Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
- Thread starter
- #41
Watanielewa wanao boss..Mbona wewe amekuachaaa mkuu uishii mpaka leo.....acha ufalaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanielewa wanao boss..Mbona wewe amekuachaaa mkuu uishii mpaka leo.....acha ufalaaaa
Somo ni! Mema na mabaya hupelekea udhaifu na ugonjwa kwa kiumbe wa aina yetu.Kiukweli sijakuelewa kabisa na sitaki kuamini kama hueleweki maana umejitahidi kuandika kisomi sana lakini daaah sijaipata hoja yako.
Ko kusipokua na mafundisho ya dini ndo kutakua na Starehe duniani?Somo ni! Mema na mabaya hupelekea udhaifu na ugonjwa kwa kiumbe wa aina yetu.
Watu waliokwisha kufa hawakuhitaji kuishi?Mbona wewe amekuachaaa mkuu uishii mpaka leo.....acha ufalaaaa
Hakuna anayesema anahitaji starehe, watu wanahitaji kurudishiwa uhuru wao.Ko kusipokua na mafundisho ya dini ndo kutakua na Starehe duniani?
Bado hujasema wewe.Hakuna anayesema anahitaji starehe, watu wanahitaji kurudishiwa uhuru wao.
Ni mwanafalsafa yupi ndani ya hii nchi amejaribu kwenda juu ya mema na mabaya na tutaishi kwenye haya mapango mpaka lini?!
Anayekuambia uweke Tumaini lako Kwa Mungu, yeye alishamuua muda.
Mwisho kabisa nikwambie tunaishi kwenye jamii ya power mongers, Kila mtu anahangaika kuendeleza kizazi chake.
😂 Kwahyo kunawanao ishi milele🤔😂😂Mbona wewe amekuachaaa mkuu uishii mpaka leo.....acha ufalaaaa
Lini anarud🤔Jesussss. Watu wamekata tamaa sana. Kweli Yesu anarudi
Hayupo, ni chai😊Jesussss. Watu wamekata tamaa sana. Kweli Yesu anarudi
Hajasema siku ila alitoa ishara za kukaribia kurudiLini anarud🤔
Totooo habari ya Masomo ? 😂😂Hayupo, ni chai😊
Nipo mchuchu hunitafuti ndo shidaTotooo habari ya Masomo ? 😂😂
Hii Dunia Haina Mungu, Ina masomo meku. Mungu ni aina ya uhalisia unaoingia kwenye maisha yetu Kwa namna tunavyoingiliana...sidhani kama Kuna somo lenye mwanzo na mwisho...God is good all the time. Ameumba dunia yenye kila tunachohitaji..
Gen z mnauthubutu sanaNipo mchuchu hunitafuti ndo shida
_Watu wengi inawachanganya sana hii. Mi naamini Mungu ndo mwanzo wa uhai na Kila tunachokiona.Hii Dunia Haina Mungu, Ina masomo meku. Mungu ni aina ya uhalisia unaoingia kwenye maisha yetu Kwa namna tunavyoingiliana...sidhani kama Kuna somo lenye mwanzo na mwisho...
Mpangilio wa ustadi wa ulimwengu sio ushahidi kuwa kuna Mungu......sana sana kunaongeza uwezekano wa kutokuwepo kwa Mungu_Watu wengi inawachanganya sana hii. Mi naamini Mungu ndo mwanzo wa uhai na Kila tunachokiona.
_Lakini dini na simulizi za vitabu tofauti kumuelezea Mungu ni utashi wa watu binafsi.
_Nguvu na uweza wake vinajieleza na kuthibitika vyenyewe kupitia kutafakari Alichofanya.
_ Mfano: Fikiri mfumo wa mwili wako jinsi unavyojiendesha, Fikiria unapopona vidonda, Viungo vyako jinsi vilivyoundwa ndani na nje, Mtu ananenepa na kukonda bila viungo kupishanaa. Fikiria kuhusu nguvu ya Jua, Umuhimu wa mvua, Vyanzo yofauti vya maji, Kubadilika kwa majira ya Mwaka, mpangilio wa Nyota angani.
_ Hata kuelea kwa dunia hewani, Namna mimea inakua na vingine vingi havihitaji sisi kukesha kanisani, kutoa sadaka kujua kua yupo.
_Dini ni na vitabu vya dini ni Uzushi na utapeli.