itoko jr
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,126
- 2,537
Dah hatari sanaaNdio mkuu huu utafiti nimeuanza nikiwa kijana barobaro now nimezeeeka [emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hatari sanaaNdio mkuu huu utafiti nimeuanza nikiwa kijana barobaro now nimezeeeka [emoji1787][emoji1787]
Mungu wangu ninamjua anazonguvu nyingi sana kuliko hao wachawi na wakuu wote wa giza...Wewe ni mlokole dada????? Unajua hapo una watu warefu wenye kuakisi mwanga na miale yao ya blue kama radi wamekuzunguka???? Ukicheka wanacheka na ukilia wanalia na ukiwaamrisha wanatenda vile vile unavyosema..Ila walokole hamjui kua mkuu wenu(Mungu wenu)ana nguvu kiroho kuliko jamii yoyote ile ya ulimwengu wa kiroho na washirika wake ni hao watu warefu weupe wengine wana mabawa na wengine hawana ila wanakuja duniani kujishugulisha na walokole tu,huko mbele nitaadithia kwanini.
Umemtaja Yesu ila kule kwenye ulimwengu wa roho anaitwa ""Mwana wa mmiliki"""ana uhusiano wa moja kwa moja na wale watu wa kuakisi mwanga na walokole wanamuita Mungu.....Tunazo nguvu za Rohoni, tunapiga famle zote za wakuu wa giza kwa jina la YESU
Karibu sana nitakua naelezea kidogo kidogo
YESU ni MUNGUUmemtaja Yesu ila kule kwenye ulimwengu wa roho anaitwa ""Mwana wa mmiliki"""ana uhusiano wa moja kwa moja na wale watu wa kuakisi mwanga na walokole wanamuita Mungu.....
Nimesema mrefu sababu vimo vyao kibinadamu ni kama Hasheem Thabeet au Shaq O'Neal kwa muonekano.Hapo labda utanielewaMungu wangu ninamjua anazonguvu nyingi sana kuliko hao wachawi na wakuu wote wa giza...
Huyo unayesema nipo naye na ni mrefu mwenye mwanga...sijui kwanini umesema mrefu .. ila mi najua kuwa nina Malaika wa ulinzi ananilinda na ninaye msaidizi wangu ambaye ni Roho Mtakatifu...
Roho Mtakatifu nikimuita naweza muomba anisaidie ananisaidia...
Pia nikitaka kuona adui au mchawi naweza muona..
Roho Mtakatifu anafundisha na nimsaidizi...
Ulishawahi kuwaona...?Nimesema mrefu sababu vimo vyao kibinadamu ni kama Hasheem Thabeet au Shaq O'Neal kwa muonekano.Hapo labda utanielewa
Hebu endelea mkuu!!Wewe ni mlokole dada????? Unajua hapo una watu warefu wenye kuakisi mwanga na miale yao ya blue kama radi wamekuzunguka???? Ukicheka wanacheka na ukilia wanalia na ukiwaamrisha wanatenda vile vile unavyosema..Ila walokole hamjui kua mkuu wenu(Mungu wenu)ana nguvu kiroho kuliko jamii yoyote ile ya ulimwengu wa kiroho na washirika wake ni hao watu warefu weupe wengine wana mabawa na wengine hawana ila wanakuja duniani kujishugulisha na walokole tu,huko mbele nitaadithia kwanini.
Kama na wewe HUWA unawaona!je upo kundi gani!!?au na wewe ni mchawi!!?Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida.Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali..Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani yenye kuchanganya kidogo sababu inajumuisha imani za dini za wanadamu na imani za dini zisizo za wanadamu.Pia inajumuisha watu ambao wanaitwa bin-adamu na inajumuisha watu wale wengine ambao hawana undugu na hawa watu wanaoitwa bin-adam.Nielezee kidogo hao watu wengine,nimewaita watu sababu wana maumbo kama binadamu ila vimo vyao vipo tofauti na wapo katika jamii mbili tofauti.Kuna ile jamii ya wanaokaa angani ambapo bila ruhusa yao huwezi kuwafikia,na kuna ile jamii ambayo hata bila ruhusa yao unaweza kuwafikia na wanakaa chini ya bahari au mito au maziwa makubwa(Lakes).Ngoja nifafanue kidogo jamii za hawa watu.
