Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

HAWAMTAJI YESU KWA IMANI BALI KWA MAIGIZO NA WANAMUABUDU ROHO OVU ASIYE NA UUNGU MKUU NA ALIYEJIPACHIKA CHEO CHA UUNGU
 
Mungu akulinde na kuku tangulia ndugu..
 
Tengeneza na Mungu wako na kua na imani nae.Walokole hulindwa kwa imani
Unapozungumzia Imani ,unazungumzia matendo,


Maana ni pacha,Imani na matendo vinamuungano,

Hivyo,
Unaposema walokole wanalindwa Kwa Imani, hio kiroho maana Imani HAIONEKANIKI ni ya kirohoni, Sasa Kwa lugha nyingine tunasema ,Katika mwili wanalindwa Kwa matendo,


Kiroho= Nguvu ya Ulinzi ni Imani,
Kimwili= Nguvu ya Ulinzi ni matendo.

Kiroho= Uhai wa Imani ni matendo,Ili Imani iendelehe kuwepo rohoni ,Ili huko Rohoni uendelehe kulindwa ,Huyo Imani anamtegemea matendo h
 
Imani, Imani, Imani.

Naona imetajwa Sana ,kwenye mada,

Mimi nimepokea ,ujumbe wa kivuvio wa ki Mungu ,

Ninaita uvuvio ,sababu haya nayo yahandika ,sikupanga na hata Mimi sikuyajua ,

Nimeshangaa ,maana hata Mimi najifunza pia Kwa nilichokiandika hapa mwenyewe, nimeandika kitu ambacho hata Mimi nilikuwa najiuliza,

Kuwa baraka zinatokaje rohoni kuja mwilini

Kiufupi ,
Rohoni ni Imani
Mwilini ni matendo

Rohoni ni Ulimwengu wa Imani
Mwilini ni ulimwengu wa matendo,
,
Ni kama Duniani yaani mwilini tumekuja kutenda Mapenzi ya Mungu ,matakwa yake sio yetu ,

Details;-

Unapozungumzia Imani ,unazungumzia matendo,

Maana ni pacha,Imani na matendo vinamuungano,

Hivyo,

Unaposema walokole wanalindwa Kwa Imani, hio kiroho maana Imani HAIONEKANIKI ni ya kirohoni, Sasa Kwa lugha nyingine tunasema ,Katika mwili wanalindwa Kwa matendo,



Kiroho= Ili ulindwe kiroho inategemea Imani ,maana Imani ni ya Rohoni na ndio Nguvu ya Ulinzi rohoni ni Imani,

Kimwili=Ili ulindwe mwilini Ulimwengu wa nyama unaoonekana ,maana na huku mwilini tuna mahadui ,wakimwili ,Tena Kuna wengine wametika rohoni na kutufuata hata mwilini yaani Ulimwengu wetu wa Mwili ndio hao majini ,Sasa Nguvu ya Ulinzi huku mwilini ni matendo. Maana matendo ni ya huku mwilini na ndio Kinga Yako huku mwilini ,

Yaani

Ili uwe na ulinzi Roho ulinzi huo unaitegemea uwepo wa Imani,ambayo nayo Imani ya Rohoni inaitegemea Matendo ya huku mwilini Ili iwe hai,

Maana Imani ni ya kiroho eneo lake linakaa rohoni na ndio mazingira yake ,na makazi yake Imani ni rohoni ,Ila yenyewe matendo mazingira yake na makazi yake ni mwilini ,

Sasa Ili kule rohoni imani ana mtegemea matendo wa huku mwilini kama nguvu ya uhai wake kule rohoni ,

Ili Huyo Imani awepo kule rohoni ,awe na uhai,

Ni Kwa wewe kutenda matendo huku mwilini kule rohoni Imani anakuwa hai ,

Maana OKSIJENI YA UHAI WA IMANI HUKO ROHONI NI MATENDO YA HUKU MWILINI,MAANA IMANI KULE ROHONI HANA UHAI WALA UJANJA KAMA HUKU MWILINI HAKUNA MATENDO BASI KULE ROHONI NDIO UNA MUHUWA IMANI NA KUMKATIA HEWA YAKE YA ROHONI NI MATENDO YA HUKU MWILINI NDICHO IMANI ANACHOBKITEGEMEA, BILA HEWA YAKE AMBAYO NDIO MATENDO HUKU MWILINI KULE ROHONI IMANI ANAKUFA,

