Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Yesu anasamehe dhambi!?..ni Mungu!?..ndo yule Mungu aliyebinywa korodani na yakobo Hadi akambariki!?
Mnapenda sana kukashifu imani za watu ila nyie hata mtu akichora picha ya Muhamad, mnakuja na panga mnataka kumuua. Zanzibar, wamechoma sana makanisa. Wale jamaa waliochoma Quran, mlitamani muende na majambia mkawaue.
Uslamu umeshindwa kuenea kwasababu
1. Hauheshimu uwepo wa imani zingine, yeye anajiona yeye tu ndiyo mkamilifu kuliko wengine
2. Umwagaji damu na kuwatenga watu wenye imani zingine,, uislamu unaenezwa kwa kumwaga damu na kuwatenga watu wa jamii zingine. Ukienda sehemu ambapo kuna waislamu halafu wewe ni imani nyingine watakutenga, kama ni hospital watakutenga, huduma zingine za kijamii huzipati. Watu wa nchi za kiarabu, siyo kama wanaupenda uislamu ila wanahofia kuawawa au kutengwa watakapoacha imani zao. Muislamu ndugu yake ni muislamu.
3. Uislam hauna mafundisho mazuri zaidi ya kukashifu imani za watu. Ukitaka nenda kwa shekh yoyote, mwambie mimi wa dini fulani nataka unihubirie nisilimu, ataanza kukashifu imani yako na mwisho wa siku atakuambia njoo kwenye dini ya haki. Hakuna ulichojifunza chochote
4. Waislamu wengi hawana uelewa kuhusu dini yao, wamekosa mafundisho au kujua yaliyokweli kwenye dini yao kwa sababu ya lugha. Hapo nikukupa Quran, usome utabaki kuniangalia tu.
 
Narudia kwa msisitizo,YESU NI FARA.

Haya fanya unachotaka kufanya

5. Uislamu haujitegemei yaani ukitaka kuelezea kuhusu uislamu na Quran ili kujua historia yake utajikuta umeingia kwenye Biblia Takatifu. Kwa mfano kuzaliwa kwa Yesu kristo, kuhubiri mpaka kufufuka kwake umeelezwa kwenye Biblia Takatifu kwa maelezo yaliyojitosheleza ila ukija kwenye Quran wanamuita Issa ila cha ajabu hakuna Mkristo yoyote anayeamini Yesu ndiyo Issa ila waislamu wanaamini Issa ndiyo Yesu. Soma kuzaliwa, kuhubiri mpaka kufa na kufufuka kwa Yesu kwenye Biblia na Issa kwenye Quran utajua hawa walikuwa watu wawili tofauti na hawana uhusiano wowote.
 
Mnapenda sana kukashifu imani za watu ila nyie hata mtu akichora picha ya Muhamad, mnakuja na panga mnataka kumuua. Zanzibar, wamechoma sana makanisa. Wale jamaa waliochoma Quran, mlitamani muende na majambia mkawaue.
Uslamu umeshindwa kuenea kwasababu
1. Hauheshimu uwepo wa imani zingine, yeye anajiona yeye tu ndiyo mkamilifu kuliko wengine
2. Umwagaji damu na kuwatenga watu wenye imani zingine,, uislamu unaenezwa kwa kumwaga damu na kuwatenga watu wa jamii zingine. Ukienda sehemu ambapo kuna waislamu halafu wewe ni imani nyingine watakutenga, kama ni hospital watakutenga, huduma zingine za kijamii huzipati. Watu wa nchi za kiarabu, siyo kama wanaupenda uislamu ila wanahofia kuawawa au kutengwa watakapoacha imani zao. Muislamu ndugu yake ni muislamu.
3. Uislam hauna mafundisho mazuri zaidi ya kukashifu imani za watu. Ukitaka nenda kwa shekh yoyote, mwambie mimi wa dini fulani nataka unihubirie nisilimu, ataanza kukashifu imani yako na mwisho wa siku atakuambia njoo kwenye dini ya haki. Hakuna ulichojifunza chochote
4. Waislamu wengi hawana uelewa kuhusu dini yao, wamekosa mafundisho au kujua yaliyokweli kwenye dini yao kwa sababu ya lugha. Hapo nikukupa Quran, usome utabaki kuniangalia tu.
Kukashifu,unajua kashfa!?..kasema yesu anisamehe,nimeuliza yesu anasamehe dhambi,ndo yule Mungu aliyeshuka duniani usiku akashtukiwa na yakobo,akapigwa na yakobo Hadi ambariki ndo akamwachia!?..kashfa iko wapi
 
Yupo deep sana huyu bro sema alitukatili sana kwenye uzi wake mmoja wa "Biblia kwa jicho lingine". Ule uzi niliupenda sana na nikauprint kabisa. Ninao kwenye PC yangu. Huyu jamaa nilihisi anaweza kuwa ni yule "Askofu Sylvester Gwamanywa" wa "WAPO FM"
He he he
Hapana mkuu mimi sio Gamanywa

Ni raia wa kawaida kabisa.

Ule uzi niliuacha njiani kwa sababu binafsi kabisa

Mosi ni kwa sababu niligundua haukutimiza lengo hasa nililouandika, ambalo lilikuwa kuchochea udadisi wa mambo ya kiroho, badala yake ukaleta mashindano ya kidini

Cha pili ni baada ya kugundua kwamba ninatengeneza doctrine ngumu ambayo haimtukuzi Mungu masikioni mwa wengi

Lengo hasa lilikuwa kumfunua Mungu kwa angle nyingine kabisa.

Ukiwa mwandishi mzuri lakini pia mtu wa kuomba sana , utagundua kuna nyakati ni kama unakatazwa kufanya jambo zuri kwa sababu tu halifai for public consumption.
 
kama kuna uzi umeongelea hii, naomba unipe link. nimepata kiu ya kujifunz juu ya hili jambo.
Hapana mkuu
Sina uzi wowote niliouandika juu ya hili

Ni katika namna ya kuyatafuta maarifa ya kiroho ndipo tunakutana na maarifa magumu

Keep that learning thirst burning...
 
Walokole ni watoto waaminifu wa Mungu ambao wamemchagua Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wao!

Walokole si dhehebu lililofanywa na wanadamu bali ni kanisa la Mungu. Kwa sasa limetawanyika sana kama alivyosema mleta uzi! Wapo waaminifu ndani ya Lutherani, wapo waaminifu ndani SDA, wapo waaminifu ndani ya Katoliki nk

Soma:
YOHANA 10:14-15
„Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi; kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.“

Soma pia:
YOHANA 10:16
„Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.“

Kwa sasa kuna matengano:
YOHANA 10:19-21
„Kukaingia tena matengano kati ya Wayahudi, kwa ajili ya maneno hayo. Wengi wao wakasema, Ana pepo huyu, tena ana wazimu; mbona mnamsikiliza? Wengine wakasema, Maneno hayo siyo ya mtu mwenye pepo. Je, pepo aweza kuwafumbua macho vipofu?“

Kuna siku mwenyewe atawakusanya walio wake toka kila Kona! Kwa sasa kawaacha wamee na magugu!

Mathayo 13:30​

Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto; kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.’ ”

NDIYO WANATUMIA BIBLIA MOJA! Haijalishi popote walipo! Katika ulimwengu wa kiroho wao ni wamoja!

Yn 17:21-23 SUV​

Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja. Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
Thanks.
But you have not replied my questions wide the various charges being applied by the Pastors for using 'oil' and charging for 'treatments'..
 
Walokole waanatumia biblia moja...ila katika mapokeo yao ya neno yamewekwa ndani ya mioyo yao na wanayaishi

Labda nikupe mfano hapo kwa Lutheran...

Mimi ni mlutheran hadi kipaimara nimesoma ila sasa nimeokoka ni mlokole...ishu sio dhehebu...

Siwezi kuzungumzia suala la hao Manabii na mafuta wanayotumia maana ni wapakwa mafuta ya Bwana...

Ila ninaouwezo wa kupima Roho zao nikajua huyu ni wa Bwana na huyu sio...
So the teachings or words of the Bible are the same so why does the Mlokole feel differently if compared to the Catholic churches and Lutherans? How does one justify the differences?
 
Mi sikatai uwepo wa Malaika, kukataa kwangu ni vile anawaongelea Sana kuliko kufundisha neno watu wa mjue zaidi Mungu, maana Neno la Mungu ndio uthibitisho wa mpango yote mzuri Mungu aliyoweka kwa ajili yetu.. Story za kupeleka na Malaika sijui kuzimu, Mara kaenda mbinguni Kuna magari latest version nk. Yote mwongo mbinguni hajaenda kaenda Mbingu ya Shetani.. Maana neno la Mungu halisemi asemayo yeye... Mwambie adanganye vijana wenzie wasio taka kujua neno wao binafsi... Wanataka walishwe kila kitu, manabii nk. sasa ndio wanalishwa Matango pori😁😁

Haya toka umeanza kujifunza neno mbona neno haliko na wewe?? Yaan neno limekukataa. . .
Kwahiyo vitu vizuri vya shetani 🤣
..so dunia inaweza kutoa vitu bora na vizuri kuliko aliyeumba dunia?? 🤣

Spirit ya mafarisayo is real.. that's why alipokufa Lazaro walilia sanaaa..
Ila Yesu alipomfufua walitafuta kumuua tena...