Jamii ya watu wa angani inashuka sana duniani na sijui waga wanakuja kufanya nini ila mara nyingi wanajishugulisha na wale binadamu mnaowaita walokole,na ili uzungumze nao inategemea umekutana nao katika hali gani kwenye ulimwengu usio wazi kwa macho ya kawaida,kiasili sio waongeaji sana ila sura zao zinaakisi mwanga kwa namna ya tofauti na unaweza kujiuliza wanavaa mavazi gani, kwa mavazi wanavaa hizi nguo mnaita kanzu ila ni bwanga afu ndefu mpaka miguuni na ni nyeupe.
Jamii ile nyingine ya watu wasio na asili na binadamu ila wamefanana na binadamu kimuonekano lakini wana vimo vikubwa ni ile inayokaa chini ya bahari,maziwa(Lakes) na mito.Hii jamii wao ni wazungumzaji sana afu miili yao haiakisi mwanga na wanakuja sana duniani na unaweza kuwaona bila ridhaa yao kwa kufuata utaratibu wanaokupa wafuasi wao au wanajimu wa nyota mbao ni binadamu wa kawaida,na mavazi yao ni kanzu pia ila za rangi mbalimbali zaidi ya nyeupe.Na watu wanaojishugulisha nao sana ni wale watu ambao nyinyi binadamu mnawaita wanajimu na washirikina au wachawi ila inategemea ushirikina na uchawi wa wapi maana dunia ni kubwa kutoka bara moja mpaka lingine na ushirikina au uchawi unatofautiana.
Binadamu kuna vitu huwezi kuviona mpaka either uwe mshirika wa jamii mojawapo kati ya jamii hizo mbili nilizokutajia hapo juu.Lengo langu leo ni kuzungumzia mkuu wa jamii ile ya wale watu wa angani ambao wanapenda kushirikiana na walokole au watu wa kulia lia,maana huyo mkuu ana vitu vya tofauti kidogo ndio maana nikasema pale juu kua "Mungu wa walokole ana nguvu sana".Katika utafiti wangu ndani ya ulimwengu usio,onekana inaonyesha kua walokole wanapendelewa sana na huyo mkuu wao,maana kuna vitu anawapa vya ziada wao hawavitumii sijui kwanini niligundua hilo huko mbele katika utafiti wangu.Nimemuita Mkuu au Mungu wa walokole sababu kila walokole wanapoanza kulialia""Kusali""wale watu wa jamii ya kuakisi mwanga wengine wana mabawa na wengine hawana wakitokea kwa mkuu wa walokole ama nilivyokuja kujua baadae huko huko angani wanawajia na wanawazunguka hawaondoki na lile eneo husika linakua na mwanga unaweza kupofusha macho (Ni kama mwanga wa jua au radi au shoti za umeme zile cheche) ila walokole waga hawawaoni nadhani waga wanalia(Kusali) kwa imani zaidi namaanisha meditation..
Nilisema hapo juu kua mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao ana nguvu sana maana wale walokole baada ya kulia kwa mkuu wao huwezi kuwasogelea katika hali ya nje ya ubinadamu au katika hali ya ushirika na jamii nyingine za kiroho zaidi ya mkuu wao na wale watu wa kuakisi mwanga.Kila mlokole anakua na yule mtu wa kuakisi mwanga na yule mtu haongei ila macho yake ni ishara tosha kua usimsogelee mlokole aliyenae.Cha ajabu wengi ya walokole hao katika hali ya ubinadamu wa kawaida hawana habari yoyote ile unawakuta sokoni au kwenye daladala au barabarani au ofisini au kwenye nyumba zao za ibada.
Sasa ikabidi nifanye uchunguzi juu ya huyo mkuu (Mungu) wa walokole,yupoje na ni nani,wale watu wa jamii ya kuakisi mwanga wanaishi nae vipi maana wana ushirika nae.Sababu ukitoka nje ya mwili kupitia(meditation) huwezi kuwasogelea hawa watu wa jamii ya kuakisi mwanga au hao walokole.Nikajikuta napata hamu ya kuchunguza mambo ya ulimwengu usionekana na hasa jamii za wale watu warefu wa angani na walokole hasa wale wa kulialia sisi binadamu tunaita kusali ila wao walokole wanaita kunena kwa lugha,na ni lugha ambayo inawafanya wawasiliane na wale watu warefu wa kuakisi mwanga.
