Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Kwa mujibu wa allah mpaka kufika kwake kwa mwendo wa Malaika ni miaka 1000 , labda tunaweza fanya hesabu

Kama tuna time 1000 yrs tuna speed ambayo Allah kasema Malaika Wana speed of light , tunaweza calculate tukapata Allah alipo

Ila Muhammad aliweza kwenda kwa usiku mmoja mpaka mbingu ya Saba ila hakuna Alie muona ata mke wake hakumuona akipanda punda mwenye mabawa , swali linakuja aliwezaje kukimbia na kuvuka speed of light na kumbuka alikuwa na jibril ambae ni Malaika

Hakuna maali Koran wala Hadith inasema Muhammad aliondoka usiku wa saa ngapi , ila Kuna maelezo alifanyiwa upasuaji kwanza kawekewa mabirika tumboni , birika la Imani na birika la maarifa , halikuwa hana hivyo vitu
Uwe unajibu maswali unayo ulizwa.
 
Nimesema kuwa anayekusudiwa ni mmoja kwamba ni muumbaji wa huu ulimwengu japokuwa anaelezwa tofauti kulingana na dini ila ukiangalia utaona kuwa pamoja hizo tofauti ila hao wote Mungu wanayemkusudia ni mmoja tu ambaye ni yule aliyeumba huu ulimwengu.
Ndio anayekusudiwa ni mmoja kwa mujibu wa dini husika, meanwhile aliye nje na dini hiyo hatambuliki.

Hiyo ni kama motto au definition ambayo ya kibinafsi yenye upendeleo inayowatenga miungu wa dini nyingine wasihesabike

Kwa hiyo kauli hiyo ya kusema Mungu ni mmoja itakuwa sahihi kutamkwa kwa ku specify dini fulani lakini haiwezi kutumika kiujumla kwa dini zote.

Sijui umenielewa hapo?

Ngoja nikupe mfano huu

Kuna dhana mbili ambazo waumini wa kiislamu nimeona mara nyingi wanaamini

1. Wanaamini kuwa kuna dini moja tu duniani, dini hiyo ni uislam

Hiyo ni kwa muktadha wa kiislamu na waumini wake na inaishia huko, ni dhana yenye mipaka kwamba wao wameamua kuamini hivyo.

Lakini je ukirudi katika muktadha wa universal, ni kweli duniani kuna dini moja tu ambayo ni uislam?

2. Wanaamini kua hakuna Mungu mwingine isipokuwa Allah, hiyo ni kama slogan watu wamechagua kuitumia lakini dhana hiyo ina mipaka kwasababu ina deal na watu wa dini flani tu

Kwasababu wote hapa tunajua kua there are bunch of gods from various religions, sasa itakuwa ni busara kuwa isolate hii miungu mingine kwasababu dini ya uislam inemtambua allah pekee?
 
Kama umeshaelewa tofauti ya Allah ambae ni physical being na Mungu wa wakristo ambae ni spirit Roho apo tunaenda pamoja

Kilicho pigwa na kuuliwa ni human flesh aliyokuwa ameivaa Yesu , kumbuka Mungu kwa wakristo ni Roho na Mungu hafi , mwili aliotumia Yesu kuja kwetu bidamu ndio uliuliwa na aliufufua mwenyewe
kumuelimisha Mjinga ni kazi kubwa mnoo
 
Ndio anayekusudiwa ni mmoja kwa mujibu wa dini husika, meanwhile aliye nje na dini hiyo hatambuliki.

Hiyo ni kama motto au definition ambayo ya kibinafsi yenye upendeleo inayowatenga miungu wa dini nyingine wasihesabike

Kwa hiyo kauli hiyo ya kusema Mungu ni mmoja itakuwa sahihi kutamkwa kwa ku specify dini fulani lakini haiwezi kutumika kiujumla kwa dini zote.

Sijui umenielewa hapo?

