Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Hapana sikuwaona kwa macho ila udadisi na utafiti wangu ulifikia mahali nikawajua kiroho na ngazi zao na hata wanajimu na waganga wanawajua tu hawa walokole wanaoonekana kama wana wa miungu angani.Wapo kwa Mungu wa walokole na ndio wanaitwa wazee wa baraza la Mungu wa walokole wapo kuwafariji walokole kiroho...Kazi yao kubwa ni kuwaombea walokole wa sasa na kusujudu na kuabudu na kumsifu Mmiliki mkuu ambae ni Mungu wa enzi na mmliki wa ulimwengu na wanadamu.Walokole wanamuita BABA!!!
kwa komenti hii ile sala ya bikra ipo sahihi
 
Kwa Nini ,

Uzinzi na uashetari ni Dhambi?

Na Tamaa je Kwa Nini ni Dhambi, wakati ndivyo alivyo muumba mwanaume kumtamani,

Au tamaa inatoka wapi,na utaishindaje mtu
Ulimwengu wa kiroho kila kitu kina utaratibu wake..Nje ya hapo ni dhambi.Mungu aliumba tamaa yenye kiasi ila kuna roho ovu zinatuhujumu
 
In short hii Dunia vitu vingi vipo opposite sana na watu hawawezi kushituk sababu watu wanaamini sana ktk macho ya nyama. Kweli Mungu wa walokole huyo acha kuna muda huwa naimba sioni vinanda ila sauti naisikia, kazisuka mbingu zake Za ajabu na utukufu wake ni wa ajabu kuna siku moja niliona maono ya mbingu mpya kwa kweli sio kwa uzuri ule pia anajua siri zote Za uso wa Dunia , kuna siku alinigusia kuhusu agano moja Lenye ishara ya Moto kuwa ni chukizo machoni mwake ila cha ajabu kila mwaka watu , wanalitukuza sana, hata wew kuandika uzi huu kuna nguvu inayofanya kazi ndani yako.
Na ni kufuru kumfananisha na miungu mingine!!!
 
KILA HERUFI KIROHO INA MAMLAKA KUTOKA KWENYE PUMZI YA MUNGU NA KILA HERUFI INA TAFSIRI YAKE..NI HATARI MNO KULIFANYIA MIZAHA HILO JINA KIROHO...NA NI WALOKOLE TU WENYE ACSESS NALO NA NI FUNGUO YA KILA KITU KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO
asante, japo umefupisha, ukipata kibari naomb udadavue kila herufi na maana yake, USHUHUDA WAKO NA MAARIFA YAKO VINA UMUHIMU KWETU
 
Kuna kunena kwa lugha za roho ovu na sio Mungu wa walokole.
Tafuta tsfsiri ya wigi au kucha bandia au pombe au nguo zisizofaa!!!Na sio kila kanisa linalojiita la kilokole basi rohoni linaonekana kilokole....Asilimia tisini yote hayo sio makanisa ya kilokole,sababu ulokole sio kanisa au jengo bali ni utambulisho binafsi wa mtu kiroho.
90% ya makanisa uyaonayo, Si makanisa ya kilokole.

Sababu ulokole Si Kanisa au jengo,Bali ni utambulisho wa mtu binafsi kiroho.

UBARIKIWE.
 
kwa komenti hii ile sala ya bikra ipo sahihi
Unapotoka,

Roho mtakatifu ndiye aliyeandikwa katika kitabu kitakatifu mwenye KIBALI Cha kuomba na WATAKATIFU, kuwaombea Kwa kuugua WATAKATIFU.

Na Roho mtakatifu ndiye ROHO wa YESU kristo.

Kitabu kitakatifu hakiturususu kuwaomba Malaika au viumbe wa Mbinguni kutuombea zaidi ya Roho MTAKATIFU ambaye ni ROHO wa kristo..

Sala ya kuomba uombewe na Bikra maria ni ABOMINATION au makufuru.
 
