Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

We jamaa unapenda sana nyuzi za vifo , tangu nakujua humu Jf thread zako zote ni kutabiri mambo mabaya tu kwenyrle nchi.

Bahati nzuri ni kwamba yot unayoandika halijawahi tokea hata moja
 
Kwani kuna nini???
 
We nae kumbe kweli dishi limeyumba? Yaani mpo kwajili ya kuwagombanisha viongozi tu mazuzu nyie, mtu akiwa mkristo mwenzenu mnajifanya mnampenda sanaaa! Kwaiyo mnatamani Samia aondoke aje mgalatia mwenzenu
 

Waache wauane - Chege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…