Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini Mungu ampe nguvu. Sisi wanawake huwa tunapitia wakati mgumu sana kusikia wenzetu wamepata ajali na majeraha kama hayo.Nayeye kavunjika mguu wa kushoto sema yeye yupo ward za kawaida Mimi nipo huku private ward na maumivu sanaa
Wife ni mjamzito miezi ni 5 Huwa anashituka nimemwambia wasimwambie japo sijawai lala nje ya nyumbani
Ndio nimetoka kuchoma dawa ya maumivu..
Masikini Mungu ampe nguvu. Sisi wanawake huwa tunapitia wakati mgumu sana kusikia wenzetu wamepata ajali na majeraha kama hayo.
Mimi wangu hakuvunjika ila nilikaribia kupata kichaa na alinificha kama hivi wewe.
Na nilimlaumu sana japo wewe nakuunga mkono kwa kuwa ni mjamzito. Tafuta sababu nzuri ya kumpa kwa kutokurudi kwako nyumbani, na ikiwa vyema ongea nae kabisa.
Kuna mabrother huwa wana love sana kwa kweli mwaka juzi nilipata accident ya kufanana hivyo aliniokoa brother mmoja simfahamu hanifahamu.Kuna ma brother wana love sanaa jamaa
Nikiwa katikati ya barabara Kuna brother alikuja kunibeba kama katoto na hii weight yangu ya 83
Nakumbuka mchana Leo tulichati sana aisee kumbe sikuijua jion yanguMkuu mimi nimewahi kuigia Ajali za kusababishiwa kama tatu hivi Ajali sio mchezo.
POLE SANAAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute Kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akuafuaanAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute Kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Get well soonAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute Kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

1:Mungu alikuwa na uwezo wa kumfanya afike monchwari badala ya wodini..Sasa unachomshukuru mungu ni kipi?
Kukufanya upande hiyo bodaboda, au kukufanya uvunjike huo mguu? Ama kukufanya uheme na mguu huna?