Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #961
Kuna hofu ya kukosa amani kabisa...Hapo sio sehemu salama moyoniSwali la ufahamu mkuu
Ukiwa unakutana na mtu roho yako inshtuka kwa hofu huwa inamaanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hofu ya kukosa amani kabisa...Hapo sio sehemu salama moyoniSwali la ufahamu mkuu
Ukiwa unakutana na mtu roho yako inshtuka kwa hofu huwa inamaanisha nini?
Umeongea sahii mkuu....Kuna vitu sivijui na mimi najiona kabisa nahitaji kuvijuaMungu akufungulie umjue zaidi, kuna kitu bado hujakijua kuhusu Mungu na ukikijua utashangaa snaa
Hilo angeulizwa sheikh Yahaya wa magomeni dar es salaam!!!Kwa sasa ni marehemu ila ni mmoja ya watu ambao wangetoa majibu sahii kuhusu mwengehili nalo la mwenge nimelisikia mara kadhaa ila sijawahi kupata taarifa kamili kutoka kwa watu wa rohoni (NURU/giza)
Kuna watu wawili kila nikikutana nao roho inashutuka tena kwa hofu mpaka nahisi labda kuna tatizoKuna hofu ya kukosa amani kabisa...Hapo sio sehemu salama moyoni
Bas kiroho hapo kuna kitu ila ww upo kimwili hukioniKuna watu wawili kila nikikutana nao roho inashutuka tena kwa hofu mpaka nahisi labda kuna tatizo
[emoji120][emoji120][emoji120] huwa mmoj anapenda sana waganga mwingine tumepakana kibiasharaBas kiroho hapo kuna kitu ila ww upo kimwili hukioni
Watu wanaopenda wagangahawana tofauti na wachawi na ni maadui wa walokole[emoji120][emoji120][emoji120] huwa mmoj anapenda sana waganga mwingine tumepakana kibiashara
Hii habar ipo kwenye kitabu kinachoitwa ENOCH ama Enoki kwa kidwahili! Nilivyosoma sura za mwanzoni zimeelezea kwa undani jinsi walivyowataman binadamu na kuwashawishi kulala nao na kuzaa nao watoto, na hasira ya Mungu ikawaka juu yao na kuangamiza kabisa kizazi chao chote, nitanakili SURA YA 13 ya kitabu cha ENOCHHilo kwa kweli sijui mkuu na sipendi nidanganye ila nachojua ni kua huyo Azazel amefungwa kwenye shimo jangwani toka enzi za mtu aitwaye Enoko muajemi wa mespotamia ambaye wanajimu wanajiuliza alikua binadamu au mwana wa kiungu.Na sababu ya Azazel kufungwa ni kwamba aliwashawishi wana wa kiungu wazae na wanadamu kwa kutumia uchawi na unajimu wa elimu ya anga.Na wakawafundisha binadamu elimu ya kiungu ambayo ni unajimu na uganga hasi.Hivyo mmliki wa wamiliki namaanisha Mkuu wa wakuu akamfunga yeye pamoja na wenzie na akavipoteza taratibu kizazi baada ya kizazi,vizazi vyao wote (AZAZEL NA WENZIE) walivyozaa na wanadamu
Nilisoma hicho cha Enoch kitabu kupitia masonic theory na ninawashauli msikisome kupitia masonic theory au masonic Bible sababu kuna madhara makubwa ya kiroho na kimwiliHii habar ipo kwenye kitabu kinachoitwa ENOCH ama Enoki kwa kidwahili! Nilivyosoma sura za mwanzoni zimeelezea kwa undani jinsi walivyowataman binadamu na kuwashawishi kulala nao na kuzaa nao watoto, na hasira ya Mungu ikawaka juu yao na kuangamiza kabisa kizazi chao chote, nitanakili SURA YA 13 ya kitabu cha ENOCH
Sura 13
- Henoki akaondoka, akamwambia Azazieli, Hakuna amani kwako, hukumu kubwa imekuwa alitamka dhidi yako. Yeye atakufunga;
- Hautawahi kuwa na ufumbuzi wowote, wala huruma, wala maombezi, kwa sababu ya unyanyasaji uliofundisha.
- Na kwa sababu uliwafundisha watu kumkasirikia Mungu, kutenda dhambi na kuwatia nguvu kama hiyo.
- Nami nikamwendea, nikasema habari hiyo kwa wenzake wote wa uhalifu wake;
- Nao wakaogopa, wakamatwa na tetemeko la kutisha;
- Nao waliniomba niwaandike kwa ajili ya msamaha wa wao makosa; waliniomba nikitume kwenye kiti cha enzi cha Mungu wa mbinguni, kwa maana hawakutetemeka kumtaja, au hata kuangalia juu mbinguni, kwa sababu ya uhalifu mkubwa ambao walikuwa nao wamejaribiwa.
- Kwa hiyo niliandika maombi ya unyenyekevu juu yao, ili kuwafanya wapate kupumzika na huruma kwa kila kitu walichofanya.
- Kisha nikawaacha, na kuendelea na njia yangu, wakati wa kusoma ombi lao, kuelekea maji ya Danendan, ambayo ni magharibi ya Armon, na nikalala.
Hizo habar ni za kwel ndugu yangu! Amini mtaokolewa, utafiti wa huyu jamaa hauna chai kabisa, naamin ni Mungu anaongoza haya tujifunze.
