Mungu nisaidie bado nina ndoto za kumuoa Butogwa Shija

Umemaliza kila kitu!!
 
Mbona unapenda Farida ana kazi huyu wa pili Buhogwa baada ya kumwacha Farida ana kazi pia mbona hukwenda kutafuta wasio na kazi ? Jamii forums Sio danguro la kuwinda Wanawake Leo uko kwa Farida Kesho kwa Buhogwa.Ok
Farida ana kazi gan? Pia na huyo buhongwa ana kazi gan
 
Mbona hujaweka no. yake tukusaidie kumwelekeza. Fanya hivyo basi tumeguswa kukusaidia.
 
Mbona ni mzuri ana mdomo mzuri mnooo sijapata kuuona navutia picha french kiss lake,inshort ni mzuri sio mbaya kama watu wanavyokuaminisha pia inaonekana ni mtoto mwenye ubongo uliolelewa na sato na sangara tangu mtoto so anaonyesha ni mwenye akili

Sidhani kama hana mchumba,ila ukimpata mpe mapenzi moto moto mtoto yupo gudi
I Recomend ng'ombe 30
 
Watu wanaotaka mademu wa kupiga nao picha za kuweka Instagram hawawezi kukuelewa juu ya hili.
 
Acha kumkatisha tamaa mwenzio
 
Wish you all the best nigga..Usiishie tu kuanzisha miUzi chukua hatua vinginevyo utaishia kumuona tu kwenye profile pics...















Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Ana lips nzuri.
 
Ushaul wa kibandidu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…