Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Hata muislam anamtukuza zaidi Muhammad kuliko Allah jaribu kuchunguza utakubaliana nami.
Hakuna muislam anaeomba kwa jina la Muhammad ila wakristo wanaomba kwa jina la yesu
Waislam hawamuombi mtume ila wanamuomba Mungu wao wanae amini hakuzaa Wala hakuzaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja
 
Ukisoma Biblia hasa agano la kale unajua kabisa Mungu ni mmoja muumba mbingu na nchi.

Ukija kusoma agano jipya unakuta MUNGU BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU.

Huwa pia najitahidi kuunganisha ili niende sawa na wengine tu.

Ngoja tungojee hiyo Bible mpya anayotoa Papa mwaka huu 2022, tuone kilichoandikwa.

Roman Catholic ndo wanai run dunia upande wa imani, though I'm not among
MWANZO 2:26

MUNGU akasema: Na tumfanye Mtu kwa mfano wetu na kwa sura yetu, wakatawale Samaki wa baharini na ndege wa angani, na wanyama wa nchi pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi

Alikuwa anamwambia nani?
 
Kihebrania - Yahweh
Kiarabu - Allah

Kiswahili - Mungu.

Hakuna utofauti wowote
Hapo kwenye kiswahili Mungu ndio umechemka,Mungu ni sifa ila jina lake ni lipi?? Kiarabu Allah sio maana yake Mungu ila ni jina la huyo Mungu.sijui naeleweka yani Mungu kiarabu chake sio Allah ni Ilaha
 
Bahat mbaya watu hawapend kusikia ukweli.

Uslam na ukristo ni imani mbil tofaut zilizoundwa na jamii moja yenye malengo fulan kwa dunia.

Mungu wa uislam na ukristo ni tofauti, mbingu ya uislam na ukristo ni tofauti.

Stories za maandiko ya uislam na ukristo ni toafut.

Jehanam iliyotajwa na uislam ni tofauti na ile iliyotajwa na ukristo.

Yesu wa ukristo ni tofaut na Yule issa wa marium

, Inshort hizi ni dini mbili tofaut zilizoundwa kwa nadharia tofaut zenye malengo aina moja tu, kulazimisha jamii za kiafrika ziamin ktk White supremacy, kutia uoga na kulazimisha watu waamini bila kuhoji.

Huyo Mungu angekuwa mmoja bas asingeruhus tofaut ziwepo, ambazo zmekuwa zkileta migogoro na migongano.

Tofaut hizo hupelekea mauwaji sabbu za kiitikadi, utengano, na dharau,

Ni mjinga tu ndye atakaye halalisha usawa wa hizi imani kuwa mmoja,

Uislam & ukristo ni agenda za viumbe haramu wa kiroho walizoamua kutumia kumshurutisha mtu mweusi asahau imani yake na asili yake, kwa kufuata nadharia za uongo, ambazo ziliundwa na wajanja wachache View attachment 2127872
Sasa mbona uslam umetamalaki huko uarabuni ambapo hakuna watu weusi
 
Tatizo mbingu ya wakiristo imetupunja sana wanaume. Yenyewe haina bia, madem bikra 72, haina mito ya maziwa na bahari ya asali

Yaani hii naona tuwaachie wanawake tu

Sisi wanaume tufukuzie mbingu wa kiislam maana unaishi kibosi kuliko biliget wa leo hapa duniani ila ukijichanganya ukaenda mbingu ya kikiristo basi we kazi mwanzo mwisho.

