Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

MUNGU WA WALOKOLE ANA UPENDO KULIKO WALOKOLE WANAVYOFIKIRI....ANAWAPENDA SABABU WANAMPA MDA WAO KUMFIKIRIA NA KUMSIFU NA KUMTUKUZA NA KUTENDA MAAGIZO YAKE.
ANATUMIA RESOURCES ZAKE ZOTE KUWALINDA NA KUWABARIKI.
KWA SHARTI MOJA TU ( WAWE NA KIBALI MACHONI PAKE YAANI UTAKATIFU)....MUNGU WA WALOKOLE ANAHITAJI UTAKATIFU SABABU YEYE NI MTAKATIFU MNO KULIKO MAELEZO.
YOYOTE ANAESOMA UJUMBE HUU AJUE WALOKOLE HAWAPOTEZI MDA KAMA WATU WANAVYOWABEZA
Mkuu naomba tuelezee kuhusu agano la damu ya Yesu...kiroho inamaanisha nn
 
Yesu alivosulubiwa pale msalabani alichomwa mkuki ubavuni yakatoka maji....je kile kitendo kilimaanisha nini alimwaga damu na maji pia ...ingawa tayari alikua ameshakufa walivomchoma mkuki kuthibitisha kama kweli amekufa yalitoka maji
LILE TUKIO KIROHO NDILO LILIMPA MAMLAKA YOOTE BAADA YA DAMU YAKE KUA KAFARA YA WALOKOLE NA MUNGU WAO....KIROHO DAMU NI KIUNGANISHI
 
Yeah damu ya mwana wa mmiliki ina uhai na inatoka ndani ya kijito cha uzima kwenye masikani ya Mungu wa Walokole babake na Yesu
Kuna ushuhuda mmoja nilisoma humu alikua ni Binti anaeleza akasema Yesu still bado anazo zile alama za kusulubiwa mikonon miguun akasema vimebaki vidonda mwilini mwake havijapona....je nikwelii Yesu bado ana vile vidonda vya kusulubiwa pale msalabani?
 
Yeah damu ya mwana wa mmiliki ina uhai na inatoka ndani ya kijito cha uzima kwenye masikani ya Mungu wa Walokole babake na Yesu
Kuna nyuzi humu zinasema pombe inaruhusiwa biblia inatana divai mvinyo wao wanachukulia kama pombe wakati hapohapo biblia imekataza pombe inasema msilewe Kwa mvinyo Bali mjazwe roho mtakatifu imekataza na ulevi pia....Mkuu tunaomba ufafanuzi
 
KIROHO AGANO LA DAMU NI MAUZIANO YA ROHO...YESU ALIPOMWAGA DAMU ALINUNUA ROHO ZA WALOKOLE KWA GHARAMA YA UHAI WAKE NA NDIO MAANA WALOKOLE NI WATU WAKE NA ANA HAKI NAO
Nassupport na Andiko
1 wakorintho 6:19-20 "au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la roho mtakatifu aliye ndani yenu,mliyepewa na Mungu?
20.maana mlinunuliwa Kwa thamani.sasa basi,mtukuzeni Mungu katika miili yenu"
 
Labda ndiyo hao majinni?
Al Jinn kwenye Quran wanadhihirisha shetani alivyotupwa dunia na wafuasi wake ambao ni majini yakaamua yasilimu yawe waislamu
72:8 Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo

72:9
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

Biblia takatifu inasema
Ufunuo wa Yohana 12:7-9
7
Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake;

8 nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni.

9
Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.
 
Kuna watu mnakoelekea mtamfanya msimulia story awe kama mungu mtu. Mnauliza maswali ambayo mlipaswa msome neno myaelewe au muongezewe imani au mumuulize Mungu mwenyewe. Mngemuacha tu asimulie kile ambacho yeye alikutana nacho nafikiri inge-make sense,kuna namna maswali yanamtoa sana kwenye lengo la uzi wake.
 
Al Jinn kwenye Quran wanadhihirisha shetani alivyotupwa dunia na wafuasi wake ambao ni majini yakaamua yasilimu yawe waislamu
72:8 Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo

72:9
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
Sikushangai, umeshindwa kuielewa "lexicon" na "locution" ilyotumika hapo. Uzuri wa mtafsiri kwa Kisahili kajitahidi kutafsiri neno kwa neno bila kutafsiri maana kusudiwa.

Hayo uliyoandika kwa lugha ya kisasa tungesema ni "nondo" walizokutana nazo kila walipoisikia Qur'an ziliwafanya wasilimu.