Ngoja nikupe mfano huu

Kuna dhana mbili ambazo waumini wa kiislamu nimeona mara nyingi wanaamini

1. Wanaamini kuwa kuna dini moja tu duniani, dini hiyo ni uislam

Hiyo ni kwa muktadha wa kiislamu na waumini wake na inaishia huko, ni dhana yenye mipaka kwamba wao wameamua kuamini hivyo.

Lakini je ukirudi katika muktadha wa universal, ni kweli duniani kuna dini moja tu ambayo ni uislam?

2. Wanaamini kua hakuna Mungu mwingine isipokuwa Allah, hiyo ni kama slogan watu wamechagua kuitumia lakini dhana hiyo ina mipaka kwasababu ina deal na watu wa dini flani tu

Kwasababu wote hapa tunajua kua there are bunch of gods from various religions, sasa itakuwa ni busara kuwa isolate hii miungu mingine kwasababu dini ya uislam inemtambua allah pekee?
Vizuri.

Sasa waislamu wanaposema hakuna Mungu mwengine isipokuwa Allah, wanakuwa wanamkusudia yule aliyeumba huu ulimwengu na huyo ndio pekee mwenye sifa za Mungu kwa maana ndiye Mungu mwenyewe hivyo hakuna mwengine mwenye haki ya kuitwa Mungu, sasa huyo waislamu wanamtambua kwa jina la Allah.

Huo ni mtazamo wa kiislamu, ila nje ya hapo ndipo hoja yangu inapokuja kwamba tunaona kuwa hata wakristo wanakusudia kitu hicho hicho sawa na waislamu kwa maana nao wanakusudia uwepo wa aliyeumba huu ulimwengu na ni yeye pekee tu na ndio Mungu na hakuna mwengine ila wao wanamtambua kama Yehova. Kwahiyo hoja yangu sio kwa mtazamo wa dini, hivyo yangu ni kwamba wanakikisudia kitu kimoja ila wanakielezea tofauti.
 
قل هو الله احد الله الصمد لم يلد ولم يولد ولم يكن له كفوا احد
 
Habari zenu

Husika na kichwa cha habari
Sina shaka juu ya muumbaji wa huu ulimwengu na vitu na limwengu zingine zote tunazozijua na tusizozifahamu; kwamba M/Mungu aliyeumba wakristo na waislamu na watu wa dini zingine zote na wasiokuwa na dini pia ni yule yule tu M/Mungu mmoja;

Aliyeumba bahari,mito, aliyeumba binaadamu, majini kwa wanaoamini aliyeumba dunia na sayari zingine zote zinazotambulika na zisizotambulika na viumbe vilivyoko huko pia ..

Na msioamini uwepo wa M/Mungu sitaki kuwakera katika hili najua mtauliza M/Mungu mwenyewe ndio nani? Sitawajibu hilo swali nawajuza mapema..

Nimekaa nimeangalia sana waislam na waikristo naona hawana tofauti yeyote kimaumbile na kitabia pia yaani bila shaka ni wapo sawa tu wazi kuwa tumeumbwa na M/Mungu mmoja.. sasa kinachoshangaza hizi tofauti zetu kuchukiana, kugonbana kupelekea mpaka kuuana na mambo mengine ya hovyo kufanyiana.. kama tumeumbwa na M/Mungu tofauti ...haipendezi..

Na bora nchi yetu chuki juu ya imani/dini tofauti haipo sana haijashika kasi sana mataifa mengine ni hatari zaidi walimu wadini wanapaswa kutoa elimu nzuri kwa waumini wao na kutohubiri au kutoa mawaidha ya chuki kwa waumini wao..

Asante
Naunga mkono asilimia mia moja
 
Vizuri.

Sasa waislamu wanaposema hakuna Mungu mwengine isipokuwa Allah, wanakuwa wanamkusudia yule aliyeumba huu ulimwengu na huyo ndio pekee mwenye sifa za Mungu kwa maana ndiye Mungu mwenyewe hivyo hakuna mwengine mwenye haki ya kuitwa Mungu, sasa huyo waislamu wanamtambua kwa jina la Allah.

