Mungu sio mwema

Mungu sio mwema

Kiukweli sijakuelewa kabisa na sitaki kuamini kama hueleweki maana umejitahidi kuandika kisomi sana lakini daaah sijaipata hoja yako.
Somo ni! Mema na mabaya hupelekea udhaifu na ugonjwa kwa kiumbe wa aina yetu.
 
Mbona wewe amekuachaaa mkuu uishii mpaka leo.....acha ufalaaaa
Watu waliokwisha kufa hawakuhitaji kuishi?

Au ukimwamini huyo Mungu ndio kwamba hutakufa?

Hata wewe utakufa ni suala la muda tu, Na huyo Mungu wako hawezi kuzuia usife.

Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo kufanya chochote kile kiwe na maisha.
 
Ko kusipokua na mafundisho ya dini ndo kutakua na Starehe duniani?
Hakuna anayesema anahitaji starehe, watu wanahitaji kurudishiwa uhuru wao.
Ni mwanafalsafa yupi ndani ya hii nchi amejaribu kwenda juu ya mema na mabaya na tutaishi kwenye haya mapango mpaka lini?!

Anayekuambia uweke Tumaini lako Kwa Mungu, yeye alishamuua muda.

Mwisho kabisa nikwambie tunaishi kwenye jamii ya power mongers, Kila mtu anahangaika kuendeleza kizazi chake.
 
Bado hujasema wewe.
 
Nilishajitoa kwny maswala ya Imani mm naona n vitu vya kufikirika tu . Kama Kila kitu kina pande mbili zinazokinzana mfano mrefu mfupi, mweusi mweupe basi Imani Ina kuamini na kutokuamini . Imani naona ni upuuzi tu wala sioni kitu ntapata Yani nipitie shida et niamini n majaribu 🤔 sa si Bora nijaribiwe kitajiri😂
 
Kwa hii miaka michache tuliyopewa hapa Duniani; jua tu kuwa tupo kwenye mtihani tena ule wa kukuvusha; na kwa bahati nzuri tunayo majibu (marking scheme kabisa) ambayo ni Qurani na Biblia
Sasa wewe undelelea kupoteza muda kwa kuchungua mtihani wakati wenzako wanapambana kujibu maswali na kupata maksi..
Pale utakapo ambiwa kalam chini...ndio utajua hujui!!!
 
God is good all the time. Ameumba dunia yenye kila tunachohitaji..
 
Hii Dunia Haina Mungu, Ina masomo meku. Mungu ni aina ya uhalisia unaoingia kwenye maisha yetu Kwa namna tunavyoingiliana...sidhani kama Kuna somo lenye mwanzo na mwisho...
_Watu wengi inawachanganya sana hii. Mi naamini Mungu ndo mwanzo wa uhai na Kila tunachokiona.

_Lakini dini na simulizi za vitabu tofauti kumuelezea Mungu ni utashi wa watu binafsi.

_Nguvu na uweza wake vinajieleza na kuthibitika vyenyewe kupitia kutafakari Alichofanya.

_ Mfano: Fikiri mfumo wa mwili wako jinsi unavyojiendesha, Fikiria unapopona vidonda, Viungo vyako jinsi vilivyoundwa ndani na nje, Mtu ananenepa na kukonda bila viungo kupishanaa. Fikiria kuhusu nguvu ya Jua, Umuhimu wa mvua, Vyanzo yofauti vya maji, Kubadilika kwa majira ya Mwaka, mpangilio wa Nyota angani.

_ Hata kuelea kwa dunia hewani, Namna mimea inakua na vingine vingi havihitaji sisi kukesha kanisani, kutoa sadaka kujua kua yupo.

_Dini ni na vitabu vya dini ni Uzushi na utapeli.
 
Mpangilio wa ustadi wa ulimwengu sio ushahidi kuwa kuna Mungu......sana sana kunaongeza uwezekano wa kutokuwepo kwa Mungu

Hebu fikiria kabla ulimwengu huu haujaumbwa ilikuaje?
Kwamba there’s nothing except God? Mungu alikua wapi? Alianzaje kuumba.... anga tupu?
Alitoa wapi materials ya kuumba ulimwengu wote huu?
Na baada ya kuumba ulimwengu huu ni nini wajibu wake?

Hakuna anayejua kuhusu ulimwengu ulifanyikaje
Utazaliwa utazaa utakufa..... hadithi yako itaishia hapo hii ni kwa viumbe wote

Wewe unapinga maandiko ya wenzako waamini Mungu(Bibilia/Quran) lakini na wewe unamuumba Mungu wako kwa fikra zako
 
Back
Top Bottom