Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #641
Mkuu niliandamwa kiroho mpaka nikakimbia hii platform kwa mda ila nimerudi,,,lakini kabla ya kurudi nilimsujudia kwanza Mungu wa walokole na maisha yangu nikayaweka kwake..Sababu katika ulimwengu wa kumwili na kiroho hakuna kama yeye hata watu wakubali au wakatae na katika utambulisho wake ana maneno yanaitwa ALFA NA OMEGA yameenea kote angani toka kilindi cha mwanzo wa ulimwengu mpaka kule kwenye maskani yake ya mwanga mkali kuliko jua na yule mwanae anayeitwa NYOTA YA ALFAJIRI ndie mlinzi wa walokole hapa duniani....Nimeamua kumsujudia ili na mimi anilinde mkuu.Nelson,
TUnasubiria Muendelezo
Yeah kuna mungu wengi ila mimi namzungumzia mungu wa walokole...katika ulimwengu wa kiroho ,hao walokole wapo kwenye madhehebu yote ya kikrsto kuanzia wakatoliki,wasabato,waangilikana,wapentekoste na wayahudi.Wote hao kiroho wanawajibika kwake na kwa mwanae ambae ndie kiunganishi chao kiroho..Kuhusu waislamu sijui na sina uzoefu wowote kiroho kuwahusu ila mimi namzungumzia tu mungu wa walokole ambae kiroho ni adui wa wachawi,washirikina na washirika wao kirohoKumbe kuna Mungu wengi, eeh? Wa walokole wa wasabato, wa waislamu nk? Hahahahaha......
kuhusu,Mkuu huu utafiti umenifanya kwa sasa nimsujudie Mungu wa walokole ambae katika ulimwengu wa kiroho ana gravity kubwa mno siwezi kuielezea na kile kitabu walokole wanaita biblia,sio kitabu kile kwa macho ya kiroho bali ni pumzi na maneno ya Mungu wa walokole na kina uhai wa pumzi za moto ndani yake
Unajua hapa kuna vitu viwili ambavyo ni kiroho na kimwili...Kiroho hao unaita malaika ni watu warefu wenye kuakisi mwanga wa jua na wanaongea na walokole kwa lugha hiyo mnayoita kunena kwa lugha,,na kule kulia kiroho walokole wanaonekana wanaimba kwa lugha hiyo hiyo ya wale watu warefu wenye mabawa na panga za moto.Mungu wa walokole ana mwanae nae anaitwa MWANA WA MMILIKI AMBAE WALOKOLE WANAMUITA EMANUELI NA ANA ROHO YAKE MFANO WA NJIWA WA MOTO NA VIDUARA VYA MOTO NA VYOTE VINAAMBATANA PAMOJA KUWAENDEA WALOKOLE WANAPOSALI.Chochote wanachofanya walokole duniani basi kiroho kinaonekana tofauti...ukiona wanalia ujue kiroho wanaimba na ukiona wananena kwa lugha ujue kiroho wanazungumza na washirika wao ambao ni MWANA WA MTAWALA NA WALE WATU WAREFU WENYE MABAWA WANAOAKISI MWANGA WA JUA NA WANAOWAZUNGUKA WALOKOLE NA PANGA ZA MOTO POPOTE WAENDAPO USIKU NA MCHANA.Unaelewaje
kuhusu,
Mungu Baba,
Mungu Mwana, naMungu Roho mtakatifu,
Na,je kuomba kwao ni mpaka wanene Kwa lugha ya kiroho ndio wanashuka malaika,
Wakiongea maombi ya kiswahili tupu ,vipi wanashuka,au mpaka mlokole abadili maombi kwenda lugha ya kiroho ndio malaika wanashuka, mlokole akiomba Kwa lugha ya kiswahili tupu mwanzo Hadi Mwisho wa Sara yake ,je hayo sikiwa na je malaika hawatoshuka,
Kwa Kuwa jambo ,unalolisema ni jema na ni baraka Kwa watoto wake wa kiroho ,duniani ,Mkuu niliandamwa kiroho mpaka nikakimbia hii platform kwa mda ila nimerudi,,,lakini kabla ya kurudi nilimsujudia kwanza Mungu wa walokole na maisha yangu nikayaweka kwake..Sababu katika ulimwengu wa kumwili na kiroho hakuna kama yeye hata watu wakubali au wakatae na katika utambulisho wake ana maneno yanaitwa ALFA NA OMEGA yameenea kote angani toka kilindi cha mwanzo wa ulimwengu mpaka kule kwenye maskani yake ya mwanga mkali kuliko jua na yule mwanae anayeitwa NYOTA YA ALFAJIRI ndie mlinzi wa walokole hapa duniani....Nimeamua kumsujudia ili na mimi anilinde mkuu.
