Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Hata ukiwa hivyo uaminivyo siyo SAWA bado!!

Mtu ameishi KWA dhambi miaka 85 au 90 afe halafu akachomwe milele YAANI hakuna mwisho bila kupewa nafasi tena!jioni huo ni ukatili sana usio na kipimo!!?

Umeishi miaka 70-80 halafu kuchomwa milele halafu Mungu awe mwenye haki na wanadamu tumuone hivyo!!?

Kuna kitu HUWA tunaogopa kusema KWA sababu ya hofu kwamba kama mambo ndio hayo basi Mungu ndio mkatili zaidi kwa sababu yeye ndio muumba wa vyote yaani wema na ubaya na moto haya shetani ni project yake Mkuu!!!

Yaani mkatili mkuu ni yeye mwenyewe muumba shetani anasingiziwa kwani yeye ni kiumbe kama WEWE na Mimi na aliumbwa na udhaifu wake ambao aliuonyesha kia anao nao ni kupenda madaraka!!!

Kwanini tusiwe wakweli!!?kuwa Mungu anaeandikwa na vitabu vya dini ndio katili ZAIDI LABDA kama yupo MWINGINE LAKINI huyu wa kuchoma watu milele wakati wameishi miaka haya mia haifiki mbona anatisha!!!?

Acheni yoga semeni kweli muwe huru!!!

Maoni huru haya kabisa na uelewa huru kabisa sio wa kushikiwa!!
MUNGU aliweia kanuni binadamu yapaswa kuzifuata
 
Hakuna cha mlokole wala nani.

Mnayajua madhara lkn ya kufanya Tahajudi(meditation) ama mnaiga tu tamaduni za watu.

Haya mambo hayakuwai kuwepo Africa kabla ya ujio wa ukolon.

Ulokole ni kitawi cha ukristo, pia uislam kama ulivyo tawi la ukatoric, kiujumla hizi dini zinamilikiwa na kiumbe kimoja ambacho viongoz wenu wa dini hawatak kuwaambien ukweli.

Chunguza vizuri hao viumbe mnaowaona mara nyingi huakisi mionekano ya watu weupe, wazungu, watu wa Asia lkn hutoona viumbe hao wakiakisi mionekano ya watu weusi kwanini?.

Kama walivyowaaminisha Yesu ni mzungu+mtu mweupe, pia manabii na mitume walikuwa weupe the same way hata huko mbinguni wanawaaminisha kuna malaika weupe, kwanini hakuna mweusi?

Majibu utayapata ni kuwa, mtu mweusi/muafrika kabla hajatawaliwa kimwili, alitawaliwa kiroho na viumbe mashetani ambao wako wa kila aina lkn wote RACE YAO NI hao hao watu weupe(aliens), ndipo utawala kimwili wa watu weupe ukafuata afrika na kutuaminisha kuhusu biblia&quran ikihusisha wahusika wa maeneo yao tuu(hii ni akisi ya viumbe vilivyotawala watu weusi kiroho)

Nisiwachoshe kiufupi yule mnaemuita Mungu ndie yule yule shetan anaetawala dunia kupitia mifumo ya kiimani(dini zote), kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Kiimani anatawala kupitia washirika wake ama wafuasi wake wa cheo kidogo(mashetani wadogo) ambao ndio wawakilishi wa dini ama Miungu inayotumika kuabudiwa na dini zenu, ndiomaana dini zote zina majina tofaut tofaut ya Miungu wao na stori tofaut lkn nyuma ya pazia wanamtumikia Kiumbe mmoja, yaani nyuma ya huyo mnaemuita Yesu+Yehova, Allah, kuna master ambaye ndie shetan anawaongoza hao Miungu wenu jinsi ya kuwacontrol kiroho.

Majini, malaika hawa wote ni majeshi ya kiroho ambayo hufanya kazi kulingana na imani na dini fulani.

Majeshi wa dini ya ukristo ni tofaut na majeshi wa dini ya uislam the same way kwa wabudha, waabudu mizimu, marastafali, na washirikina.

Majeshi yote hayo hutofautiana viwango vya nguvu na uwezo wa kumtumikia mwanadamu.

Majeshi hao wote wanatoka ktk uzao mmoja wa Aliens akiwepo shetan, ambapo pia majeshi hawa hawa kimwili ndio waliosababisha mchafuko wa Jamii za kibinadamu kwa kuleta Utofauti wa Rangi.

Hapo mwanzo Rangi ya watu ilikuwa ni moja tu, lkn baada ya ujio wa Aliens(mashetan) kuzaa na hawa watu wa Asili(watu weusi) ndipo ukaibuka uzao chotara wa hao watu weupe, pia uzao wa wanyawama machotara, pia hapa ndipo likaibuka zao jipya la mashetan chotara yaan mapepo ambao ndio hao majini na vibwengo,

Haya matukuio yalitokea hapa hapa dunian na kuna shahidi nyingi kihistoria na kibaolojia, pia shahid za nakala za matukio haya zipo.

Kwakumalizia, wale mnaoita malaika ktk ulokole ni Uzao wa mashetan ambao kinuru hujiita malaika, the same way kwa wale majin wanaojihusisha na ukatoric pia uislam,

Mungu wa dunia hii si mmoja bali wako wengii sana kila dini ina Mungu, na Miungu wote hawa wako chini ya Shetan mmoja wa Alien waliofukuzwa ktk Ulimwengu wa Viumbe vya rohon ambako ndiko hata mtu mweusi asili yake yatoka huko.

Maajabu Hizi habari hautofundishwa ktk makanisa wala misikiti maana hawa wote wanadini ndio walioiba story hizi wakaziEdit na kuunda mifumo ya dini zao za kipuuzi zinazomuabudu shetan kwa kificho.