Natumai umeelewa kwa kiwango fulani.
 
Mimi sina dhehebu sababu hata hao walokole hawana dhehebu ila wana alama tu za kiroho na kimwili kupitia jina la Mwana wa mmiliki liitwalo EMANUELI.Na nimeamua kumfuata mungu wa walokole baada ya kuona ukuu wake na yeye amenilazamisha nimfuate maana ukuu wake ndio unaniweka hai..Wala mimi sio mkamilifu na ni mtu mwenye dhambi na nina mapungufu mengi tu.Lakini huyu Mungu wa walokole ana gravity kubwa mno siwezi kuiepuka na jina la Mwanae ni kinga tosha kuliko hirizi au pete au dua za watu wanaoabudu nyota ya mashariki na mwezi na malikia wa anga

Ni Nani anaitwa malkia wa anga?
 
Sikushangai, umeshindwa kuielewa "lexicon" na "locution" ilyotumika hapo. Uzuri wa mtafsiri kwa Kisahili kajitahidi kutafsiri neno kwa neno bila kutafsiri maana kusudiwa.

Hayo uliyoandika kwa lugha ya kisasa tungesema ni "nondo" walizokutana nazo kila walipoisikia Qur'an ziliwafanya wasilimu.

Natumai umeelewa kwa kiwango fulani.
Mungu wa walokole ni tofauti kabisa na Mungu wa waislamu na hawana ushirika sababu Mungu wa walokole ana utaratibu wake tofauti kabisa!!!Na katika anga zote mmliki Mkuu ni ALFA NA OMEGA.Mungu wa waislamu ni roho kinzani iliyojipachika hadhi ya uungu ila inamuogopa Mungu wa walokole!!!!UKITAKA KULITHIBITISHA HILO WATAFUTE WALE WATU WAREFU WASIOAKISI MWANGA WA JUA NA WASHIRIKA WA WANAJIMU NA WAGANGA NA WANAOABUDU ROHO YA MASHARIKI NA MALIKIA WA ANGA KWA ALAMA YA NYOTA NA MWEZI WATAKUELEZA ILA USITHUBUTU KWA HALI HIYO KULITAJA JINA LA MKUU WA WALOKOLE MBELE YAO MTAGOMBANA.AU TOKA NJE YA MWILI AFU TAJA HAYA MANENO YA KILATINI ALFA NA OMEGA
NB: AU UTAJE MANENO YA KIARABU YA SURA ZA MWANZO ZA KITABU CHA AL ASIF WATAKUJA ROHO ZA WAABUDU NYOTA NA MWEZI KUTOKEA MASHARIKI MWA DUNIA CHINI YA MALKIA WA ANGA NA KUKUAMBIA KUHUSU MUNGU WA WALOKOLE HUYU NINAEMZUNGUMZIA HAPA
 
Kuna watu mnakoelekea mtamfanya msimulia story awe kama mungu mtu. Mnauliza maswali ambayo mlipaswa msome neno myaelewe au muongezewe imani au mumuulize Mungu mwenyewe. Mngemuacha tu asimulie kile ambacho yeye alikutana nacho nafikiri inge-make sense,kuna namna maswali yanamtoa sana kwenye lengo la uzi wake.
Hapana mkuu kua na amani kuuliza ni asili yetu binadamu!!!Hata wale watu warefu wanaowalinda walokole hupenda maswali na wao huuliza binadamu maswali pia!!
 
Kuna ushuhuda mmoja nilisoma humu alikua ni Binti anaeleza akasema Yesu still bado anazo zile alama za kusulubiwa mikonon miguun akasema vimebaki vidonda mwilini mwake havijapona....je nikwelii Yesu bado ana vile vidonda vya kusulubiwa pale msalabani?
Ile alama ndio utambulisho wake kwa watu wake anapowatokea kiroho ili kujitofautisha na roho ovu
 
Roho ya angani ovu ya mashariki inayoabudiwa kwa alama ya nyota na mwezi

Kuna kanisa fulani hufundisha kuhusu malikia wa mbingu, humpa uwezo huyo Malkia ni moja ya fundisho la uongo sana.
Nyuzi hii imenipa nguvu sana , Nina mambo mengi ya ku share ambayo yataweza kukusaidia ktk utafiti wako. Mungu akupe nguvu kupitia Roho wake mtakatifu uzidi ku share mambo haya muhimu ya Rohoni watu wapate kujua ukuu na utukufu wa Mungu wa walokole. Ubarikiwe [emoji1488]
 
Back
Top Bottom