Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

Acha kuudhalilisha Uislamu kma ww ni Muislamu jina fanya yko ila usiwakashifu mitume wa Mungu

Kwa kauli yko pia unapinga nguzo za imani za kiislamu
 
kwanza nikuite wewe mpumbavu kujiita muislamu huku unaamini manabii wa uongo. waislamu mchongo kama nyinyi wapo wengi kwa mwaposa waislamu feki kama wewe wapo wengi mitaani. ukiulizwa nguzo za uislamu ni ngapi hujui eti mimi ni muislamu pumbavu
Wivu tu unakusumbua..karibu ibada ya leo uje ujipatie keki yako..mapepo na mabaya yakutoke..ujionee muujiza wako.

#MaendeleoHayanaChama
 
mitume wa Mungu unawajua wewe ? Mungu unamjua ww? Acha utoto basi mkuu
Acha kuudhalilisha Uislamu kma ww ni Muislamu jina fanya yko ila usiwakashifu mitume wa Mungu

Kwa kauli yko pia unapinga nguzo za imani za kiislamu
 
Ulitaka kumaanisha mange asingetaka kumzungumzia mwamposa basi mama yake angeishi milele?
Kama singeishi milele basi unacho kisema hakina uhalisia wowote.

Tz wajinga ni wengi sana acha kina mwamposa wajitajirishe kupitia ujinga wenu
 
Mange cheza na wanasiasa hawa watu wa kiroho waache hivyo hivyo maadamu awaibi cha mtu ni hiari yako tu
 
Acha kuudhalilisha Uislamu kma ww ni Muislamu jina fanya yko ila usiwakashifu mitume wa Mungu

Kwa kauli yko pia unapinga nguzo za imani za kiislamu
sheikh kila kitu kipo wazi huyu mzee anajivisha tu joho lisilomhusu.
 
Labda atatueleza mganga wake anapatikana wapi. Watu wanamtumia Yesu kwa kujinufaisha, ukiamgalia kwa makini, wanacheza na ulimwengu wa roho. Huenda Yesu hakuwepo kiuhalisia, angekuwapo kweli angewalipua hawa watu. Basi Ukristu ni mambo yaliyotengenezwa na wajanja. Mungu wa kweli hawezi kumtoa mwanae wa pekee kafara.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuficha huyo waloshare nae dudu inasaidia nini? Wanakufahamu?
 
Nasikia jamaa hana mke wala nini ni single mwenzetu sasa tujiulize anaponea wapi.au ndio masharti...
Naomba niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uchafu kwa hisia zako tu au Kuna lolote la maana unalolijua kuhusu hao watumishi.

Punguza kuhemkia mambo ya kijiweni ambayo hujui chochote chenye ukweli.
 
Et huwezi kufake miaka mitatu
Kuna waganga wa kienyeji wengi tu huku kwetu wanafanya kazi hadi miaka ishirini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…