Amkeni jamani dini zote ni Ujinga na uongo mtupu
Big nooo
 
Naomba ulijibu kiroho swali hili,

Kwanini , walokole hawako juu kiteknolojia yaani kuvumbua vitu kama jamii ya waovu freemasons,
Je ni kwanini waafrika maskini na hawajawai vumbua makubwa duniani na wakati projects kubwa zote Duniani ni mzungu,

Hujawai kuona huko Rohoni vyuo vya Elimu za Siri za sayansi
 
Mmh hapa nakupinga.

Michael Faraday, mgunduzi wa Electromagnetism alikuwa mlokole wa Kanisa la Uingereza.

Louis Pasteur alikuwa Mkristo aliyempenda Yesu.

Isaac Newton alikuwa msomi mkuu wa Biblia na aliisoma kitabu cha Daniel kwa miaka 42, ila alikengeuka alipozeeka.
 
Naomba ulijibu kiroho swali hili,

Kwanini , walokole hawako juu kiteknolojia yaani kuvumbua vitu kama jamii ya waovu freemasons,
Je ni kwanini waafrika maskini na hawajawai vumbua makubwa duniani na wakati projects kubwa zote Duniani ni mzungu,

Hujawai kuona huko Rohoni vyuo vya Elimu za Siri za sayansi
Wapo walokole Mungu anawatumia kufanya ila uvumbuzi.
 
Naomba ulijibu kiroho swali hili,

Kwanini , walokole hawako juu kiteknolojia yaani kuvumbua vitu kama jamii ya waovu freemasons,
Je ni kwanini waafrika maskini na hawajawai vumbua makubwa duniani na wakati projects kubwa zote Duniani ni mzungu,

Hujawai kuona huko Rohoni vyuo vya Elimu za Siri za sayansi
Waafrika walichelewa kumjua Mungu ndo maana uvumbuzi ukawa wa kawaida.
Fatilia , ugunduzi ulianza rasmi kwa Wazungu walipomtambua Mungu wa Walokole kama Mungu wao na kuweka sheria za nchi zifanane na za Biblia. Uvumbuzi ulianza Karne ya 16, ikaenda mpaka 18.
 
Hivi Kuna malaika wa MUNGU wanaokuja duniani wamevaa mwili kama sisi binadamu ,size sawa ya miili na wameajiriwa maofisini na Wana nyuma zao mitaani walizo Jenga,

Wanakula chakula nasi, tuna pishana nao Kwa kusalimiana tu , tukidhani ni binadam kama sisi,

Au , malaika wanaishia rohoni tu wanapokuja duniani,
 
Waafrika walichelewa kumjua Mungu ndo maana uvumbuzi ukawa wa kawaida.
Fatilia , ugunduzi ulianza rasmi kwa Wazungu walipomtambua Mungu wa Walokole kama Mungu wao na kuweka sheria za nchi zifanane na za Biblia. Uvumbuzi ulianza Karne ya 16, ikaenda mpaka 18.
Vema,

Uzuri ,kupitia Uzi juu tumejitambua walokole ni watu wa aina Gani rohoni ni wakuu na watawala na walio barikiwa,

Niwakati ,WAKUJA NA TEKNOLOJIA NA VITU VIKUBWA,
 
Waafrika walichelewa kumjua Mungu ndo maana uvumbuzi ukawa wa kawaida.
Fatilia , ugunduzi ulianza rasmi kwa Wazungu walipomtambua Mungu wa Walokole kama Mungu wao na kuweka sheria za nchi zifanane na za Biblia. Uvumbuzi ulianza Karne ya 16, ikaenda mpaka 18.
Halafu Kuna Kitu kimenijia nakiwaza,

HUWENDA BARAKA ZOTE KUBWA MNO TULIZO BARIKIWA ,HUWENDA TUKAWA TUME ZITUMIA KWA KIWANGO CHA KIASI CHA
0.0000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000001%

NA KAMA TUNAVYOJUA BARAKA ZAKE HAZINA KIPIMO NA HAZIELEZEKI ,

MAANA JUMLA YA BARAKA ZOTE ZA MUNGU ZIKO KATIKA ROHO WAKE MTAKATIFU,

HIVYO KUSHINDWA TUMEJITAKIA,
 
HIVYO KUSHINDWA TUMEJITAKIA ,

WAKATI NGUVU YA UWEZA WA UTENDAJI WOTE KATIKA MAMBO YOTE TULISHA PEWA ROHONI ,

KUANZIA LEO WALOKOLE TUTOKE KATIKA FIKRA ZA KUJIONA SISI NI PANZI SISI SI CHOCHOTE MBELE ZA WAKUU WA DUNIA MAFREEMASONS NA WENGINEO ,

HAKIKA TUMEBALIKIWA, HUITAJI BARAKA ZA KUPAKWA MAFUTA YA HAWA WATUMISHI FEKI NA MAJI YAO YA KUUUZA ,

MTAKENI ROHO MTAKATIFU NI BARAKA TOSHA,

BAADA YA KIUMPATA SASA KAMA WEWE NIMKULIMA DOLI NA UKULIMA HUKO HUKO ROHO MTAKATIFU ATAKUFUNZA MENGI,

KAMA NI MWANASAYANSI NA TEKNOLOJIA HUKOHUKO AMBAA NAKO NAE ATAAMBAA NAWE KWENYE SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA KUKUFUNZA MENGI YA STAABISHAYO.
Uko sahihi...tajiri namba Moja duniani mfalme Suleiman alibarikiwa na Mungu...yeye ndo tajiri wa kwanza na WA mwisho kutokea duniani.... biblia inasema hatakuja kutokea tajiri kama yeye ...
 
Back
Top Bottom