Udadisi wangu ulijikita katika mambo makuu matano(5)
Mosi:Kwanini walokole wana uhusiano na wale watu wa kuakisi mwanga wanaotokea kule juu kusikofikika hata ukitoka nje ya mwili na kusafiri nje ya mzunguko wa sayari za kawaida kwa maelekezo ya wanajimu wa nyota????
Pili:Kwanini mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao ana uhusiano wa moja kwa moja na wale watu wa kuakisi mwanga na sio ile jamii ya chini ya bahari?????
Tatu:Kwanini katika jamii za nje ya mwanadamu au mtu,hasa ile jamii ya watu wa kuakisi mwanga ina nguvu sana kuliko jamii za wale watu wanaokaa chini ya bahari na wasioakisi mwanga wa jua na mwezi????
Nne:Mkuu wa walokole kwanini yeye na wale watu wa kuakisi mwanga,hawana ukaribu na Mkuu wa wale watu wa jamii inayokaa baharini na chini ya maziwa na mito(Maana nayo ina mkuu wake) na hataki wafuasi wake wa dini yake wawe na ukaribu na walokole kwa namna yoyote ile???
Tano:Kwanini mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao pamoja na nguvu zoote ila hawapi utajiri wa kibinadamu hao walokole ila ukitoka nje ya mwili hawa walokole wana nguvu sana mpaka uñashindwa kuwaelezea labda uone kwa macho.Tofauti na mkuu wa ile jamii nyingine ambayo karibia robo ya wafuasi wake wana access ya kupata mali za dunia hii tunayoishi binadamu wotw
Basi nikajikuta naanza utafiti kufuatilia nguvu za mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao.Ni nani na yupoje na anaishi wapi..Utafiti wangu ukanipelekea kuja na kichwa cha habari hapo juu kua Mungu wa walokole ana nguvu sana maana nilishuhudia mengi kumuhusu huyu Mungu wa hawa watu wa kulialia mnawaitaga walokole.
Safari yangu ya tooutafiti ilinikutanisha na wazee wa kibantu,wanajimu,viongozi wa dini za wanadamu zinazoonekana na zisizoonekana na watu wa jamii zile za nje ya ulimwengu wa mwanadamu.
ITAENDELEA.....................!!!!
Basi atakua ndio huyo Mungu wa walokole ana kikundi cha watu warefu wenye kuakisi mwanga almost kwa hesabu ya kibinadamu ni trioni na trio ni kwenye ulimwengu wa kificho cha macho.Wanamwita mwana wa mmiliki sababu anaodhi anga yote nje pluto..Kule kusikofikika hata ukitoka nje ya mwili kwa meditation au maelekezo ya wanajimu.Unajua ukitoka nje ya mwili unakutana na hawa watu warefu wenye kuakisi mwanga ila huwezi vuka nje ya mipaka ya ile sayari ya barafu nadhani inaitwa Pluto.YESU ni MUNGU
Ndio nitaendelea kuelezea tararibu ucjaliKama na wewe HUWA unawaona!je upo kundi gani!!?au na wewe ni mchawi!!?
Wale hawaitwi malaika,binadamu mnachora malaika kama wanawake ila wale watu wa kuakisi mwanga sio kama wanawake wala wanaume.Wana sura za kibinadamu ila huwezi jua jinsia zao,baadhi wana mabawa na wengine hawana.Wañajimu wanawaita watu wa jamii ya jua,ila wakija duniani wanajihusisha na walókole tu na sijui kwanini.Zaburi 34:7 Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazungukia wote wamchao na kuwaokoa.
Ulimwengu wa Roho kule kuna vita na majeshi ya Ulinzi na majeshi mabaya...Basi atakua ndio huyo Mungu wa walokole ana kikundi cha watu warefu wenye kuakisi mwanga almost kwa hesabu ya kibinadamu ni trioni na trio ni kwenye ulimwengu wa kificho cha macho.Wanamwita mwana wa mmiliki sababu anaodhi anga yote nje pluto..Kule kusikofikika hata ukitoka nje ya mwili kwa meditation au maelekezo ya wanajimu.Unajua ukitoka nje ya mwili unakutana na hawa watu warefu wenye kuakisi mwanga ila huwezi vuka nje ya mipaka ya ile sayari ya barafu nadhani inaitwa Pluto.
