Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Sekunde hiyo hiyo...Tatizo walokole hawana uwezo wa kuona majibu yao kwa sababu wapo mwilini..Kabla hujayaona kimwili,,tayari umeshajibiwa..NDIO MAANA NGUZO KUU YA WALOKOLE NI IMANI NA KUAMINI
Na mambo gani hufanya maombi ya majibu yachelewe mfano unakuta mtu anaomba apate kazi au mtoto au mwenzi wa maisha anakuja kupata Kwa kuchelewa
 
Vipi swala la wanawake kuvaa suruali
 
Mkuu Kwa hili, nimeamini umetumwa na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, Mungu wa Walokole.

Nimepata taarifa kuwa hapendezwi na hivi vitu.
Mungu mkuu hapendezwi na visasi na chuki na gubu na uchoyo na kiburi na ulafi na uzinzi na ulevi na uongo na wizi na usengenyaji na mavazi yasiyo na staha na marembo yasiyo na staha na uhuni na uuaji na kujichubua na kudhulumu na mizaha na ubinafsi na hata kumwangalia mwenzio vibaya na kwa kiburi ni chukizo kwake.NA HAPENDEZWI NA WATU WANAOISHI BILA IMANI WAO KILA KITU WANATAKA WAONE KWA MACHO
 
Labda kama hujawahi kusikia ila wapo ambao husema ivo
Kimwili walokole ni masikini kwa walio wengi sababu kiroho wana maisha mengine kabisa...Msingi wa walokole sio mali bali kumpendeza Mungu wao 100% na baraka sio lazima ziwatokee kimwili tu...Lakini kiroho wanaonekana ni watoto wa miungu na wana utukufu
 
Na mambo gani hufanya maombi ya majibu yachelewe mfano unakuta mtu anaomba apate kazi au mtoto au mwenzi wa maisha anakuja kupata Kwa kuchelewa
KUNA JINSI YA KUMUOMBA MUNGU WA WALOKOLE NA KUNA JINSI YA KUPELEKA MAHITAJI YAKO KWAKE...NA PIA USISAHAU KUNA MAADUI WA WALOKOLE ANGANI NA ARIDHINI WANAZUIA MAOMBI
 
Sio kiroho ila mwilini
I m
KUNA JINSI YA KUMUOMBA MUNGU WA WALOKOLE NA KUNA JINSI YA KUPELEKA MAHITAJI YAKO KWAKE...NA PIA USISAHAU KUNA MAADUI WA WALOKOLE ANGANI NA ARIDHINI WANAZUIA MAOMBI
Mkuu tunaomba ufafanue hapa wengi watapona..maana Kuna wakati mtu anakua anahisi kama Mungu hamsikii mpaka wengine hudiriki kusema hakuna Mungu na wengine wanaamua kwenda upande wa Miungu waganga
 
Aisee tunafanyaje sasa maombi yaweze kufika na kujibiwa haraka?
Na kwanini wazuie maombi?
Mojawapo ni kuandaa moyo wako moyo wako uwe mweupe Yani usiwe na kinyongo,uchunguz,hasira ,wivu ,Yan Yale mambo mabaya yote ambayo hutokea moyoni yasitokee........nna ushuhuda hapa mfano ikatokea siku nna hasira,uchungu,maumivu moyoni nikiingia kusaliii Hua Sioni mpenyo kabisa Yan kunakua Na ukame sana nawakati mwingine unashindwa kabisa kusali.... ndomana bible inasema heri Wenye Moyo Safi maana Hao watamwona Bwana including kusikilizwa maombi yako Na kujibiwa
 
Hivi Kuna Universe ngapi,

Je, Kuna Universe ambazo hazifahamiki mpaka leo
ZIPO NYINGI SANA MAANA ZOOTE NI MLIKI YA MUNGU MKUU WA WALOKOLE...EBU FIKIRIA MAKAZI YAKE NI MAKUBWA KULIKO HIZO ULIMWENGU NA AMEZIFUMBATA HIZO ULIMWENGU KIGANJANI..MUNGU MKUU ANATISHA KWA UKUU WAKE ILA PIA ANAVUTIA KWA UKUU WAKE NA AKUKUTAZAMA UNAOGOPA NA WAKATI HUO HUO UNAHISI FURAHA NA AMANI NA MACHOZI PIA SABABU NI BABA.ANA MACHO YA UPENDO SANA NA NI MPOLE SANA ILA PIA NI MKALI SANA..UKIMUONA MWANAE NI KAMA UMEMUONA YEYE MAANA WAPO PAMOJA WAMEUNGANA ROHO TATU KWA PAMOJA MDA WOTE...LAKINI KUNA MDA KILA MMOJA ANAKUA PEKE YAKE..HUWEZI KUMTIZAMA MUNGU WA WALOKOLE AKIWA AMEKAA PEKE YAKE MAANA NI MOTO ULAO...LAKINI MWANAE UNAWEZA KUMTIZAMA MAANA NI GRAVITY YA UPENDO NA ANAPUNGUZA UUNGU WAKE ANAPOSOGELEA WANADAMU...HATA HAPO ULIPO YUPO......
UKITAKA KUJUA FUNGA MACHO AFU MUITE KWA JINA LA YESU AU EMANUELI KWA MAOMBI YA IMANI NA USILALAMIKE BALI WEWE MSIFU TU KWA UKUU WAKE......UTAHISI UNA AMANI YA MOYO NA UTULIVU BASI UJUE YUPO PEMBENI YAKO NA UKIENDELEA KUSALI ANAWEZA KUKUSHIKA BEGA AU UKAHISI KAKUSHIKA BEGA
JARIBU KUMUITA ATAKUJA
 
Upo sahii
 
I m

Mkuu tunaomba ufafanue hapa wengi watapona..maana Kuna wakati mtu anakua anahisi kama Mungu hamsikii mpaka wengine hudiriki kusema hakuna Mungu na wengine wanaamua kwenda upande wa Miungu waganga
UTAKATIFU WA KIROHO...WATAFUTE WALOKOLE WATAKUELEKEZA VIZURI...MIMI NINAWEZA KUA SIO MZURI SANA WA KUFAFANUA ILA UTAKATIFU WA KILOKOLE USIO NA MAWAHA NDIO UNATAKIWA
 
Mtoto wa miaka 8 ni rafiki wa Mungu mkuu wa walokole na washirika zake wenye mabawa na hulinda watoto sababu wanawapenda mno watoto wa kibinadamu.....Na hasa watoto wanaolijua neno YESU wale watu wenye mabawa huweka vituo vyao hapo kwa huyo mtoto.
 
Yaani ,kiroho KULIA NDIO KUIMBA NYIMBO NZURI ROHONI,
SASA KWA KUWA UNAIMBA KWA BUBUJIKO ,BASI HAPO UKO KIROHO UNAKUWA UMEUGUSA MOYO WA MUNGU ,ENDAPO UTAABUDU HIZO NYIMBO KATIKA ROHO NA ILE KWELI YAKE.
Na wale watu wenye mabawa ukiwa unalia unawagusa sana mioyo yao..Wanakubariki na kukuzunguka mpaka utakapomaliza kuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…