Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Diclofenac injection imedunda na maumivu balaa

Hapa ndio nimechoma TRAMADOL INJECTION

At least maumivu yameanza kupungua maana nilianza kuugulia Kwa saut

Asante woteeeee kwa upendo mwing na neno la matumaini ambayo mme show kwangu...
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana
 
1:Mungu alikuwa na uwezo wa kumfanya afike monchwari badala ya wodini..
2:Kumfanya ashindwe kuandika hii habari jamiiforum wakati akiwa ana pumua
3:Kumfanya avunjike miguu yote badala ya mmoja...

imeandikwa tushukuru kwa kila jambo mkuu kile ambacho unakiona kama mkosi kwako kuna mwingine anamuomba Mungu ampe walau hicho kuliko linalomkumba
Kwani mungu alikuwa hawez kumfanya akatae kuipanda hiyo bodaboda? Kwani mungu kumuepusha na mochwari inamaanisha kwamba aliidaka bodaboda ili isimuue? Kwahyo wewe unaona sawa mwenzio kuvunjika mguu mmoja kuliko angevunjika yote? ,
Na unavyosema kushukuru, yani kwamba ushukuru mungu kwa kukuvunja mguu mmoja badala ya kuvunja yote?
 
utakua sawa kaka, Mungu akupe ujasiri uweze kulivuka hili, litapita pia .
Asante mkuu,
Leo ntaingia theater kufanyiwa operation na kuwekewa plates...

Hapa na maumivu makali sana sikujua kama Leo ningelala hospitalini bila kujua nitatoka lini...

Leo itakua ni siku ngumu kwangu ndio siku ya operation hapa nilipo miguu yote sijiwezi wakugeuzwa na kuvalishwa nguo....

Yasikie tu omba yasikupate
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Pole sana! Mganga hajigangui, utapona tu, Mwenyezi Mungu akuponye upesi!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kwani mungu alikuwa hawez kumfanya akatae kuipanda hiyo bodaboda? Kwani mungu kumuepusha na mochwari inamaanisha kwamba aliidaka bodaboda ili isimuue? Kwahyo wewe unaona sawa mwenzio kuvunjika mguu mmoja kuliko angevunjika yote? ,
Na unavyosema kushukuru, yani kwamba ushukuru mungu kwa kukuvunja mguu mmoja badala ya kuvunja yote?
Sawa mkuu bare in mind HUJAFA HUJAUMBIKA,

NILIKUA MZIMA BUHERI MPAKA 12 ;30 NA USHEE

Saivi ni wakugeuzwa sijiwezi Kwa LOLOTE hata kutambaa siwezi....

All the best mkuu
 
Kwani mungu alikuwa hawez kumfanya akatae kuipanda hiyo bodaboda? Kwani mungu kumuepusha na mochwari inamaanisha kwamba aliidaka bodaboda ili isimuue? Kwahyo wewe unaona sawa mwenzio kuvunjika mguu mmoja kuliko angevunjika yote? ,
Na unavyosema kushukuru, yani kwamba ushukuru mungu kwa kukuvunja mguu mmoja badala ya kuvunja yote?
Akili huna, Wewe kama humtambui Mungu ungekaa kimya, busara kitu cha bure

Anyways, Pole sana muhanga wa ajali kwa uwezo wa Mungu utapona.
 
Asante mkuu,
Leo ntaingia theater kufanyiwa operation na kuwekewa plates...

Hapa na maumivu makali sana sikujua kama Leo ningelala hospitalini bila kujua nitatoka lini...

Leo itakua ni siku ngumu kwangu ndio siku ya operation hapa nilipo miguu yote sijiwezi wakugeuzwa na kuvalishwa nguo....

Yasikie tu omba yasikupate
My prayers are with you kaka🙏🙏
 
Kwani mungu alikuwa hawez kumfanya akatae kuipanda hiyo bodaboda? Kwani mungu kumuepusha na mochwari inamaanisha kwamba aliidaka bodaboda ili isimuue? Kwahyo wewe unaona sawa mwenzio kuvunjika mguu mmoja kuliko angevunjika yote? ,
Na unavyosema kushukuru, yani kwamba ushukuru mungu kwa kukuvunja mguu mmoja badala ya kuvunja yote?
Mkuu kama unaandika haya ili upate attention watu wakujibu pole sana Mungu akusamehe kama unaandika haya sababu ya ukangaifu wa moyo basi Mungu ajalie upate mtu atakayekuonyesha ukuu wake mimi sio mzuri sana katika kuelezea ila naimani mpaka umri uliofikia umeshuhudia shuhuda nyingi sana za watu wakiongelea miuji,a na ukuu wake
 
Back
Top Bottom