Asante sana mkuuTunasubiri vitu
Kwa Kuwa jambo ,unalolisema ni jema na ni baraka Kwa watoto wake wa kiroho ,duniani ,
Ni baraka pia Kwa watoto wake,
Si Dhani kama ataruhusu uwoneww kiroho, kama Nia ni kuhusema ukweli na kumtukuza Huyo Mungu WA walokole,
NAMI NASEMA karibu sana,
Na Mungu awe nawe akurinde UMALIZE UJUMBE WOTE WA UTAFITI WAKO ULIOUWANGAIKIA KWA MIAKA MINGI,
NAMSII MWANA WA MUNGU AKULINDE, AMEN.
NAKUTAKIA ULINZI WA YESU KRISTO ,UWE PAMOJA NAWE ,NA UWE NA AMANI ,USIOGOPE WALA USIHOFIE, UFANYALO NI JEMA,
KARIBU JUKWAANI UMALIZE UZI WAKO,ILI IWE FUNDISHO.
Watu wafahamu wasio yafahamu
Naendelea mkuuUsiku huu shusha vitu, tubarikie na mwendelezi wa yule Mzee na wewe Katika kutafuta ukweli ,
Mlipopitia mlipitia vingapi mpaka kupata ukweli,na mlikutana na vizuizi Gani kiroho
Masaki haiishi jamii ya wapuuzi, uchawi utaukuta zaidi uswahilini.Mzeebaba sijasoma yote ila uchawi au ushirikina haupo ni story za kusadikika zinazoshamiri sana kwenye jamii za watu wajinga na maskini ndo maana ni rahisi mtu wa Chitipa kuamini karogwa kuliko mtu wa Masaki achilia mbali Ulaya na bongo.
Ya watu humu,Naendelea mkuu
karibu tena mkuuNimeokoka mkuu nimeamua nimuabudu mungu wa walokole mkuu sababu nimemuona na ukuu wake kiroho
Asante sanakaribu tena mkuu
KIZAZI CHA NYOKA NI MMOJA WAPO WA MAADUI WA WALOKOLE NDIO KINA UADUI NA WALOKOLE NA MUNGU WAO NI ROHO INAYOJIPA NAFASI YA MUNGU MKUU IKIWA NA ALAMA YA NYOTA NA MWEZI NA KIZAZI CHA NYOKA WANAABUDU MALIKIA WA ANGA NA NYOTA NA MWEZI..NA HIYO ROHO INAYOJIITA MUNGU WAO INA UADUI NA MUNGU WA WAYAHUDI NA WALOKOLE..Tuko tunasililizia muendelezo
Mimi Kuna jamii ya watu nilikuwa nawasaidia wafanikiwe kimawazo ya kipesa ,
Kumbe wao lengo lao ni baya ,kumbe Nia nikuniona nafeli nashindwa siendelei,
Nakaa nao kumbe wao wanawivu mpaka wanakuwa na chuki nzito mioyoni mwao, Sasa Mimi nafanya wema kumbe wao wanawaza watanizidi vipi ,
Sasa Kuna siku Mungu akaanza kinuonyesha nilikuwa NACHEKA nao ni watu Gani, nilikuwa kugundua kumbe ni jamii ya uzao wa nyoka ,
Hao wapo kawaida hawana ulinzi wowoteSWali,
Hivi UMESEMA KUNA WALOKOLE WALIOKOSA ROHO WA UPENDO,
JE HAO WALIOKOSA ROHO WA UPENDO,NAO VIPI WANALIND NA WAKIOMBA MAOMBI YAO HUWA YAKOJE ?