Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #881
Anaitwa mmiliki na ana utiisho wa kutisha mnooNdio Mungu wa miungu yote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa mmiliki na ana utiisho wa kutisha mnooNdio Mungu wa miungu yote...
Je ushawahi kuiona Damu Ya Yesu? IkojeAnangaaa kama moto hata huwezi kumuona utaungua macho..Labda aamue mwenyewe umuone
Ndomana bible inasema Neno la Mungu Li Hai Na Ni moto ulaoHuwezi amini ila kitabu cha walokole ni pumzi za roho ya Mungu wa walokole na zinatoka mdomoni kwake..Na hicho kitabu kina roho za uhai na miale ya moto kwa mfano wa njiwa.
Karibu mkuu tujadiliane at least mambo ya kirohoBila kujali uhalisia na facts,mimi napenda uandishi wa namna hii
unapitaga huku kuchungulia kama mimi za muda nakumbuka wakati unaanzia pale mwanzonni ulikuwepoNilishachangia sana humu mwanzoni...
Na Bado naufuatilia...
Hilo ni kweli kabisa,,ule ni uhai wa neno la Mungu mkuuNdomana bible inasema Neno la Mungu Li Hai Na Ni moto ulao
Kwanini waimbaji wengi wa injili Hasa wa kike ndoa zao zimevunjika wengine ndoa zimevunjika wakaolewa Kwa mara Ya pili Na wengine wamekua Na ushirika si Rafiki Na watu wanaomuabudu lucifer....Ni kwamba shetani anawapiga vita au Ni ukengeufu tu wa Moyo yaoYeah wale watu warefu wazuri wa kupendeza walinzi wa walokole wenye mabawa wanaimba milele hawapumziki na ndio watungaji wa nyimbo za injili na kusifu duniani
ka,weusikatishwe tamaaKuna nyakati naogopa kuendelea na hizi shuhuda ila najua Mwana wa mmiliki atanilinda at least niwatie moyo walokole kuhusu Mungu wao wa ajabu na gravity yake ya nguvu na upendo
Damu ya Yesu au mwana wa mmliki kiroho ni kama mvua ya damu ya moto inayowamwagikia walokole na inapomwagika juu ta aridhi hakuna roho ovu inayoweza kuisogelea..walokole wote wamefunikwa na damu ya mkuu wao aitwae Yesu au mwana wa mmilikiJe ushawahi kuiona Damu Ya Yesu? Ikoje
Najishangaaa Kadri unavozidi kueleza kuhusu Mungu wa walokole namimi Ile shauku Ya kutaka kumjua Zaidi inaongezekaHilo ni kweli kabisa,,ule ni uhai wa neno la Mungu mkuu
Kumbuka walokoke wana maadui na wanaandamwa masaa 24 wakengeuke..Usiwahukumu waombeeKwanini waimbaji wengi wa injili Hasa wa kike ndoa zao zimevunjika wengine ndoa zimevunjika wakaolewa Kwa mara Ya pili Na wengine wamekua Na ushirika si Rafiki Na watu wanaomuabudu lucifer....Ni kwamba shetani anawapiga vita au Ni ukengeufu tu wa Moyo yao
Hii ndio gravity ya Mungu wa walokole ANAVUTIANajishangaaa Kadri unavozidi kueleza kuhusu Mungu wa walokole namimi Ile shauku Ya kutaka kumjua Zaidi inaongezeka
Mkuu je Kwa Hawa watumishi wanaojiita manabii wanatumia Maji, Mafuta,chumvi,kitambaa,udongo,cake ya upako,nguo wengine wanawaambia watu wapeleke nywele zao na kucha zao....je Mungu wa walokole anaweza kuponya watu wake Kwa kutumia hivyo vitu?Hapana sikuwaona kwa macho ila udadisi na utafiti wangu ulifikia mahali nikawajua kiroho na ngazi zao na hata wanajimu na waganga wanawajua tu hawa walokole wanaoonekana kama wana wa miungu angani.Wapo kwa Mungu wa walokole na ndio wanaitwa wazee wa baraza la Mungu wa walokole wapo kuwafariji walokole kiroho...Kazi yao kubwa ni kuwaombea walokole wa sasa na kusujudu na kuabudu na kumsifu Mmiliki mkuu ambae ni Mungu wa enzi na mmliki wa ulimwengu na wanadamu.Walokole wanamuita BABA!!!
