Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda boda boda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwai temeke Kuna deals nikafanye
Kufika makutano ya bandarini gafla kutaamak gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto...
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute Kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