Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Pole mkuu, Ila Mimi hapo umeniacha njia panda umevunjika yaan wameuchomoa au umevunjika wamekufunga machuma au umevunjika wamefunga piopio? Maana hapo nimeduwaa
Ntapiga picha mkuu ntaziwekaa hapa nikipata wasaa

Nimevunjika mguu wa kushoto kwenye kiwiko Cha mguu na kwenye ugoko

Pia kulia Nina majeraha na maumivu sanaa ila sijavunjika mguu

Hapa sijiwez Kwa chochote ni wakubebwa
 
Nimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater

Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..

Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Ok, point yang sikuona haja ya wewe kuwekewa catheter wangekupa hata condom catheter.

Btw walikuwepo watakuwa wajua kwanini.
 
Mkuu ukipata wasaa utatuelezea scenario nzima ilivyokua vipi kuhusu dereva wako amepona au na yeye amevunjwavunjwa?
Nayeye kavunjika mguu wa kushoto sema yeye yupo ward za kawaida Mimi nipo huku private ward na maumivu sanaa

Wife ni mjamzito miezi ni 5 Huwa anashituka nimemwambia wasimwambie japo sijawai lala nje ya nyumbani

Ndio nimetoka kuchoma dawa ya maumivu..
 
Nayeye kavunjika mguu wa kushoto sema yeye yupo ward za kawaida Mimi nipo huku private ward na maumivu sanaa

Wife ni mjamzito miezi ni 5 Huwa anashituka nimemwambia wasimwambie japo sijawai lala nje ya nyumbani

Ndio nimetoka kuchoma dawa ya maumivu..
Aisee hapo kwa wife inabidi upate njia zuri sana ya kumtuliza laasivyo patazua tatizo jingine
 
Usinikumbushe habari ya catheter, Ile kitu inakera jamani.
Nilifanyiwa TURP mwaka Jana nikawekewa hicho kitu. Kinakera Ila hakiumi Ni Kama ukifanyiwa gastroscopy halafu ukute nesi anayekukandamiza ana maziwa makubwa yanayokukandamiza kwenye masikio.
 
Back
Top Bottom