Ulinzi, Amani, Utulivu, Uhuru, Haki, Usawa, Uwazi na mambo kadha wa kadha unayoyainjoy muda huu, na yale mengine ya kiuchumi, kisiasa na kijamii ni baadhi tu ya matunda ya mipango na kazi nzuri sana, zinazofanywa na serikali ya CCM, chini ya kiongozi shupavu, mahiri, madhubuti na mwenye maono mbali, nia na dhamira ya kweli, ya kuwaletea maendeleo waTanzania wato, RAIS, Comrade Dr Samia Suluhu Hassan [emoji205]