Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Hiyo miungu ya sumerian ni kitu tofauti na kile kinachokusudiwa na waislamu/wakristo wanapomtaja Mungu, kama nilivyosema kuwa waislamu/wakristo wanamzungumzia Mungu ambaye ni mmoja na ndiye muumbaji, na si kwamba ni mmoja wa miungu aliyehusika na aina fulani ya uumbaji hilo hapana bali anayekusudiwa na waislamu/wakristo ni Mungu ambaye ndio pekee muumbaji.

Kwahiyo sumarian wanaamini miungu na sio katika Mungu mmoja hivyo ni tofauti na kichokusudiwa na waislamu/wakristo.
Kwanini wakristo wasiwekwe kundi moja la waabudu miungu wakati wanaabudu mungu zaidi ya mmoja?
 
Hayo mambo ya imani za wenzio yaache, wewe amini unayofundishwa kwa imani yako waache wakristo nao waamini mafundisho ya imani yao,

Siku ya mwisho Mungu ndio atatoa hukumu kwamba wakristo wamekosea kumuweka kwenye nafsi tatu ama wamepatia, usijipe nafasi ya Mungu kuhukumu imani za wenzio

Kila mtu aheshimu imani ya mwenzake na tupendane maana Mungu ni mmoja
kwaio mtu akikosea asiambiwe?
basi tufanye ata ww mtoto wako akikosea usimrekebishe subiri Siku ya hukumu huko akarekebishwe na Mungu

qur'an inasema"kwa hakika wamekufuru wale wanaosema Mungu yupo katika utatu..."
Allah mwenyewe ameshasema ivo bali sio maneno yangu
 
Kwanini wakristo wasiwekwe kundi moja la waabudu miungu wakati wanaabudu mungu zaidi ya mmoja?
Hivyo ndivyo ambavyo wenyewe wanasema ama kuamini kwamba wanaabudu zaidi ya Mungu mmoja au kuamini Mungu zaidi ya mmoja?
 
kwaio mtu akikosea asiambiwe?
basi tufanye ata ww mtoto wako akikosea usimrekebishe subiri Siku ya hukumu huko akarekebishwe na Mungu

qur'an inasema"kwa hakika wamekufuru wale wanaosema Mungu yupo katika utatu..."
Allah mwenyewe ameshasema ivo bali sio maneno yangu
Wewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,
Anajua utatu ni maryamu, ISSA na Allah , ni vizuri tukaanza elimu kwa Allah kwanza

116. Na pale Allah atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Allah.....
 
Mkuu mbona hukunijibu tena lile suala la kifo cha Yesu?
 
Hivyo ndivyo ambavyo wenyewe wanasema ama kuamini kwamba wanaabudu zaidi ya Mungu mmoja au kuamini Mungu zaidi ya mmoja?
Unataka tuwafate wao wanavyosema halafu tuhitimishe kwa mtazamo wao?
 
kwaio mtu akikosea asiambiwe?
basi tufanye ata ww mtoto wako akikosea usimrekebishe subiri Siku ya hukumu huko akarekebishwe na Mungu

qur'an inasema"kwa hakika wamekufuru wale wanaosema Mungu yupo katika utatu..."
Allah mwenyewe ameshasema ivo bali sio maneno yangu
Hapana ndugu, umenielewabibaya
Ndio maana nikasema amini mafundisho yako, wewe una uhakika wamekosea? Hivyo vitabu pia vimeandikwa na wanaadamu hebu tuache kuwa mahakimu

Amini Kuran, waache wakristo waamini bible, maisha yaendelee,maana ukianza kuleta mistari ya kuran hapa, nao wataleta mistari ya Bibilia

Hebu kila mtu aamini kile anachoona ni sahihi, Mungu ndie atakaehukumu sio mimi wala wewe
 
Wewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,
Anajua utatu ni maryamu, ISSA na Allah , ni vizuri tukaanza elimu kwa Allah kwanza

116. Na pale Allah atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Allah.....
Wewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,
Anajua utatu ni maryamu, ISSA na Allah ni vizuri tukaanza elimu kwa Allah kwanza

Mbona unajikanganya maneno yako mwenyewe kijana? haya sasa malizia aya inayofuata mwenyewe kabla sijaiweka mimi
 
Hapana ndugu, umenielewabibaya
Ndio maana nikasema amini mafundisho yako, wewe una uhakika wamekosea? Hivyo vitabu pia vimeandikwa na wanaadamu hebu tuache kuwa mahakimu

Amini Kuran, waache wakristo waamini bible, maisha yaendelee,maana ukianza kuleta mistari ya kuran hapa, nao wataleta mistari ya Bibilia