Nikipata utulivu ntasoma then ntachangia mjadala....Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali.
Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani yenye kuchanganya kidogo sababu inajumuisha imani za dini za wanadamu na imani za dini zisizo za wanadamu. Pia inajumuisha watu ambao wanaitwa bin-adamu na inajumuisha watu wale wengine ambao hawana undugu na hawa watu wanaoitwa bin-adam.Nielezee kidogo hao watu wengine,nimewaita watu sababu wana maumbo kama binadamu ila vimo vyao vipo tofauti na wapo katika jamii mbili tofauti.
Kuna ile jamii ya wanaokaa angani ambapo bila ruhusa yao huwezi kuwafikia,na kuna ile jamii ambayo hata bila ruhusa yao unaweza kuwafikia na wanakaa chini ya bahari au mito au maziwa makubwa(Lakes).Ngoja nifafanue kidogo jamii za hawa watu.
Jamii ya watu wa angani inashuka sana duniani na sijui waga wanakuja kufanya nini ila mara nyingi wanajishugulisha na wale binadamu mnaowaita walokole,na ili uzungumze nao inategemea umekutana nao katika hali gani kwenye ulimwengu usio wazi kwa macho ya kawaida,kiasili sio waongeaji sana ila sura zao zinaakisi mwanga kwa namna ya tofauti na unaweza kujiuliza wanavaa mavazi gani, kwa mavazi wanavaa hizi nguo mnaita kanzu ila ni bwanga afu ndefu mpaka miguuni na ni nyeupe.
Jamii ile nyingine ya watu wasio na asili na binadamu ila wamefanana na binadamu kimuonekano lakini wana vimo vikubwa ni ile inayokaa chini ya bahari,maziwa(Lakes) na mito.Hii jamii wao ni wazungumzaji sana afu miili yao haiakisi mwanga na wanakuja sana duniani na unaweza kuwaona bila ridhaa yao kwa kufuata utaratibu wanaokupa wafuasi wao au wanajimu wa nyota mbao ni binadamu wa kawaida,na mavazi yao ni kanzu pia ila za rangi mbalimbali zaidi ya nyeupe.Na watu wanaojishugulisha nao sana ni wale watu ambao nyinyi binadamu mnawaita wanajimu na washirikina au wachawi ila inategemea ushirikina na uchawi wa wapi maana dunia ni kubwa kutoka bara moja mpaka lingine na ushirikina au uchawi unatofautiana.
Binadamu kuna vitu huwezi kuviona mpaka either uwe mshirika wa jamii mojawapo kati ya jamii hizo mbili nilizokutajia hapo juu.Lengo langu leo ni kuzungumzia mkuu wa jamii ile ya wale watu wa angani ambao wanapenda kushirikiana na walokole au watu wa kulia lia,maana huyo mkuu ana vitu vya tofauti kidogo ndio maana nikasema pale juu kua "Mungu wa walokole ana nguvu sana".
Katika utafiti wangu ndani ya ulimwengu usio,onekana inaonyesha kua walokole wanapendelewa sana na huyo mkuu wao,maana kuna vitu anawapa vya ziada wao hawavitumii sijui kwanini niligundua hilo huko mbele katika utafiti wangu.Nimemuita Mkuu au Mungu wa walokole sababu kila walokole wanapoanza kulialia""Kusali""wale watu wa jamii ya kuakisi mwanga wengine wana mabawa na wengine hawana wakitokea kwa mkuu wa walokole ama nilivyokuja kujua baadae huko huko angani wanawajia na wanawazunguka hawaondoki na lile eneo husika linakua na mwanga unaweza kupofusha macho (Ni kama mwanga wa jua au radi au shoti za umeme zile cheche) ila walokole waga hawawaoni nadhani waga wanalia(Kusali) kwa imani zaidi namaanisha meditation.
Nilisema hapo juu kua mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao ana nguvu sana maana wale walokole baada ya kulia kwa mkuu wao huwezi kuwasogelea katika hali ya nje ya ubinadamu au katika hali ya ushirika na jamii nyingine za kiroho zaidi ya mkuu wao na wale watu wa kuakisi mwanga.Kila mlokole anakua na yule mtu wa kuakisi mwanga na yule mtu haongei ila macho yake ni ishara tosha kua usimsogelee mlokole aliyenae.Cha ajabu wengi ya walokole hao katika hali ya ubinadamu wa kawaida hawana habari yoyote ile unawakuta sokoni au kwenye daladala au barabarani au ofisini au kwenye nyumba zao za ibada.