Huo ni mtazamo wa kiislamu, ila nje ya hapo ndipo hoja yangu inapokuja kwamba tunaona kuwa hata wakristo wanakusudia kitu hicho hicho sawa na waislamu kwa maana nao wanakusudia uwepo wa aliyeumba huu ulimwengu na ni yeye pekee tu na ndio Mungu na hakuna mwengine ila wao wanamtambua kama Yehova. Kwahiyo hoja yangu sio kwa mtazamo wa dini, hivyo yangu ni kwamba wanakikisudia kitu kimoja ila wanakielezea tofauti.
Kwa ujuavyo wewe ni kweli hakuna Mungu kutoka kwenye dini zingine mwenye sifa ya uumbaji zaidi ya Allah?

Kama yupo utakubali kumuita Mungu huyo ni Allah?

Sumerian wana Mungu wao anaitwa "Enlil" ambaye anasifa za uumbaji wa mbingu na pia ana mdogo wake anaitwa "Ninhursag" huyu ni muumbaji wa ulimwengu, lakini pia kuna mwingine anaitwa "Utu" huyu ni Mungu muumbaji wa jua na mratibu wa haki pamoja na baba yake "Nanna" ambaye ni Mungu wa mwezi

Kwa hiyo hao wote niliowataja ni sahihi kuwaita Allah kwasababu wanasifa ya uumbaji?
 
Hiyo miungu ya sumerian ni kitu tofauti na kile kinachokusudiwa na waislamu/wakristo wanapomtaja Mungu, kama nilivyosema kuwa waislamu/wakristo wanamzungumzia Mungu ambaye ni mmoja na ndiye muumbaji, na si kwamba ni mmoja wa miungu aliyehusika na aina fulani ya uumbaji hilo hapana bali anayekusudiwa na waislamu/wakristo ni Mungu ambaye ndio pekee muumbaji.

Kwahiyo sumarian wanaamini miungu na sio katika Mungu mmoja hivyo ni tofauti na kichokusudiwa na waislamu/wakristo.
 
Kweli Mungu ni mmoja tuu
ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwa

ukienda qur'an 112:1 utapata majibu ya ulichokiongea na nilichokuelimisha
Hayo mambo ya imani za wenzio yaache, wewe amini unayofundishwa kwa imani yako waache wakristo nao waamini mafundisho ya imani yao,

Siku ya mwisho Mungu ndio atatoa hukumu kwamba wakristo wamekosea kumuweka kwenye nafsi tatu ama wamepatia, usijipe nafasi ya Mungu kuhukumu imani za wenzio

Kila mtu aheshimu imani ya mwenzake na tupendane maana Mungu ni mmoja
 
Unarudi kwenye hoja yetu hapa kwamba anayekusudiwa ni mmoja tu pamoja na kutofautiana majina au mafundisho ila huyo Mungu anayekusudiwa ndio huyo anasemwa kuumba huu ulimwengu. Hayo majina uliyoweka mengi yana maana ya Mungu ukiyatafsiri kwenye kiswahili ni sawa na mzw

Kwani ww si nimsomi hicho ulichokisoma uliandika ww au.au labda neno imani ndio linakuchanganya. Jua hivi kwa vyovyote hakuna asie na imani hapa ulimwenguni. Mm namuamini ALLAH peke ww hauamini inamana Kuna kitu unachokiamini kingine Sasa tatizo linakuja wapi ww unataka niamini kama unavoamini ww, wakati kila mtu ana imani yake.
🙂
Hujui maana ya imani.
Sio kila mtu ana imani.
Mimi siamini kwa miungu,malaika, mizimu wala mashetani. Usilazimishe tufanane.
 
