Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Labda ndiyo hao majinni?
 
Nimeambiwa nikutafute nizungumze na wewe. You can whatsapp me 0742420404
 
But you have not replied about the:
  • does the Mlokole utilize the same Bible or not?
  • what about the proclaimed 'oil' etc??
 
But you have not replied about the:
  • does the Mlokole utilize the same Bible or not?
  • what about the proclaimed 'oil' etc??
Kuna baadhi ya Maandiko Walokole hawayatumii kabisa na yapo kwenye Biblia ya Kikatoliki. Vitabu hivyo ni Tobiti, Kitabu nyongeza ya Daniel, Kitabu nyongeza ya ESTA, Wamakambayo 1&2, Hekima ya Sulemani na Hekima ya Yoshua Ben Sura.

Kuhusiana na oil unazungumzia oil ipi?
 
But in principle the Bible is indeed utilized? How or did it organite? And at that point of its it origination were the Walakoles present?
Oil; Mwamposa etc or you are not aware?
 
But in principle the Bible is indeed utilized?
Oil; Mwamposa etc or you are not aware?
Ndani ya vitabu nyongeza ndo vimewapa uhalali wa Wakatoliki kufanya ibada zao kama kuwaombea wafu na vitu vingine vingi. Nimeisoma sana vitabu hivyo vinavyoitwa Deuterocanonical Books.

Mwamposa yule ni prosperity preacher, kuna tofauti ya preacher anayepreach the gospel of salvation and holiness na wale wanaopreach prosperity without walking a life of holiness, ndo maana unawaona mpaka Waislamu wanaenda pale wanachukua mafuta na kusepa, hawajawahi kusikia habari za kuzimu, utakatifu wa Mungu n.k
 
So what came first the Bible or the thereafter other
books or it's teachings?

Prosperity teachings; as is in the very 'unorthodox' utilizations of oil etc?
 
Mwaka jana nilisoma vitabu vya enoch viko vitatu...nilijifunza mengi sana..Huyu Azazel ni mdogo sana katika wale malaika walioshuka..kuna kiongozi wao semzaya...yeye kinachompa sifa ni mkorofi mno hao kina shetani wanasubiri tu...
Kuna Samael nae ni ana nguvu sana....sa contradiction ipo hapa...

Wako wapi?

1.Kitabu cha enoch kinasema wazi walipo..wamefungwa na wanasubiri hukumu..ila kinaeleza kwa kina enoch alivyopaishwa mbinguni akiwa na miaka michache (300) tu...

Na akabadilishwa akawa malaika mwenye nguvu sana.....anaitwa METATRON na kule mbinguni wanamwita youth yaani malaika mchanga maana ni wa juzi tu ila ana nguvu sana...

2.ila doctrine nyingi za kiyahudi zinasema azazel alibakizwa kulinda anga ya dunia pamoja na samael..na kisa ni kwamba waliomba sana msamaha..huyu azazel ni mkorofi sana...

Ukisoma kitabu cha ezekiel utaona kuna mahali...anasema nilizuiwa huko na mfalme wa uajemi hadi akaja mikael kunisaidia....

So Mambo ni Mengi sana
 
Nafikiri hii ya kuzuiwa ipo kwwnye kutabu cha Daniel 10:7-21
 
Huyu jamaa sijui kapotelea wapi? Kuna mahali hapo nyuma alisema kuna upinzani sana wa nguvu za giza kumpinga asiendelee na uzi huu! Uenda wameisha m_RIP
 
Ulimwengu wa Roho kule kuna vita na majeshi ya Ulinzi na majeshi mabaya...

Ukiwa na YESU unaimani na nguvu za Rohoni basi unashinda hayo majeshi...

Ila kwa wale wasio na YESU na Imani wanashindwa...
Imani za hovyo Kama hizo zinapatikana zaidi kwa wajinga Kama africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…