Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 5,668
- 9,806
Mm sihukumu mtu bali ni kuelekezana kwenye ukweli tuuNadhani umecite kutoka kwenye quran, unayetaka kumhukumu haamini katika hicho kitabu zaidi anaamini katika biblia yake. Je, ni haki?!
Kwanini usitumie kitabu chake kumfanyia hukumu yake iwe ya haki?!