Mungu ni mwema nimemaliza miezi mi Nne bila kufanya mapenzi, kuvuta sigara, kunywa pombe.

Kwa mafanikio haya tunamshukuru sana mama
 
Hongera na ashukuriwe Mungu!Mimi fegi ndio nimeshindwa mkuu, Tuombeane Nipe pia mbinu!
 
Hongera ukiwa msafi wa nafsi na mwili hivo hata ukimuomba Mungu ni dakika 0 tu hakucheleweshei, na miongozo yake itakufata hata ndotoni.

Basi tu binadamu sisi wabishi
 
Yeah upo sahihi vitu vingi sana vinatokea ukilewa unakua na akili bandia ukiamka asubuhi unajiuliza hivi ni mm kweli
 
Kuna mnyama mmoja maarufu anaitwa Nyeto anakucheck pembeni huku akitabasamušŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…