Baada ya kupata kitabu cha Enoch sijaruhusiwa kukigawa kwa kila mwanadamu bila kuongozwa na Roho ya Mungu, hivyo sitakigawa popote samahanini sana🙏🏽
Naunga mkono HOJA.Nilisoma hicho cha Enoch kitabu kupitia masonic theory na ninawashauli msikisome kupitia masonic theory au masonic Bible sababu kuna madhara makubwa ya kiroho na kimwili
Yes kwanza hakiruhusiw kumilikiwa na watu wengi dunian hata upatikanaji wake ni wavificho sana, na siruhusu kukutoa kwa watu wote wabaya na kama humjui Mungu sikupi hata uniuweNilisoma hicho cha Enoch kitabu kupitia masonic theory na ninawashauli msikisome kupitia masonic theory au masonic Bible sababu kuna madhara makubwa ya kiroho na kimwili
Unamaanisha nini?Nilisoma hicho cha Enoch kitabu kupitia masonic theory na ninawashauli msikisome kupitia masonic theory au masonic Bible sababu kuna madhara makubwa ya kiroho na kimwili
Nikutanishe nao hao watu mkuuWale watu wa afrika ya kati hawarogi bali wanafundisha uchawi,,,,wanaoroga ni watu wengine kabisa na hiyo ni story nyingine kabisa ila ulimwengu wa nuru ya jua hawalogi kabisa.
Aisee.Mungu wa walokole ni tofauti kabisa na Mungu wa waislamu na hawana ushirika sababu Mungu wa walokole ana utaratibu wake tofauti kabisa!!!Na katika anga zote mmliki Mkuu ni ALFA NA OMEGA.Mungu wa waislamu ni roho kinzani iliyojipachika hadhi ya uungu ila inamuogopa Mungu wa walokole!!!!UKITAKA KULITHIBITISHA HILO WATAFUTE WALE WATU WAREFU WASIOAKISI MWANGA WA JUA NA WASHIRIKA WA WANAJIMU NA WAGANGA NA WANAOABUDU ROHO YA MASHARIKI NA MALIKIA WA ANGA KWA ALAMA YA NYOTA NA MWEZI WATAKUELEZA ILA USITHUBUTU KWA HALI HIYO KULITAJA JINA LA MKUU WA WALOKOLE MBELE YAO MTAGOMBANA.AU TOKA NJE YA MWILI AFU TAJA HAYA MANENO YA KILATINI ALFA NA OMEGA
NB: AU UTAJE MANENO YA KIARABU YA SURA ZA MWANZO ZA KITABU CHA AL ASIF WATAKUJA ROHO ZA WAABUDU NYOTA NA MWEZI KUTOKEA MASHARIKI MWA DUNIA CHINI YA MALKIA WA ANGA NA KUKUAMBIA KUHUSU MUNGU WA WALOKOLE HUYU NINAEMZUNGUMZIA HAPA
Masonic wanavyo na walipewa na FALLIN ANGELS na nakala zake zipo nyingi tu forgotten books archives.!!!Unaweza kupakua vitabu vinavyoitwa FALLEN ANGELS & ENOCH.Yes kwanza hakiruhusiw kumilikiwa na watu wengi dunian hata upatikanaji wake ni wavificho sana, na siruhusu kukutoa kwa watu wote wabaya na kama humjui Mungu sikupi hata uniuwe
Nimeokoka now daysNikutanishe nao hao watu mkuu
Asante sana hiki cha ENOCH kinanitosha kiiman kwa sasa kwa sababu sina nguvu za kukinzana nazo maana nipo kwenye utafit wa kujua mema na mabaya, na ninaomba Mungu aniongoze niyajue, kuna kipindi nilichanganyikiwa sana nikawa naenda msikitini kuswal nikimtafuta Mungu kimya kimya aiseee wale watu wanaishi dunia yao pia, wananidu na kuamin vya kwao nilikuwa naona tofaut sana, ukidadis vitu bila roho wa Mungu unapotea mazimaMasonic wanavyo na walipewa na FALLIN ANGELS na nakala zake zipo nyingi tu forgotten books archives.!!!Unaweza kupakua vitabu vinavyoitwa FALLEN ANGELS & ENOCH.
Lakini viepuke vile vitabu vyenye michoro ya fallen angels sababu ni hatari sana kiroho
Mbona umekitukuza ,Sana hicho kitabu Agano la kale Cha EnochYes kwanza hakiruhusiw kumilikiwa na watu wengi dunian hata upatikanaji wake ni wavificho sana, na siruhusu kukutoa kwa watu wote wabaya na kama humjui Mungu sikupi hata uniuwe
UBATIZO SAHII NI ULE WA ROHO WA MUNGU AFU KIMWILI NI ULE WA MAJI MENGI UNAZAMISHWA KAMA MAELEKEZO YA WALOKOLE YALIVYO WAZI KIROHOJe, ubatizo upi ni WA kweli,
Ubatizo WA maji kidogo au ubatizo WA maji mengi wenye kuuzamisha mwili wote???
Na ,
Je ubatizo upi kati ya ubatizo WA Baharini au ubatizo WA mtoni ni sahihi,
Maana ufunuo yule mwanamke alizungukwa na bahari Yaani bahari Roho za watu wake yule mwanamke muovu,
Je, sisi hivi Leo ni luksa kuzamishwa Baharini kiubatizi WA maji,
Na Kuna watu hukupotezea ubatizo WA maji ,husema ubatizo WA moto tu,ubatizo ni mmoja tu ule WA moto,
Wakati yesu alisema ubatizo ni wa maji na moto,