Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Yeah wale watu warefu wazuri wa kupendeza walinzi wa walokole wenye mabawa wanaimba milele hawapumziki na ndio watungaji wa nyimbo za injili na kusifu duniani
Kwanini waimbaji wengi wa injili Hasa wa kike ndoa zao zimevunjika wengine ndoa zimevunjika wakaolewa Kwa mara Ya pili Na wengine wamekua Na ushirika si Rafiki Na watu wanaomuabudu lucifer....Ni kwamba shetani anawapiga vita au Ni ukengeufu tu wa Moyo yao
 
Kumbuka walokoke wana maadui na wanaandamwa masaa 24 wakengeuke..Usiwahukumu waombee
 
Hapana sikuwaona kwa macho ila udadisi na utafiti wangu ulifikia mahali nikawajua kiroho na ngazi zao na hata wanajimu na waganga wanawajua tu hawa walokole wanaoonekana kama wana wa miungu angani.Wapo kwa Mungu wa walokole na ndio wanaitwa wazee wa baraza la Mungu wa walokole wapo kuwafariji walokole kiroho...Kazi yao kubwa ni kuwaombea walokole wa sasa na kusujudu na kuabudu na kumsifu Mmiliki mkuu ambae ni Mungu wa enzi na mmliki wa ulimwengu na wanadamu.Walokole wanamuita BABA!!!
Mkuu je Kwa Hawa watumishi wanaojiita manabii wanatumia Maji, Mafuta,chumvi,kitambaa,udongo,cake ya upako,nguo wengine wanawaambia watu wapeleke nywele zao na kucha zao....je Mungu wa walokole anaweza kuponya watu wake Kwa kutumia hivyo vitu?
 
Damu ya Yesu au mwana wa mmliki kiroho ni kama mvua ya damu ya moto inayowamwagikia walokole na inapomwagika juu ta aridhi hakuna roho ovu inayoweza kuisogelea..walokole wote wamefunikwa na damu ya mkuu wao aitwae Yesu au mwana wa mmiliki
Mkuu kitabu cha ufunuo kinaelezea
Hii ndio gravity ya Mungu wa walokole ANAVUTIA
Anavutia kama sumaku hivi ee
 
Hii ndio gravity ya Mungu wa walokole ANAVUTIA
Kitabu cha ufunuo kinaelezea Ile vita iliyotokea mbinguni kati ya mikaeli na ibilisi...Kuna Andiko Yesu anasema alimuona ibilisi akitupwa chini Kama umeme...alafu pia Kuna Andiko linasema nao wakamshinda Kwa damu ya mwanakondooo....je katika utafiti wako ulichunguza na habari ya hii vita iliyotokea mpaka ibilisi akatupwa chini.....je damu ya Yesu ilitumikaje kumshinda Shetanii kwenye hio vita
 
Mkuu je Kwa Hawa watumishi wanaojiita manabii wanatumia Maji, Mafuta,chumvi,kitambaa,udongo,cake ya upako,nguo wengine wanawaambia watu wapeleke nywele zao na kucha zao....je Mungu wa walokole anaweza kuponya watu wake Kwa kutumia hivyo vitu?
Tofautisha uganga wa watu na ulokole wa imani..Sikuona popote walokole wa kweli kiimani wanatumia hivyo vitu
NB: Kuna walokole na waigizaji ulokole
 
Kitabu cha ufunuo kinaelezea Ile vita iliyotokea mbinguni kati ya mikaeli na ibilisi...Kuna Andiko Yesu anasema alimuona ibilisi akitupwa chini Kama umeme...alafu pia Kuna Andiko linasema nao wakamshinda Kwa damu ya mwanakondooo....je katika utafiti wako ulichunguza na habari ya hii vita iliyotokea mpaka ibilisi akatupwa chini.....je damu ya Yesu ilitumikaje kumshinda Shetanii kwenye hio vita
YESU AU MWANAKONDOO AU MWANA WA MUNGU ALIKUEPO TOKA MWANZO NA DAMU YAKE NI DAMU YA MUNGU MWENYE.TOKA MWANZO WA ULIMWENGU KUNA KIJITO CHA DAMU YAKE..WANAITA KIROHO KIJITO CHA UZIMA.....KIPO KWENYE MASIKANI YA MUNGU WA WALOKOLE AMBAE ANAMUITA YESU MWANAE AMPENDAE NA KIONGOZI WA WALOKOLE NA ANA MSAIDIZI AMBAE NI ROHO YA UHAI YA MUNGU.WALOKOLE WANAIITA HIYO ROHO ( ROHO MTAKATIFU )
 
MUNGU WA WALOKOLE ANA UPENDO KULIKO WALOKOLE WANAVYOFIKIRI....ANAWAPENDA SABABU WANAMPA MDA WAO KUMFIKIRIA NA KUMSIFU NA KUMTUKUZA NA KUTENDA MAAGIZO YAKE.
ANATUMIA RESOURCES ZAKE ZOTE KUWALINDA NA KUWABARIKI.
KWA SHARTI MOJA TU ( WAWE NA KIBALI MACHONI PAKE YAANI UTAKATIFU)....MUNGU WA WALOKOLE ANAHITAJI UTAKATIFU SABABU YEYE NI MTAKATIFU MNO KULIKO MAELEZO.
YOYOTE ANAESOMA UJUMBE HUU AJUE WALOKOLE HAWAPOTEZI MDA KAMA WATU WANAVYOWABEZA
 
Damu ya Yesu au mwana wa mmliki kiroho ni kama mvua ya damu ya moto inayowamwagikia walokole na inapomwagika juu ta aridhi hakuna roho ovu inayoweza kuisogelea..walokole wote wamefunikwa na damu ya mkuu wao aitwae Yesu au mwana wa mmi

YESU AU MWANAKONDOO AU MWANA WA MUNGU ALIKUEPO TOKA MWANZO NA DAMU YAKE NI DAMU YA MUNGU MWENYE.TOKA MWANZO WA ULIMWENGU KUNA KIJITO CHA DAMU YAKE..WANAITA KIROHO KIJITO CHA UZIMA.....KIPO KWENYE MASIKANI YA MUNGU WA WALOKOLE AMBAE ANAMUITA YESU MWANAE AMPENDAE NA KIONGOZI WA WALOKOLE NA ANA MSAIDIZI AMBAE NI ROHO YA UHAI YA MUNGU.WALOKOLE WANAIITA HIYO ROHO ( ROHO MTAKATIFU )
Yesu alivosulubiwa pale msalabani alichomwa mkuki ubavuni yakatoka maji....je kile kitendo kilimaanisha nini alimwaga damu na maji pia ...ingawa tayari alikua ameshakufa walivomchoma mkuki kuthibitisha kama kweli amekufa yalitoka maji
 
Back
Top Bottom