Hakuna nabii aliyezaliwa Tanzania akaandikwa kwenye vitabu vya wakoloni. Tumepokea vitabu vya hadithi za miungu ya wakristo na waislamu. Miungu ya watu wengine. Jamii za kiafrica zina imani tofauti tofauti za kiasili kabla ya ukoloni. Wewe umeamua kuunga mkono ujinga wa kuhiji Saudi Arabia na kuwaingizia fedha za kigeni kila mwaka au ujinga wa kutoa sadaka zinaenda mpaka Rome Italy. Mataifa mengine yanapiga hela mwafrika anayapelekea hela kisa dini🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
Unaposema mlizoletewa unamanisha nini.??? Sasa siutaje dini yenu mliokua nayo kabla ya kuletewa ??? Je ww hio dini / imani unauhakika ndio kila jamii hapa Africa ndio waliokua nayo??? Kuna makabila hapa Africa yanakula watu je nakwenu ndio hivo na unataka uendeleze usikwepe ukaanza kusema kwa utandawazi huu sijuwi digital mara globalization,hivyo vyote vyakuletewa hatukuwa navyo sisi ok. Sasa ww twambie kipi chatufaa Mana hata kabla ya hayo yote pamoja nakudai kua hivi tuvionavyo nivyakuletewa haya vyakwenu mnavyojivunia vikowapi
 
Nani kasema kukopy tamaduni za watu ni ujinga. Hakuna aliyesema usiijifunze vitu vipya.
Busara ni kuchagua kipi kina mantiki na kipi hakina mantiki.
Tumia akili yako kuchuja kipi sahihi na kipi sio sahihi.
Wewe kama kichwa chako kinakwambia gari halifai sisi hatuwezi kukuzuia, ni akili yako ndo ilivyo na una uhuru wa kufikiria.
Walikua na Nini ??? Hvyo vitu/ mila walizokua nazo Leo hii wewe ukiambiwa kufanya unafanya ??? Je hizo mila unafanya au unadai kwa mdomo tu ??? Kuanzia sasahiv achana na dini zao ,elimu yao uliosoma tupilia mbali, nguo achana nazo ,simu ndio kabisa ,gari usipande Yani kila kitu kinachojiusisha nao hao achana nacho sio unaacha baadhi na baadhi unabaki na vyo utakua unafiki huo
 
Nani kasema kukopy tamaduni za watu ni ujinga. Hakuna aliyesema usiijifunze vitu vipya.
Busara ni kuchagua kipi kina mantiki na kipi hakina mantiki.
Tumia akili yako kuchuja kipi sahihi na kipi sio sahihi.
Wewe kama kichwa chako kinakwambia gari halifai sisi hatuwezi kukuzuia, ni akili yako ndo ilivyo na una uhuru wa kufikiria
Walikua na Nini ??? Hvyo vitu/ mila walizokua nazo Leo hii wewe ukiambiwa kufanya unafanya ??? Je hizo mila unafanya au unadai kwa mdomo tu ??? Kuanzia sasahiv achana na dini zao ,elimu yao uliosoma tupilia mbali, nguo achana nazo ,simu ndio kabisa ,gari usipande Yani kila kitu kinachojiusisha nao hao achana nacho sio unaacha baadhi na baadhi unabaki na vyo utakua unafiki huo
 
Sasa rejea swali lako. Kisha ujibu maswali uliyo acha kuyajibu.
Alienda usiku ila haijulikani mda maalum , maana hakuna alieshuhudia huo muujiza ,
Swali langu lilikuwa kwa umbali wa kwenda kwa Allah na Allah kushuka usiku Muhammad na Allah walipishania mbingu ya ngapi? na kama hawakupishana Muhammad wakati anashuka je alishuka pamoja na Allah au alimuacha Allah nyuma?

Muhammad aliwezaje kwenda sehemu ambayo Malaika Alie kuwa nae jibril anatakiwa kuchukua miaka 1000 kufika?
 
Back
Top Bottom