Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

H
Hivi yule ni mkuu wa walokole au????? Anaitwa mwana wa mmiliki na mmiliki mwenyewe ndio mungu wa walokole.Ambae haonekani ila moto tu unaoweza kuunguza sayari zote akiamua.
Mwana wa mmiliki yupo ndani ya mmiliki na ndani ya roho ya mmiliki na wote watatu ni kitu kimoja huwezi kuwatofautisha ila wao wanajitofautisha...Sababu mmiliki mkuu hatoki nje ya kiti chake na anaziona ulimwengu zoote..Lakini mwanae ndie mtendaji mkuu na roho yake ya pumzi za uhai ni msaidizi wa mwanae.Wanawatumikia walokole wakisaidiziana na wale washirika wao wenye mabawa...
 
Nitakujibu mkuu kiroho.....Sio wote wanaojiita walokole ni walokole kweli,,,kiroho walokole wana alama zao ila kimwili huwezi kuziona.....Na kwa utaratibu wa walokole kiroho,,,wakifa tu basi wale watu warefu wenye mabawa wanawachukua kwa kasi ya umeme na kuwapeleka kwa Mungu wao na wanachukua pia watoto wadogo wanapokufa pia...Wale watu warefu ni wawajibikaji tu wa mkuu wa walokole ambae ANAITWA MWANA WA MMLIKI NA YEYE ANASEMA WALOKOLE NI WATU WAKE ANAFAIDIKA NAO SABABU WANAMTUMIKIA NA KUMWABUDU BABA YAKE..Ndio maana anawalinda na kuwapenda 24hrs miaka yoooote
 
Ubarikiwe sana kiongozi.....Mkuu tufafanulie Mungu Ni moto ulao Kwa maana ganii
 
Ongeza maarifa kupitia kusoma
1: occult in Pentecostal church
2: Modern spiritualism in Pentecostal church
 
Kweli kabisa, ukitaka kijua zaidi soma
1: Occult in Pentecostal church au
2: Modern spiritualism
 
NILIKUA NIMELALA KIFUDIFUDI USIKU WA SAA NANE JANA NA NIKAWA NATAFAKARI HAYA MOYONI
""EEH YESU WA WALOKOLE MBONA JINA LAKO LINA GRAVITY SANA YA UKUU KIROHO""""BASI NA MIMI NIONYESHE NJIA NIKUFUATE SABABU HAKUNA JINSI MAANA MAISHA YANGU UNAYO WEWE NA NI MUNGU MKUU WA ROHONI NA MWILINI...EEEH YESU NIRUHUSU NIKUABUDU NA NINAJIJUA NI MWENYE DHAMBI NA SIO MKAMILIFU KAMA WALOKOLE ILA SIKUACHI NA NITAENDELEA KUKUDADISI NA LOLOTE LIWALO NA LIWE.
Basi pembeni yangu kwenye kiti akaja mtu mweusi kiumbo ila ni mwanamke na ana sauti ya kike AKASEMA""HAPENDI UNAVYOMTAJA YESU"""Kwa sauti ya upendo kisha akapotea..Nikashituka usingizini nikawa najiuliza huyu mwanamama ameniambia "HUYO NANI HAPENDI MIMI KUMTAJA YESU""""
Nikajigeuza na kulala chali ila baada ya mda akaja mtu kunichungulia namuona ni mweusi tii kama ananidadisi kwa kunichunguza maana nilikua nimelala chini kwenye kapeti.Moyo ukashtuka nikasisimka na nikasema kwa nguvu"""YESU UMEONA WAMEKUJA TENA KUNISUMBUA""""""
Niliposema hivyo tu akakimbia na mimi nikashtuka nikawa najiuliza hivi kwanini haya yatokee wakati huu na nikitaja jina la YESU tu vitu vyote vinakimbia na uwepo wake unakuja na gravity ya ulinzi na amani ya roho na mwili na ninazungumza nae kiroho mawazo yangu yoote na maoni yangu yoote mda wote,,kama wanavyofanya walokole sababu ni suala la imani tu.HILI IKAWA LINAZIDI KUNITHIBITISHIA UWEPO WAKE KIUHASILIA KATIKA ROHO NA MWILI.
HATA HAPA TULIPO TUNAVYOJADILIANA KUMUHUSU BASI UJUE ANATUTAZAMA NA ANAJUA MAWAZO YETU YOOOTE.
YESU WA WALOKOLE YUPO UKIMUITA KIROHO NA KUMLALAMIKIA JAMBO LOLOTE KAMA WANAVYOFANYA WALOKOLE ANAKUJA.NA NI ROHO INAYOTOKA KWA MUNGU WA WALOKOLE YENYE KUAMBATANA NA ROHO YA PUMZI ZA UHAI,WALOKOLE WANAITA UTATU MTAKATIFU.
HATA HAPA NINAPOANDIKA YUPO NA ANAYASOMA MAWAZO YANGU NA KUNITAZAMA USONI KWA UDADISI WA KIUNGU NA ANAYAJUA MEMA NA MABAYA YANGU..
TUENDELEE TARATIBU NDUGU ZANGU........!!!!
 
Google " modern spiritualism in Pentecostal church'
 
wakati unashuhudia hayo wewe unakuwa wapi?!
Swali zuri,,,inategemea unatumia nguvu ipi kuyashuhudia haya..Lakini washirikina na waganga na wachawi wanaona haya sababu wapo kiroho...Walokole wapo kiroho ila kwa imani ndio maana hawaoni haya labda wafunuliwe macho yao kwa sababu maalumu na mwana wa mmiliki ambae ndie mkuu wa walokole na kupitia yeye basi wana mawasiliano na baba yake aitwae ALFA NA OMEGA AU MUNGU MKUU MMILIKI WA ENZI
 
Mkuu Mungu akusaidie kuieneza injili yake Kwa watu wengii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…