NA OKSIJENI YA UHAI WA MATENDO HUKU MWILINI INATEGEMEA UHAI WA KULE ROHONI YAANI KUWA NA IMANI ROHONI ,
MATENDO HUKU KATIKA MWILI SIKITU YATAKUWA SAWA NA MAHITI YAANI HAYAHESABIKI NA MATENDO HAYO YATAKUWA HAYANA UHAI KAMA HAYANA UHAI YAANI KAMA HAYAENDANI NA IMANI TULIOONGOZWA KUIFUATA, UKIKOSA IMANI ROHONI,MATENDO HAYO NI MFU HUKU MWILINI ,

MFANO UNAPAMBANA KATIKA MWILI KUWA MWANASAYANSI MKUBWA KUJA NA TEKNOLOJIA KUBWA HALAFU ,IMANI YA KUWA HIVO HUNA YAANI,MAANA IMANI KULE ROHONI IMEKUFA ROHONI HIVYO HUKU MWILINI MBIO ZOTE ZA KUFANYA MAKUBWA ZINAPATA UPINZANI WA KIROHO MAANA ULINZI WA HILO UNALO LIPAMBANIA HUKU MWILINI ,
LIMEKOSA ULINZI WA KULE ROHONI,
JAPO HUO NI MFANO TU WAKIMWILI ,

SASA ILI UFANIKISHE AU UFANIKIWE ,LAZIMA UWE NA IMANI AMBAYO ITAISAPOTI IMANI YAKO HUKO ROHONI YA KUJA KUFANIKIWA HUKU MWILINI ILI MATENDO YAKO YA HUKU MWILINI YALINDWE, MAANA ROHONI UNA UZIMA WA HAYO MATENDO UNAYO YAFANYA KATIKA MWILI AMBAO NGUVU YA UZIMA WA MATENDO HAYO NI ILE IMANI,

IMANI YAKO INATAKIWA ISAPOTIWE NA IMANI KUU

AMBAYO NDIO UZIMA WA IMANI ULIONAYO,

YAANI , NENO LA MUNGU INA NGUVU YA KUZALISHA IMANI. MAANA CHANZO CHA IMANI YETU NI NENO LA MUNGU.

Kiroho= Uhai wa Imani ni matendo,Ili Imani ihendelee kuwepo rohoni ,Ili huko Rohoni uendelehe kulindwa ,Huyo Imani anamtegemea matendo huku Katika mwili,Sasa kule rohoni ndio unalindwa,


Mwilini= Ili ulindwe mwilini ,Ina tegemea Matendo, maana matendo yanaonekana hivyo matendo Yako mwilini , na utachotenda kitategemea na ufahamu wa Imani inakuelekeza ufanye Nini ,Ili nayo hayo matendo huku mwilini yasife ,ukakosa ulinzi na kibali Cha Mungu ,


Uhai wa matendo mwilini inategemea uhai wa Imani rohoni ,na uhai wa Imani rohoni unategemea uhai wa matendo mwilini , na

Uhai wa ulinzi rohoni unategemea Imani Yako rohoni,na uhai wa ulinzi mwilini unategemea na matendo Yako mwilini,Ili ulinzi uwepo,




Sasa ,

Kwenye Upande wa Baraka,

Nimepokea mafunuo hapa ni hivi


Imani =roho

Matendo=mwili


Imani= Kugundia Teknolojia kubwa,hio unaipokea rohoni ,Sasa Ili hio Imani ije mwilini,

Inaitegemea Matendo ya Mwilini ya kiugunduzi wa Teknolojia mpya,


Matendo= Matendo ya utafiti wa kiugunduzi wa Teknolojia mpya,
(
Mfano,Unapokea Wazo LA kiugunduzi ,litalokushugulisha kulitafiti)

Unajishugurisha na Kazi za utafiti wa kiugunduzi wa Teknolojia mpya,

Career:TECHNOLOGY DEVELOPER,

FOCUS: IWE "RESEARCH AND DEVELOPMENT SCIENTIST OR TECHNOLOGIST "



