Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Nimekwambia umalizie iyo Aya mbona humalizii

hlf kwenye Uislamu hatuna utatu wala uwili sisi ni Mungu ni mmoja tuu
Elewa kwanza apo Allah hajui utatu ni nini , ameelezea kwa kupotosha

Umekalia akili au
 
Sasa nani anapoza wakristo wenyewe au nani? Ndio maana nilikuuliza kuwa je wakristo wanaamini miungu mingi kwamba kuna Mungu zaidi ya mmoja? kwa sababu wenyewe wanaamini Mungu mmoja ana nafsi tatu na si miungu mitatu tofauti na sumerian au wahindi wao hawana hicho kinachoitwa utatu bali wanaamini katika miungu mingi.

Nje ya hiyo imani ya utatu tunaweza kusema ni miungu mitatu, ni muhimu kuzingatia hapo.
Ndio ni kweli kwamba wakristo wanaamini Mungu zaidi ya mmoja ila hawatumii neno miungu kui refer

Wakristo wanaamini Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho

Sumerian pia kuna Mungu baba, na Mungu mwana kasoro tu huyo mungu roho ndio hayupo

Kwanini sumerian wahesabike waaabudu Miungu kwasababu wanaabudu Mungu zaidi ya mmoja wakati upande mwingine katika mazingira haya haya wanaabudu Mungu zaidi ya mmoja na hawawi considered kama waabudu miungu?
 
Elewa kwanza apo Allah hajui utatu ni nini , ameelezea kwa kupotosha

Umekalia akili au
Ujinga ni mzigo mkubwa hivi ambao unaubeba kichwani mwako huku ukitembea nao ukijiona una akili
 
Ndio ni kweli kwamba wakristo wanaamini Mungu zaidi ya mmoja ila hawatumii neno miungu kui refer

Wakristo wanaamini Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho

Sumerian pia kuna Mungu baba, na Mungu mwana kasoro tu huyo mungu roho ndio hayupo

Kwanini sumerian wahesabike waaabudu Miungu kwasababu wanaabudu Mungu zaidi ya mmoja wakati upande mwingine katika mazingira haya haya wanaabudu Mungu zaidi ya mmoja na hawawi considered kama waabudu miungu?
Mkuu kumbuka hiyo ni imani na hivyo ndivyo wanavyomuelezea Mungu wao kuwa ana nafsi tatu kwa maana Baba Mwana na Roho, hivyo ndivyo wanavyomuelezea Mungu kwa jinsi wanavyoamini wao.
 
Kwani Sumerian wapi wameelezea kwamba wanaabudu miungu, maana wewe umewaita waabudu miungu?
 
Wewe ndio umeleta hoja ya kwamba hatuwatambui wakristo kuwa wanaamini na kuabudu miungu na ndio ukaleta huo mfano wa hao sumarian.
 
Na ni wewe ambaye umesema dini zote zinaabudu Mungu mmoja

Lakini nilipokuoneshea dini ya Sumerian ukabadili gia na kusema hao wanaabudu miungu kwasababu kuna mungu zaidi ya mmoja

Hapo ndio nikaja kwa wakristo kukuoneshea kwamba mbona hata hao wakristo wana abudu Mungu zaidi ya mmoja, lakini bado hamuwaweki kwenye kundi la waabudu miungu

Ukaniuliza "kwani wao wakristo wanajielezea kwamba wanaabudu miungu" nikajenga hoja kupitia kauli yako uliyosema hatupaswi kuangalia misimamo yao maana hatuwezi kujua ukweli na tukifanya hivyo basi tutasema kila dini na miungu inayoabudiwa ni ya kweli
 
Labda tu huzingatii mkuu ila sikuwa nasema kila dini au dini zote zinaabudu Mungu mmoja, mara zote nimekuwa nikirudia kusema kuwa Mungu anayekusudiwa ni mmoja. Nilisema kabisa kuwa wakristo na waislamu ukiwasoma vizuri utagundua kuwa huyo Mungu wanayemkusudia ni mmoja kwamba ndiye muumbaji wa huu ulimwengu ila japo wana maelezo tofauti kumuhusu huyo Mungu ila wanakusudia kitu kimoja na nikasema huo ni kwa mtazamo wa nje wa hizo dini.
 
Kama nakuelewa hivi

Ulisema wanakusudia Mungu mmoja ambaye ndio muumbaji, kwa mantiki hiyo nitakua sahihi kusema ulimaanisha kila Mungu wa dini ambaye ametajwa kama muumbaji unamhesabu kama Mungu mmoja ambaye unamuabudu wewe?
 
Hapana kwa sababu haiwezekani ikawa jinsi Mungu anavyoelezwa labda na wakristo ambapo ni tofauti na anavyoelezwa na waislamu halafu tukasema wote wapo sahihi ijapokuwa wote wanamkusudia mmoja ila wanamueleza tofauti na hivyo hufanya kuwa na maelezo yamuhusuyo Mungu (mkudiwa) ambayo si sahihi na ambayo ni sahihi.
 
Sio mmoja!! Kila asili ina Mungu wake. Mf. Mimea, kila aina ya mmea Ina Mungu wake, kila aina ya mnyama ina Mungu wake. Kila mahali penye uhai pana chanzo cha huo uhai. Labda wakae pamoja na kumchagua Mungu kiongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wa kweli hakuzaa wala hakuzaliwa hafanani na kitu chochote kile mungu huyu pia hana jina .ukiona dini mungu wafuasi wake wanahadi sura yake wanavisanamu vyake hiyo dini ina walakini sana ..kitendo cha mungu kufananana na binadam ni kumtia hudhaifu huyo mungu .mungu kwanza haonekani .hawa wanaoabudu miungu wanao fanana na binadam kesho wataulizwa huko .

Hivi mungu wa koran anasema mwenyewe hakuzaa au anasemewa?
 
Jibu hilo apo
20220315_060619.jpg
 
Ukisoma Biblia hasa agano la kale unajua kabisa Mungu ni mmoja muumba mbingu na nchi.

Ukija kusoma agano jipya unakuta MUNGU BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU.

Huwa pia najitahidi kuunganisha ili niende sawa na wengine tu.

Ngoja tungojee hiyo Bible mpya anayotoa Papa mwaka huu 2022, tuone kilichoandikwa.

Roman Catholic ndo wanai run dunia upande wa imani, though I'm not among
 
Yeye mwenyezi mungu?
Hivi mungu wa koran na malaika wake jibril wameshawahi kuongea na maswahaba wa Muhammad
mbona hueleweki untka nn ww

uliuliza nimekujibu sema basi asante umenijibu vzr ila unaleta maswali yaso na kichwa wala miguu
 
Mkristo anaamini Mungu wake ni Yesu/Yesu ni mwana wa Mungu na Mungu kawaumba kwa mfano wake na huyo yesu wanaweza kumuomba msamaha akawasamehe, na Yesu ndie anatetukuzwa sana katika ibada watu wanaomba kwa jina lake

Muislam anaamini Mungu wake ni mmoja tu hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja na huyo Mungu ndo anafaa kutegemewa na kuombwa msaada, Na anaetukuzwa ni huyo Mungu tu ndo anaombwa kwa jina lake pekee.

Mkristo na Muislam Hao hawaamini kitu kimoja
Hata muislam anamtukuza zaidi Muhammad kuliko Allah jaribu kuchunguza utakubaliana nami.
 
Back
Top Bottom