Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Habari ndugu zangu,

Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.

Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.

Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.

Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.

NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.

Mbarikiwe sana wana JF.
Sawa single mom kila la heri ...Ila naumliza ex yupo au alikufa....?
 
😂😂 Mkuu hapo mnajenga nini..?
Huko kujenga ni kubomoa unamuonaje to yeye si anakula anashiba huyu wafikiri ataponywa kwa mijengo..🤣
Though bado haijawa clear kutoishi nae ameamaanisha nn, mm nimewaaza tu hivo. Huenda jamaa alikua naishi mbali na mkewe akawa anakosa muda wa kua karibu na to yeye
 
😂😂 Mkuu hapo mnajenga nini..?
Huko kujenga ni kubomoa unamuonaje to yeye si anakula anashiba huyu wafikiri ataponywa kwa mijengo..🤣
Ukorofi wa waz
 
Back
Top Bottom