In short hii Dunia vitu vingi vipo opposite sana na watu hawawezi kushituk sababu watu wanaamini sana ktk macho ya nyama. Kweli Mungu wa walokole huyo acha kuna muda huwa naimba sioni vinanda ila sauti naisikia, kazisuka mbingu zake Za ajabu na utukufu wake ni wa ajabu kuna siku moja niliona maono ya mbingu mpya kwa kweli sio kwa uzuri ule pia anajua siri zote Za uso wa Dunia , kuna siku alinigusia kuhusu agano moja Lenye ishara ya Moto kuwa ni chukizo machoni mwake ila cha ajabu kila mwaka watu , wanalitukuza sana, hata wew kuandika uzi huu kuna nguvu inayofanya kazi ndani yako.
Agano Hilo ni mwenge. Ii Tanzania ifunguke lazima life. Namshukuru Yesu nilianza kuuchukia toko sijui mwenge ni nini. Sijawahi kwenda kuushuhudia. Kwa Hilo namshukuru Mungu. Kuhusu Maria na watakatifu wore wakatoliki wanaowasalia ni uongo mtupu. Hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu kuokolewa kwako isipokua jina la Yesu mwana wa Mungu aliye hai milele na milele. Mimi hii aliiondoa yeye mwenyewe ndani yangu. Maana nimekua nikiwa mkatoliki.
Nilichogundua shetani ameingia kwenye kanisa la Mungu akajibadilishia vitu vingi sana. Mungu kama alivyomwambia Elia ana watu wengi wasiopiga goti kwa baali wala kumsujudia baali. Hata sasa anao wateule wake katika nchi. Ndio aliofanya nao agano Kwa dhabihu. Kuna siku ataingia duniani kuwafuata.
 
Ulimwengu wa kiroho kila kitu kina utaratibu wake..Nje ya hapo ni dhambi.Mungu aliumba tamaa yenye kiasi ila kuna roho ovu zinatuhujumu
Tamaa aliwekewa mwanamke amtamani mke mume wake tu. Ukisoma kitabu Cha mwanzo ameelezea vizuri kabisa. Hii sijui wanaume tuna tamaa ni roho ya uongo ya shetani. Imeingia kiasi kwamba hata hatuoni Roho Mtakatifu akituongelesha kuhusu namna dhambi za vizazi Kwa vizazi zilivyosababisha kufika tulipo leo.
Tunapaswa kutubu Kwa akili ya wazazi wetu, babu na bibi zetu na makufuru waliyoyafanya wakamchukiza YHWH. Tumepewa Yesu ili atupe mwanga lakini twapasa kuamini. Na kumtafuta Kwa bidii na kumpenda kuliko kitu chochote kile.
 
ISIKIE HII STORY ,

Kuna dogo mitaa Fulani, yule dogo, anauwezo wa kujibu swali lolote watu wanalojiuliza,hasa kimaandiko ya biblia, na maswali Mengi yahusuyo maisha ya Imani,

Sasa,yule dogo mpaka watu wazima wanavutiwa kumsikiliza, na wengine Wana mwambia una vitu vikubwa una madini,
Watoto wenzake wanashangaa ,na wanatamani aendelee kuwafundisha,

Sasa,bnikabidi nifuatilie ,historia ya mtoto yule Kwa mama Yale na yeye Mwenyewe nimjue,

Basi haya ndio maneno ya mama yake yasikie vema,

"Yule mama wa mtoto mwenye mafundisho ya Imani akasema, ALIPOKUWA na mimba ya mtoto ,alikuwa teari ameokoka ,na mtoto yule ni wazama za Imani Kali miaka ya 80-90's huko, zama zile za walokole kwelikweli,

Miaka ya enzi za kina kakobe na mikutano Yao jangwani ,dar,

Sasa, mama yule akasema kipindi ALIPOKUWA jangwani ,akapokea kuona ,NURU KUBWA KWA KILE ALICHOKIBEBA, ALIONA MWANGA KATIKA MIMBA ALIOIBEBA, BAADAE AKAONA NURU IMETAWALA NA BAADAE AKAPEWA UJUMBE KUMUHUSU YULE MTOTO KUWA NI JINA FILANI NA ATAKUWA MTUMISHI WA MUNGU,

BASI BWANA TAALIFA ZOTE ZIKAENEA,KUWA AJAE NI MTUMISHI WA MUNGU ,UKOO UKAPEWA TAARIFA,

SASA ,YULE MTOTO ALIPOKUWA MDOGO AKICHEZA NA WATOTO WENZAKE, ALIKUWA HAJUI LOLOTE AKAJIITA MTUMISHI WA MUNGU ALILITAJA CHEO KIMOJA WAPO CHA KITUMISHI , BASI WATOTO NA MTAANMZIMA NDIO HABALI ZIKAENEA WAKAWA WANAMUITA JINA LAKE NA BADARA YA JINA LA BABA WANAITA JINA LA CHEO CHAKE CHA KITUMISHI,

SASA ALIPOKUWA, ANASHANGAA AKIWIWA KUMUHUBIRIA MTU UJUE ,HUYO MTU ,ATAKUFA SI MUDA MREFU,

AKIHUBIRIA MTU ,MUDA SI MWINGI ,HUYO MTU ATAKUFA,

IMETOKEA HIVYO KWA WATU HAIZIDI 13

HIO MAANAKE NINI ,
NA MTOTO YULE KUWA NI MIMBA YA MWANGA MANAKE NINI?????????????????????????????????

