Mungu wa Lissu ni Mungu aliye hai, kumbe wanaotukana Serikali na Viongozi ni Wao wenyewe

Mungu wa Lissu ni Mungu aliye hai, kumbe wanaotukana Serikali na Viongozi ni Wao wenyewe

Yaani mali za umma waibe ccm na rushwa watoe wao maendeleo yaletwe na Vibrant opposition??
Shame on you.
...a vibrant and visionary opposition... without your "visionary" support! The opposition is trying under difficult conditions, to say the least, even without your support. We cheki katiba, nguvu za polisi, tume mblmbl za kusmamia mauchaguzi na mawizi yasiodhibitiwa, ya kura... nk. Pamoja na kwamba penye uongo ukweli hudhibitika, lkn uongo ukirudiwa kwa xana, hususan na viongozi, waTz wasio na elimu ya kutosha huamini ...nk.
 
Ulinzi, Amani, Utulivu, Uhuru, Haki, Usawa, Uwazi na mambo kadha wa kadha unayoyainjoy muda huu, na yale mengine ya kiuchumi, kisiasa na kijamii ni baadhi tu ya matunda ya mipango na kazi nzuri sana, zinazofanywa na serikali ya CCM, chini ya kiongozi shupavu, mahiri, madhubuti na mwenye maono mbali, nia na dhamira ya kweli, ya kuwaletea maendeleo waTanzania wato, RAIS, Comrade Dr Samia Suluhu Hassan [emoji205]
Unafiki wa kiwango cha lami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom