Mi sikatai uwepo wa Malaika, kukataa kwangu ni vile anawaongelea Sana kuliko kufundisha neno watu wa mjue zaidi Mungu, maana Neno la Mungu ndio uthibitisho wa mpango yote mzuri Mungu aliyoweka kwa ajili yetu.. Story za kupeleka na Malaika sijui kuzimu, Mara kaenda mbinguni Kuna magari latest version nk. Yote mwongo mbinguni hajaenda kaenda Mbingu ya Shetani.. Maana neno la Mungu halisemi asemayo yeye... Mwambie adanganye vijana wenzie wasio taka kujua neno wao binafsi... Wanataka walishwe kila kitu, manabii nk. sasa ndio wanalishwa Matango pori😁😁
Haya toka umeanza kujifunza neno mbona neno haliko na wewe?? Yaan neno limekukataa. . .
Kwahiyo vitu vizuri vya shetani 🤣
..so dunia inaweza kutoa vitu bora na vizuri kuliko aliyeumba dunia?? 🤣
Spirit ya mafarisayo is real.. that's why alipokufa Lazaro walilia sanaaa..
Ila Yesu alipomfufua walitafuta kumuua tena...
Yohana 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴³ Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
⁴⁴ Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.
⁴⁵ Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.
⁴⁶ Lakini wengine wakaenda zao kwa Mafarisayo, wakawaambia aliyoyafanya Yesu.
…
⁵³ Basi tangu siku ile walifanya shauri la kumwua.
,..,........................
Haya wewe unajua tueleze unachojua kuhusu neno..
Pinga Kwa hoja.. leta neno