Ila yule mtoto anachojishangaa ,anapata maswali ya anayojiuliza ,fasta kama ana kompyuta kichwani, Kila swali linajibika,

Hata Yale maswali ,watu huzani ya kufulu kuuliza watumishi ,Huyo dogo ,anayajua yote,

"Mfano ,ukimuuliza ,kwanini Mungu kataza kitu Fulani ,alikuwa anafikia Nini Mungu kutukataza ,yaani Nini kilicho nyuma ya pazia ya katazo Fulani yule dogo anajibu ,

Huyo ni nani,namtafakaligi Sana,
Mungu wa walokole ana wateule wake katika mwili wamtendee kazi zake
 
Tamaa aliwekewa mwanamke amtamani mke mume wake tu. Ukisoma kitabu Cha mwanzo ameelezea vizuri kabisa. Hii sijui wanaume tuna tamaa ni roho ya uongo ya shetani. Imeingia kiasi kwamba hata hatuoni Roho Mtakatifu akituongelesha kuhusu namna dhambi za vizazi Kwa vizazi zilivyosababisha kufika tulipo leo.
Tunapaswa kutubu Kwa akili ya wazazi wetu, babu na bibi zetu na makufuru waliyoyafanya wakamchukiza YHWH. Tumepewa Yesu ili atupe mwanga lakini twapasa kuamini. Na kumtafuta Kwa bidii na kumpenda kuliko kitu chochote kile.
Upo sahii kabisa ndugu..MPENDE MUNGU WAKO KULIKO CHOCHOTE KILE NA UMUWAZE MASAA 24...NAE ATAKULINDA KWA LUNDO LA WALINZI NA BARAKA ZA KIMWILI NA KIROHO
 
Mungu ni MMOJA, na YESU ndilo JINA lake tulopewa WANADAMU.

Aaminiye, ATAOKOKA. Na bila huyo, sahau Mbingu au peponi.

Ni Jehanum direct kama hujamwamini Yesu.

Amen
Mkuu thank you so much😊 umefanya nijisikie amani moyoni, natamani watu walijue hilo wakristo wengi wamefungwa na ukweli huu! Haswa kwenye utatu mtakatifu! Hawaelew Mungu ni nan kabisaa, Asante kwa kuwa unajua tujitahidi kuwaeleza watu wengi zaidi
 
Yesu ni roho ya Mungu na imetoka kwa Mungu mkuu.Kiroho anajulikana kama mwana wa mmiliki na kiongozi wa walokole,,ambapo kiroho walokole ni washirika wa Mungu mkuu
 
Unapotoka,

Roho mtakatifu ndiye aliyeandikwa katika kitabu kitakatifu mwenye KIBALI Cha kuomba na WATAKATIFU, kuwaombea Kwa kuugua WATAKATIFU.

Na Roho mtakatifu ndiye ROHO wa YESU kristo.

Kitabu kitakatifu hakiturususu kuwaomba Malaika au viumbe wa Mbinguni kutuombea zaidi ya Roho MTAKATIFU ambaye ni ROHO wa kristo..

Sala ya kuomba uombewe na Bikra maria ni ABOMINATION au makufuru.
nashukuru kwa mafunuo
 
Agano Hilo ni mwenge. Ii Tanzania ifunguke lazima life. Namshukuru Yesu nilianza kuuchukia toko sijui mwenge ni nini. Sijawahi kwenda kuushuhudia. Kwa Hilo namshukuru Mungu. Kuhusu Maria na watakatifu wore wakatoliki wanaowasalia ni uongo mtupu. Hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu kuokolewa kwako isipokua jina la Yesu mwana wa Mungu aliye hai milele na milele. Mimi hii aliiondoa yeye mwenyewe ndani yangu. Maana nimekua nikiwa mkatoliki.
Nilichogundua shetani ameingia kwenye kanisa la Mungu akajibadilishia vitu vingi sana. Mungu kama alivyomwambia Elia ana watu wengi wasiopiga goti kwa baali wala kumsujudia baali. Hata sasa anao wateule wake katika nchi. Ndio aliofanya nao agano Kwa dhabihu. Kuna siku ataingia duniani kuwafuata.
hili nalo la mwenge nimelisikia mara kadhaa ila sijawahi kupata taarifa kamili kutoka kwa watu wa rohoni (NURU/giza)
 
Back
Top Bottom