msimuulize hilo swali msije mkapewa jibu ambalo litawachukiza na sijaona walipo mcheka wala hakusema hajui, bali alikaa kimya kidogo kisha akawajibu, na Swahaba aliyekuwa nae ni Abdullah Ibn Mas'ud akasema kwa ukimya ule Mtume alikuwa anasubiria Wahayi na kweli punde kidogo akawajibu.

Rejea tafsiri ya aya ya 85 katika surat Al-Israa.

Naswali yangu ni haya :
1. Niwekee andiko au ushahidi unao onyesha Mayahudi walimcheka kadhalika

2. Niwekee ushahidi unao onyesha ya kuwa Mtume aliwaambia moja kwa moja Sijui.
 
Nipo apo kukufundisha uelewe
  • Unajua hao viumbe wanaitwa houris ambao allah kasema anaweza kuchukua kama mke , ni viumbe ambao ni kwa ajili ya kupiga machine tu ni weupe mpaka unaona viungo vya ndani kama moyo , maini n.k
    • Allah hapa anasema akitaka mke atachukua houris au malaika
      • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
    • Muhammad hapa anaelezewa houris ni viumbe weupe mpaka unaona organ za ndani
      • Muhammad akasema .........houris, (who will be so beautiful, pure and transparent that) the marrow of the bones of their legs will be seen through the bones and the flesh." Sahih al-Bukhari 3254
Dah mbona mjinga ww kwanza huna cha kunifundisha we KAFIRI kwenye Uislamu Wangu

Haya mm nakuletea iyo aya kwa kiswahili mna kiingereza hukijui hlf tuoneshe uyo mke huoris

Ujinga ni Mzigo mkubwa sanaa
20220224_184154.jpg
 
Unaandika ma vitu marefu Sana point za kutafuta na tochi, weka swali moja moja

Allah ni umbile lisilo na uhai ndani yake halina roho hili tumemaliza

Uliza swali moja moja
Narudia tena angalia kwenye alama ya kiulizo kisha uchague swali lolote unalotaka wewe ujibu.

Hapo nimekuonyesha ya kuwa Allah ni hai na ana uwezo.

Sasa wewe jibu maswali hayo na yanaonekana. Usipoteze muda.
 
Akili zako ndogo huwezi kutafsiri qur'an ww

Yni kweli ww unamuita binadamu mwenzako Mungu ambae anakula na kunywa kma ww na mwisho wa siku anaenda Msalani

Allah na uyo yesu wenu nani ni physical being?
Saivi ukiranda makanisani utakuta Sanamu bryan deacon ety ndo Yesu ivi mkoje lkn nyinyi
Mimi nakuwekea maandiko Yako kama yalivyo na wala siongezi

Mguu
Muhammad alisema ......' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Vol. 6, Book 60, Hadith 372
Koran 68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi (Ugoko),.... Allah mwisho wa siku atadhihirisha mundi
Mikono
........"And both of His hands are right hands." Sunan an-Nasa'i 5379

Tofautisha Allah ambae ni physical being mda wote Yani ndio nature yake

Na Mungu ambae ni Spirit mda wote ndio nature yake
 
Kushuka maana yake hasikiii akiwa mbali hilo halina ubishi angekuwa anasikia hasingekuwa na sababu za kushuka na kupanda kila siku
Naona unalazimisha uongo uwe ukweli. Hapa lazima utanyoosha maelezo. Hayo ni maamuzi yake.

Nilikuuliza hivi kwani Allah huwa anashuka muda gani ?

Twende kwa kufata maandiko.

Sababu za kushuka ni katika taratibu zake sababu anafanya anavyotaka kama alivyo amua kumuumba Mwanaume na akamuumba mwanamke, kama alivyo amua kulitoa jua Mashariki na kulizamisha Magharibi.
Hili umezalisha swali lingine , Muhammad alivyoenda kwa Allah alipishana na Allah mbingu ya ngapi? maana Allah alishuka mbingu ya kwanza usiku na Muhammad usiku alikuwa yupo Safarini anaenda mbingu ya Saba akiwa juu ya punda mwenye mabawa,
Hapa nitakuuliza wewe swali, kwani mtume alifika mbingu ya saba saa ngapi ?

Maana sisi tumesoma katika maandiko ya kuwa Allah hushuka kila thelulithi ya mwisho ya usiku.

Naomba utuwekee ushahidi kama alishuka mbingu ya saba usiku, sababu usiku umegawanyika.

Lakini, umeonyesha ya kuwa ni kwa namna gani ulivyo mjinga, naomba uniambie mahesabu ya muda katika hizo mbingu yako sawa na ya huku duniani ?
 
Back
Top Bottom