Hebu kila mtu aamini kile anachoona ni sahihi, Mungu ndie atakaehukumu sio mimi wala wewe
Nilikuuliza swali pale juu hebu lijibu kwanza hlf ndo uendelee kuongea
 
Samahani sana ndugu, sipo hapa kusoma elimu ya Allah wala kutoa elimu ya Allah

Nadhani focus mada imesema Mungu ni moja na kwahiyo hebu tuangazie upande huo kila mtu aheshimu kile anachoamini bila kumuhukumu mwenzake

Nashukuru sana
 
Wewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,
Anajua utatu ni maryamu, ISSA na Allah ni vizuri tukaanza elimu kwa Allah kwanza

Mbona unajikanganya maneno yako mwenyewe kijana? haya sasa malizia aya inayofuata mwenyewe kabla sijaiweka mimi
Allah hajui utatu ulivyo umeona apo
 
Unataka tuwafate wao wanavyosema halafu tuhitimishe kwa mtazamo wao?
Kwa sababu kama wangekuwa wanaamini miungu mingi basi wangesema kama ambavyo tunavyoona wahindi na imani zao za kuamini miungu mingi, ila wakristo wenyewe wanasema Mungu ni mmoja hivyo hawaamini miungu mingi.

Suala la utatu pamoja na kuwa halieleweki ila wenyewe kiimani linamkusudia Mungu mmoja na si kwamba kuna miungu mitatu, tatizo hapo lipo kwenye hicho kinachoitwa utatu.
 
Huenda Mungu wa Waislamu ndio sahihi japo sio % 100 kwani Kuna Suni na Shia. Nasema hivyo kwani wao hawajamgawa Mungu sehemu tatu kama Wakristu. Ila tu nashauri kila mtu afuate imani yake ya asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu kama wangekuwa wanaamini miungu mingi basi wangesema kama ambavyo tunavyoona wahindi na imani zao za kuamini miungu mingi, ila wakristo wenyewe wanasema Mungu ni mmoja hivyo hawaamini miungu mingi.

Suala la utatu pamoja na kuwa halieleweki ila wenyewe kiimani linamkusudia Mungu mmoja na si kwamba kuna miungu mitatu, tatizo hapo lipo kwenye hicho kinachoitwa utatu.
Hoja iliyopo mezani ni kua dini inayoabudu mungu zaidi ya mmoja inaabudu miungu

Sumerian wanaabudu mungu zaidi ya mmoja, kwa mantiki hiyo sumerian wanaabudu miungu

Ukristo una abudu mungu zaidi ya mmoja?

Kama jibu ni ndio basi tufate utaratibu ule ule ambao tumeufata kwenye dini ya sumerian

Kwanini tukifika kwenye ukristo unatafuta maneno ya kupoza isionekane kama wanaabudu mungu zaidi ya mmoja ilihali wote runajua kuna mungu yesu na mungu yehova?
 
Sasa nani anapoza wakristo wenyewe au nani? Ndio maana nilikuuliza kuwa je wakristo wanaamini miungu mingi kwamba kuna Mungu zaidi ya mmoja? kwa sababu wenyewe wanaamini Mungu mmoja ana nafsi tatu na si miungu mitatu tofauti na sumerian au wahindi wao hawana hicho kinachoitwa utatu bali wanaamini katika miungu mingi.

Nje ya hiyo imani ya utatu tunaweza kusema ni miungu mitatu, ni muhimu kuzingatia hapo.
 
Samahani sana ndugu, sipo hapa kusoma elimu ya Allah wala kutoa elimu ya Allah

Nadhani focus mada imesema Mungu ni moja na kwahiyo hebu tuangazie upande huo kila mtu aheshimu kile anachoamini bila kumuhukumu mwenzake

Nashukuru sana
M nimekwambia usome elimu au nimekuuliza swali mbona ufahamu mdogo lkn?
 
Aisee mbona hueleweki ww inaonekana ata ulichokiandika mwenyewe hukielewii
Mbona rahisi tu soma Allah anasema utatu ni nini

Kwa uelewa wa Allah utatu ni 1.Allah 2.issa 3. Maryamu kitu ambacho hakuna mkristo anaamini hivyo

116. Na pale Allah atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Allah.....
 
Mbona rahisi tu soma Allah anasema utatu ni nini

Kwa uelewa wa Allah utatu ni 1.Allah 2.issa 3. Maryamu kitu ambacho hakuna mkristo anaamini hivyo

116. Na pale Allah atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Allah.....
Nimekwambia umalizie iyo Aya mbona humalizii

hlf kwenye Uislamu hatuna utatu wala uwili sisi ni Mungu ni mmoja tuu
 
Back
Top Bottom