Mkuu kitabu cha ufunuo kinaelezeaDamu ya Yesu au mwana wa mmliki kiroho ni kama mvua ya damu ya moto inayowamwagikia walokole na inapomwagika juu ta aridhi hakuna roho ovu inayoweza kuisogelea..walokole wote wamefunikwa na damu ya mkuu wao aitwae Yesu au mwana wa mmiliki
Anavutia kama sumaku hivi eeHii ndio gravity ya Mungu wa walokole ANAVUTIA
Kitabu cha ufunuo kinaelezea Ile vita iliyotokea mbinguni kati ya mikaeli na ibilisi...Kuna Andiko Yesu anasema alimuona ibilisi akitupwa chini Kama umeme...alafu pia Kuna Andiko linasema nao wakamshinda Kwa damu ya mwanakondooo....je katika utafiti wako ulichunguza na habari ya hii vita iliyotokea mpaka ibilisi akatupwa chini.....je damu ya Yesu ilitumikaje kumshinda Shetanii kwenye hio vitaHii ndio gravity ya Mungu wa walokole ANAVUTIA
Tofautisha uganga wa watu na ulokole wa imani..Sikuona popote walokole wa kweli kiimani wanatumia hivyo vituMkuu je Kwa Hawa watumishi wanaojiita manabii wanatumia Maji, Mafuta,chumvi,kitambaa,udongo,cake ya upako,nguo wengine wanawaambia watu wapeleke nywele zao na kucha zao....je Mungu wa walokole anaweza kuponya watu wake Kwa kutumia hivyo vitu?
YESU AU MWANAKONDOO AU MWANA WA MUNGU ALIKUEPO TOKA MWANZO NA DAMU YAKE NI DAMU YA MUNGU MWENYE.TOKA MWANZO WA ULIMWENGU KUNA KIJITO CHA DAMU YAKE..WANAITA KIROHO KIJITO CHA UZIMA.....KIPO KWENYE MASIKANI YA MUNGU WA WALOKOLE AMBAE ANAMUITA YESU MWANAE AMPENDAE NA KIONGOZI WA WALOKOLE NA ANA MSAIDIZI AMBAE NI ROHO YA UHAI YA MUNGU.WALOKOLE WANAIITA HIYO ROHO ( ROHO MTAKATIFU )Kitabu cha ufunuo kinaelezea Ile vita iliyotokea mbinguni kati ya mikaeli na ibilisi...Kuna Andiko Yesu anasema alimuona ibilisi akitupwa chini Kama umeme...alafu pia Kuna Andiko linasema nao wakamshinda Kwa damu ya mwanakondooo....je katika utafiti wako ulichunguza na habari ya hii vita iliyotokea mpaka ibilisi akatupwa chini.....je damu ya Yesu ilitumikaje kumshinda Shetanii kwenye hio vita
Damu ya Yesu au mwana wa mmliki kiroho ni kama mvua ya damu ya moto inayowamwagikia walokole na inapomwagika juu ta aridhi hakuna roho ovu inayoweza kuisogelea..walokole wote wamefunikwa na damu ya mkuu wao aitwae Yesu au mwana wa mmi
Yesu alivosulubiwa pale msalabani alichomwa mkuki ubavuni yakatoka maji....je kile kitendo kilimaanisha nini alimwaga damu na maji pia ...ingawa tayari alikua ameshakufa walivomchoma mkuki kuthibitisha kama kweli amekufa yalitoka majiYESU AU MWANAKONDOO AU MWANA WA MUNGU ALIKUEPO TOKA MWANZO NA DAMU YAKE NI DAMU YA MUNGU MWENYE.TOKA MWANZO WA ULIMWENGU KUNA KIJITO CHA DAMU YAKE..WANAITA KIROHO KIJITO CHA UZIMA.....KIPO KWENYE MASIKANI YA MUNGU WA WALOKOLE AMBAE ANAMUITA YESU MWANAE AMPENDAE NA KIONGOZI WA WALOKOLE NA ANA MSAIDIZI AMBAE NI ROHO YA UHAI YA MUNGU.WALOKOLE WANAIITA HIYO ROHO ( ROHO MTAKATIFU )