Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Ni Uzi wangu nawapa mrejesho humu Jf kwa Sasa nimeanza kutembea kwa miguu miwili japo nachechemea...

Nimeishi Maisha halisi ya ulemavu nime nyanyapaliwa, baguliwa na KUISHI Maisha halisi ya walemavu...

Nilikua na CASH imetumika balaa nilikua HANDSOME BOY BISHOO kula kunywa ishi Maisha to the epix

Sikuwai jua ajar zinachukua mpaka watu Kama Mimi..

Natembea kwa kuchechemea ni muujiza pia

Ukiwa na ndugu muhitaji au magonjwa nenda kamtembelee msalimie

Life is illusion
 
Ni kipindi ambacho ndio nilikua karib Sana na wife..

Mtoto wangu kazaliwa siwezi kutembea..

Kuna watu hawakuja kuniona na tulikua washikaji

Kazi zangu zikaharibika na kuyoyoma na poteza half of mine..
 
Pole sana mkuu
 
Doktori,,hakika hizi ni habar za faraja kwetu sisi wanajf,,Mungu azidi kukupigania

Na pole sana kwa unyanyapaa pamoja na kutengwa na watu wako wa karibu

Maisha lazima yasonge mbele,naamini ipo siku na tunataka siku ifike utuambie you are back kwa asilimia mia

Pamoja sana
 
Kama wewe siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…