Mungu sio mwema

Mungu sio mwema

Okoth p'Bitek

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
1,124
Reaction score
1,384
Nina hoja ningependekeza kuileta mbele yenu wanajamvi..

Kama kichwa na habari kinavyojieleza "Mungu sio mwema"
Je ni kwanini ninasema haya.

Zingatia hili, katika mafundisho yote ya kiimani tunafundishwa kumchukia shetani na mabaya yake yote ili tumpokee kristu, ni kweli Jamaa ni muovu, wewe sasa!! maana yupo ndani yako...hii chuki tunayoieneza dhidi ya shetani inatutengenezea nini sisi kama wanakondoo?!

Ukiangalia Kwa ndani zaidi chuki dhidi ya shetani, inaleta nini zaidi ya visasi, malalamiko na kukata tamaa ?! Sasa je, sisi kama wanadamu tunanufaika vipi na hii chuki tunayoieneza dhidi ya shetani, zaidi ya kutuumiza kihisia na kufifisha silka ya kupambania uhai.

Au Kuna faida ambayo mimi siioni?
Haya sasa tuangalie matendo yaliyopo kwenye wema wa Mungu, submission, compassion, respect and unity.....haya matendo tuliyatoa Kwa Mungu au Kwa kondoo?!

Je haya matendo mema yana faida gani kwetu?! Mbona ni kama hatutaki kutumia macho na kukaa hapa Duniani. Na pia ukienda mbali zaidi utaona ni Kwa namna gani yanaendelea kudidimiza silka ya kupambania uhai, hakuna zawadi nyingine inayotolewa na haya matendo ya kondoo zaidi ya utukufu(udhaifu).

Tukimuona shetani mbaya tunaumia na wema wa Mungu unatupa udhaifu, matokeo yake tunaishia kuwa sick and perishing, ndio maana Kila mkristu na muislamu unayekutana nae barabarani anaumwa either Kwa kufikiria au Kwa mawazo, na moyo pia unaumia.

Je Kuna haja gani ya kuendelea na hii kelele ya mema na mabaya kama Kila upande unaharibu, Kuna haja?!!!!!!!
Yesu alikuwa mchunga kondoo,
Next time try to be there- budha teachings, terrestrial head, beyond good or evil
 
Kwanza huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Mungu na shetani hawapo.

Hao ni Fictional characters, imagination just an illusion.

When you do something good it's God, When you do something bad it's Satan. You don't take responsibility of what you are doing as long as there are two imaginary scapegoats to blame it all on.

Religion is for the morally lazy.
 
IMG-20240711-WA0001.jpg
 
najiuliza ukienda dukani ukanunua shati je ni kipi kati ya wewe na shati kinamuhitaji mwenzake....

kuna jamaa fb niliona clip yake kweli nikajiuliza nikacheka sana kama mungu kamuumba mwanadamu nani mwenye shida na mwenzake maana mwanadamu hakuamuomba mungu amuumbe bali ni mungu mwenyewe aliamua kumuumba mwanadamu...

nasikitika nikisikia eti mungu alituumba tumuabudu wakati yuko na malaika wazuri wenye kujua kusifu na kuabudu.
mwisho najiuliza afrika kusingekua na mali za kuchota wangetuletea dini kweli ili tuanze kumjua huyo mungu mwenye pande mbili mara wavaa suti mara wengine wavaa kanzu
 
Naunga mkono, shetani alifanya kosa dogo tu la kutaka kujifananisha nae, akamuadhibu na kumtupa duniani, alishindwa kumsamehe ila sisi tunaambiwa tusamehe mara 70. Adamu alikula tu kale katunda, akampa adhabu kwa hako tu katunda, ni uuuungwana? Uzi uko poa!!
 
Mtume Daudi alijuta hata kwa nini kaziliwa ila mwisho siku akasema Mungu ni mwema.......acha ukondooooo Mungu ni mwema sanaaaaaaaaa
 
Mungu ni mwema kila wakati kama unabisha kamlete tumuulize
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Mtume Daudi alijuta hata kwa nini kaziliwa ila mwisho siku akasema Mungu ni mwema.......acha ukondooooo Mungu ni mwema sanaaaaaaaaa
Mungu gani mwema anaacha maelfu ya watoto wasio na hatia yeyote ile wanakufa kwa vita, njaa, magonjwa na majanga ya asili?

Huyo Mungu kama yupo ni Mungu Muovu, Mbaya na Mkatili sana na hana hata chembe ya wema.
JamiiForums1832832046.jpeg
 
Mungu ni mwema kila wakati kama unabisha kamlete tumuulize
Mungu gani mwema anaacha maelfu ya watoto wasio na hatia yeyote ile wanakufa kwa njaa, vita, magonjwa, na majanga ya asili?

Kama huyo Mungu yupo ni Mungu Muovu, Mbaya na Mkatili sana na hana hata chembe ya wema.
 
Back
Top Bottom