We nikusujudu na kuabudu bila kikomo. Hebu jiulize kazi moja inavyochosha ukiifanya kwa masaa ma8 tu hapa duniani sana ukaifanye hiyo kazi masaa yasiyo na hesabu kule mbinguni itakuwaje?
Kiukweli wamezingua huko paradiso
 
Mungu anaetajwa ndani ya vitabu vya bibilia sio huyo imposter.
zingatia kwamba, Mungu wa kwenye Qur'an hajataza jina lake hata sehemu moja, kataja sifa Zake tu.
so, hata wafuasi wake hawamjui jina lake halisi . wao wanajua wanaabudu mungu tu ila jina hawamjui.
Mungu wa waisam ndio ametaja jina lake ambapo ni Allah,ila wa kwenye biblia hakuna hata andiko moja alipotaja jina lake zaidi ya pale aliposema mimi niko ambaye niko
 
Mungu ni mmoja na kweli yupo na anatenda na hakuna mbadala wake
Wote tumtegemee yeye peke yake tu anaweza
 
Nikuulize swali moja la msingi sana , Kwa nini mnabusu jiwe?
...
images%20(12).jpg
 
mbona hujibu unachotakiwa kujibu

Ety Mungu anapigwa anasulubiwa hlf hao watu ndo wanampenda sana akili Mfu ndo zitaamini hii kitu pekee

Dunia nzima inajua kua Uyo mnomuita Yesu ni binadamu nyie mkadanganywa sijui Roho sijui mtakatifu yni full majanga tuu

kaa chini usome usiwe kibubusaaa
Umeandika Kashfa hapa.

Unajua kuwa hii ni kashfa kwa dini usiyoifahamu? Tuanzie hapo.
 
Dah mbona mjinga ww kwanza huna cha kunifundisha we KAFIRI kwenye Uislamu Wangu

Haya mm nakuletea iyo aya kwa kiswahili mna kiingereza hukijui hlf tuoneshe uyo mke huoris

Ujinga ni Mzigo mkubwa sanaaView attachment 2129914
Unajua Ukafiri alioufanya Muhammad kwanza? Unahitaji kuujua?

Jibu swali langu la kwanza tuendelee na mnakasha jamvini

Si umeshashiba na bila shaka umeshaswali Ishaa? Au bado
 
Kweli Mungu ni mmoja tuu ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwa

Ukienda qur'an 112:1 utapata majibu ya ulichokiongea na nilichokuelimisha
Kitu gani kinakufanya kuhisi hao wakristo wankosea katika utatu?!
Simple logic: unawezaje kumhukumu mtanzania kwa sheria za Rwanda?!
Nimeuliza kwa sababu isalam na ukristu ni dini mbili tofauti zenye mitizamo na misingi tofauti ma zenye katiba zao tofauti pia.
Mfano; SDA hushutumu kuhusu RC binafsi nashangaa kwa sababu chanzo, muundo na imani zao ni zina kiasi kikubwa cha utofauti
 
Mungu wa waisam ndio ametaja jina lake ambapo ni Allah,ila wa kwenye biblia hakuna hata andiko moja alipotaja jina lake zaidi ya pale aliposema mimi niko ambaye niko

"Mwalimu wa shule ya Madina ametaja jina lake ambalo ni Mwalimu , ila mwalimu wa shule ya Mpinga hakutaja jina lake zaidi ya kusema mimi ni Salehe".

👆👆👆
icho ndicho ulichokiandika na nimeikiweka katika lugha rahisi ili nikisema una tatizo la akili usipanic.
 
Kitu gani kinakufanya kuhisi hao wakristo wankosea katika utatu?!
Simple logic: unawezaje kumhukumu mtanzania kwa sheria za Rwanda?!
Nimeuliza kwa sababu isalam na ukristu ni dini mbili tofauti zenye mitizamo na misingi tofauti ma zenye katiba zao tofauti pia.
Mfano; SDA hushutumu kuhusu RC binafsi nashangaa kwa sababu chanzo, muundo na imani zao ni zina kiasi kikubwa cha utofauti
Soma iyo apo nahisi nitakua nimekujibu
20220316_071515.jpg
 
Unajua Ukafiri alioufanya Muhammad kwanza? Unahitaji kuujua?

Jibu swali langu la kwanza tuendelee na mnakasha jamvini

Si umeshashiba na bila shaka umeshaswali Ishaa? Au bado
Kwanza unajua maana ya ukafiri? niletee maana ya kafiri hlf nitakujibu swali lko
 
Back
Top Bottom