Yohana 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴³ Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.

⁴⁴ Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.

⁴⁵ Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.

⁴⁶ Lakini wengine wakaenda zao kwa Mafarisayo, wakawaambia aliyoyafanya Yesu.

⁵³ Basi tangu siku ile walifanya shauri la kumwua.
,..,........................
Haya wewe unajua tueleze unachojua kuhusu neno..

Pinga Kwa hoja.. leta neno
 
He he he
Hapana mkuu mimi sio Gamanywa

Ni raia wa kawaida kabisa.

Ule uzi niliuacha njiani kwa sababu binafsi kabisa

Mosi ni kwa sababu niligundua haukutimiza lengo hasa nililouandika, ambalo lilikuwa kuchochea udadisi wa mambo ya kiroho, badala yake ukaleta mashindano ya kidini

Cha pili ni baada ya kugundua kwamba ninatengeneza doctrine ngumu ambayo hamtukuzi Mungu masikioni mwa wengi

Lengo hasa lilikuwa kumfunua Mungu kwa angle nyingine kabisa.

Ukiwa mwandishi mzuri lakini pia mtu wa kuomba sana , utagundua kuna nyakati ni kama unakatazwa kufanya jambo zuri kwa sababu tu halifai for public consumption.
Usimwage Lulu kwa Nguruwe...
 
mkuu Nelson Jacob lushasi njoo uendeleze uzi wako, umekaa kimya muda mrefu, sasa member wamebaki na mabishano na kashfa. Maana ya uzi inapotea.
 
So the teachings or words of the Bible are the same so why does the Mlokole feel differently if compared to the Catholic churches and Lutherans? How does one justify the differences?
Ngoja nikujibu.
Wakatoliki wanafanya ibada ya watakatifu na ibada Kwa bikira Maria ambalo linapingwa na Biblia.

Kibaya zaidi Kanisa Katoliki linamtambua bikira Maria kama mpatanishi Kati ya wanadamu na Mungu jambo ambalo linapingana na Maandiko maana Mpatanishi Kati ya Mungu na mwanadamu ni Yesu Kristo ambaye ni Kuhani Mkuu milele kwa mfano wa Melkizedeki.

Haimaanishi ndani ya Kanisa hilo hawapo wanaoishi maisha matakatifu, wapo ambao wanaenda kanisani kama jadi ila wakifika nyumbani ibada zao na Sala zao zinafanana na walokole(wanajiita Catholic Charismatic) na sababu za hao kutotoka ni kwamba Makanisa mengi yaliyofunguliwa mengi ni ya mkuu wa ulimwengu huu ndo maana wapo waliobaki Lutheran, wapo waliobaki Methodists ila wanaishi maisha ya kusoma Neno Kila siku, kuishi maisha matakatifu na maombi/Sala.
 
Haya toka umeanza kujifunza neno mbona neno haliko na wewe?? Yaan neno limekukataa. . .
Kwahiyo vitu vizuri vya shetani 🤣
..so dunia inaweza kutoa vitu bora na vizuri kuliko aliyeumba dunia?? 🤣

Spirit ya mafarisayo is real.. that's why alipokufa Lazaro walilia sanaaa..
Ila Yesu alipomfufua walitafuta kumuua tena...

Yohana 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴³ Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.

⁴⁴ Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.

⁴⁵ Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.

⁴⁶ Lakini wengine wakaenda zao kwa Mafarisayo, wakawaambia aliyoyafanya Yesu.

⁵³ Basi tangu siku ile walifanya shauri la kumwua.
,..,........................
Haya wewe unajua tueleze unachojua kuhusu neno..

Pinga Kwa hoja.. leta neno
Sawa kwa kuwa huu uzi sio wetu, ukitaka anzishe uzi wetu wa kujadili neno na juu na Nabii wako basi! Ila kama unataka ushindani.. Ntakupa Taji la bure kabisa... Endelea na unacho amini kwa nabii wako... Mi si mwamini na Sita mwamini, Imani yangu ni kwa Yesu tu! 🙏🙏
 
Yule nae Nabii au ndo wale wale... 😁 😁 Maana huduma yake ni ya Malaika, kutwa akisifia Malaika.. Malaika.. Wakati Hawa ni watendakazi wa bwana kwa ajili yetu.. Hatupaswi kuwapa Utukufu zaidi ya Yesu... Ila yeye sasa.... Binafsi simu amini hata kidogo....
Hata mimi simuamini yule jamaa
 
Back
Top Bottom