Sasa ,baraka ya Mungu ,ni sawa na kibari Cha Mungu ,Katika utafiti huo MUNGU ANAACHILIA WAZO JIPYA LA KIUTAFITI AMBALO SIO TU JITIADA ZAKO ,
Au Anatanguliza Wazo ambalo utalishughulikia KIUTAFITI,

MAANA HAKUNA ANAESEMA LINIJIE WAZO FURANI ,WAZO LOLOTE JIPYA LINAKUJA SIO KWA MAAMUZI YA MTU ,


,WAZO PIA NI ROHO NDIO MAANA MTU ACHAGUI WAZO ,ILA WAZO HUJA LENYEWE TU,


NA MUNGU KWA KUWA NI ROHO HUJIBU KIROHO HIVYO NJIA NZURI YA BARAKA HIZO LINAPITA KWENYE WAZO,


IMANI= ROHONI; UNAPOKEA, WAZO AU MAWAZO YA KITAJIRI

MATENDO= MWILINI; MATENDO YANAYOHUSU KUUTAFITA UTAJIRI,MATENDO YA KUTENDEA WAZO LILE LA KITAJIRI,


UKIISHI KIMwiLI ,UTAISHI KUTESTI KILA WAZO ,ILA UKIISHI KIROHO UTAPOKEA WAZO TOKA KWA MUNGU NA YAKUPASAYO KUFANYA KATIKA MWILI YAANI MATENDO MWILINI.



NGOJA NIIDHIE HAPO ,

Tukumbuke,
Chanzo Cha kuumba Imani zetu ni Neno lake ,
 
Yeah upo sahii matendo hujenga imani
 
Mkuu umefafanua vizuri sana
 
Mkuu umefafanua vizuri sana
Hivi ,hapo rohoni ikitokea Nini mpaka nimepata ujumbe huo ,

Maana sijui ,nimejikuta nimepata tu kuandika vitu ambavyo hata sijui vilikuwa wapi muda wote kichwani mwangu,

Hapo Ndio mwana wa mmiliki kaniambia au Mmiliki mkuu ndio kaongea na Mimi au ni malaika , hapo ni nani kati ya hao ksnipa ujumbe huo

????????????????
 
Inatokea tu unakua kiroho na unajikuta unaandika vitu vya kiroho.
Hata mimi mada nyingi ninazoandika humu JF waga kuna roho inanipa hamasa ya kuandika hivyo.
Ulichoandika ni ukweli na ukweli ndio alama ya Mwana wa mmiliki
 
Inatokea tu unakua kiroho na unajikuta unaandika vitu vya kiroho.
Hata mimi mada nyingi ninazoandika humu JF waga kuna roho inanipa hamasa ya kuandika hivyo.
Ulichoandika ni ukweli na ukweli ndio alama ya Mwana wa mmiliki
Ukiwaambia watu Imani , umezungumza kiroho nao,

Ikizungumzia matendo umezungumza nao kimwili ,

Sasa kwakuwa mada zako ni za Rohoni , uko sawa unapo waambia rohoni ni kuishi kiimani , Ili kimwilini waishi kimatendo
 
Huyo ni roho mtakatifu anakupa hayo mafunuo ni mojawapo ya kazi zake unakua unaskia neno linakujia kichwani roho mtakatifu ndo analeta uo ufahamu.....Kuna muda unaweza ukawa unapitia situation flani gafla Andiko linakujia akilin ambalo linaendana na situation yako unaomba na mambo yanakua vizurii.....ukiwa unapendelea kujiweka karibu na Mungu na kupendelea habar za kiMungu hua hali hua inatokea na yatatokea mengine zaidi na zaidi
 
Na ni roho wa Mungu
Lile jibu ndio lime nijia,

Uliposema kuwa ,Unapokea Kwa Imani ,

Maanake kimwili ni sawa na kusema unapokea Kwa kutenda Kwa matendo. Kinaumbika jambo Ilo Katika mwili Kwa matendo ya kile ulichokiamini rohoni,

Kama ni kuja na Teknolojia kubwa mpya ,

Career:Technology Developer,
Technology Researcher & Developer,

Hizo ni baadhi ya fani za kazi ambazo ziko duniani, unaonyesha moyo Kwa kujiusisha na hivyo vitu Kwa Ile Imani rohoni ,basi kwakuwa unajishugurisha nayo mwilini ,basi utagundua kitu kipya ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…