Sasa ikabidi nifanye uchunguzi juu ya huyo mkuu (Mungu) wa walokole,yupoje na ni nani, wale watu wa jamii ya kuakisi mwanga wanaishi nae vipi maana wana ushirika nae.Sababu ukitoka nje ya mwili kupitia(meditation) huwezi kuwasogelea hawa watu wa jamii ya kuakisi mwanga au hao walokole.Nikajikuta napata hamu ya kuchunguza mambo ya ulimwengu usionekana na hasa jamii za wale watu warefu wa angani na walokole hasa wale wa kulialia sisi binadamu tunaita kusali ila wao walokole wanaita kunena kwa lugha,na ni lugha ambayo inawafanya wawasiliane na wale watu warefu wa kuakisi mwanga.
Udadisi wangu ulijikita katika mambo makuu matano(5)
Mosi: Kwanini walokole wana uhusiano na wale watu wa kuakisi mwanga wanaotokea kule juu kusikofikika hata ukitoka nje ya mwili na kusafiri nje ya mzunguko wa sayari za kawaida kwa maelekezo ya wanajimu wa nyota?
Pili: Kwanini mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao ana uhusiano wa moja kwa moja na wale watu wa kuakisi mwanga na sio ile jamii ya chini ya bahari?
Tatu: Kwanini katika jamii za nje ya mwanadamu au mtu, hasa ile jamii ya watu wa kuakisi mwanga ina nguvu sana kuliko jamii za wale watu wanaokaa chini ya bahari na wasioakisi mwanga wa jua na mwezi?
Nne: Mkuu wa walokole kwanini yeye na wale watu wa kuakisi mwanga,hawana ukaribu na Mkuu wa wale watu wa jamii inayokaa baharini na chini ya maziwa na mito(Maana nayo ina mkuu wake) na hataki wafuasi wake wa dini yake wawe na ukaribu na walokole kwa namna yoyote ile?
Tano: Kwanini mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao pamoja na nguvu zoote ila hawapi utajiri wa kibinadamu hao walokole ila ukitoka nje ya mwili hawa walokole wana nguvu sana mpaka uñashindwa kuwaelezea labda uone kwa macho.Tofauti na mkuu wa ile jamii nyingine ambayo karibia robo ya wafuasi wake wana access ya kupata mali za dunia hii tunayoishi binadamu wote.
Basi nikajikuta naanza utafiti kufuatilia nguvu za mkuu wa walokole namaanisha Mungu wao.Ni nani na yupoje na anaishi wapi..Utafiti wangu ukanipelekea kuja na kichwa cha habari hapo juu kua Mungu wa walokole ana nguvu sana maana nilishuhudia mengi kumuhusu huyu Mungu wa hawa watu wa kulialia mnawaitaga walokole.
Safari yangu ya utafiti ilinikutanisha na wazee wa kibantu,wanajimu,viongozi wa dini za wanadamu zinazoonekana na zisizoonekana na watu wa jamii zile za nje ya ulimwengu wa mwanadamu.
ITAENDELEA
Mbona wamejaa stress, chuki na maisha magumu?Wewe ni mlokole dada? Unajua hapo una watu warefu wenye kuakisi mwanga na miale yao ya blue kama radi wamekuzunguka? Ukicheka wanacheka na ukilia wanalia na ukiwaamrisha wanatenda vile vile unavyosema..Ila walokole hamjui kua mkuu wenu(Mungu wenu)ana nguvu kiroho kuliko jamii yoyote ile ya ulimwengu wa kiroho na washirika wake ni hao watu warefu weupe wengine wana mabawa na wengine hawana ila wanakuja duniani kujishugulisha na walokole tu,huko mbele nitaadithia kwanini.
mkuu nelson jacob ,je kuna Mungu mwingine mwenye nguvu zaidi ya huyo wa walokole??Mkuu yule mungu wa walokole achana nae,,watu wa nje ya mwili wanajua gadhabu zake hasa ukiwagusa walokole wake wale wanaolialia wao wanaita kunena kwa lugha.