The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Matusi ya kazi gani mzee,kwa sababu amejiita gunner shooter na wewe umeamini kweli ni kitengo?pumbaavu, we unajuwa nini kuhusu wanajeshi na mitandao ya kijamii
Kupitia fake IDs mtu anaweza akajipa kazi anayoitaka usilewe na username huyo yupo zake maskani kwake anakupanga.