Imani, Imani, Imani.
Naona imetajwa Sana ,kwenye mada,
Mimi nimepokea ,ujumbe wa kivuvio wa kiMungu ,
Ninaita uvuvio ,sababu haya nayo yaanika ,sikupanga na hata Mimi sikuyajua ,
Nimeshangaa ,maana hata Mimi najifunza pia Kwa nilichojuandikia hapa mwenyewe, nimeandika kitu ambacho hata Mimi nilikuwa najiuliza,
Kuwa baraka zinatokaje rohoni kuja mwilini
Kiufupi ,
Rohoni ni Imani
Mwilini ni matendo
Details;-
Unapozungumzia Imani ,unazungumzia matendo,
Maana ni pacha,Imani na matendo vinamuungano,
Hivyo,
Unaposema walokole wanalindwa Kwa Imani, hio kiroho maana Imani HAIONEKANIKI ni ya kirohoni, Sasa Kwa lugha nyingine tunasema ,Katika mwili wanalindwa Kwa matendo,
Kiroho= Nguvu ya Ulinzi ni Imani,
Kimwili= Nguvu ya Ulinzi ni matendo.
Yaani
Ili uwe na ulinzi Roho ulinzi huo unaitegemea uwepo wa Imani,maana Imani ni ya kiroho eneo lake linakaa rohoni na ndio mazingira yake ,na makazi yake Imani ni rohoni ,Ila yenyewe matendo mazingira yake na makazi yake ni mwilini ,Sasa Ili kule rohoni aside ana mtegemea matendo mwilini kama nguvu ya uhai wake kule rohoni ,Ili Huyo Imani awepo kule rohoni Kwa wewe kutenda matendo huku mwilini kule rohoni Imani anakuwa hai ,maana OKSIJENI YA IMANI NI MATENDO MWILINI NA OKSIJENI UHAI WA MATENDO HUKU MWILINI INATEGEMEA UHAI WA KULE ROHONI ,MATENDO HUKU KATIKA MWILI SIBKITU YATAKUWA SAWA NA MAHITI YAANI HAYAJESABIKI UKIKOSA IMANI ROHONI, MFANO UNAPAMBANA KATIKA MWILI KUWA MWANASAYANSI MKUBWA KUJA NA TEKNOLOJIA KUBWA HALAFU IMANI YA KUWA HIVO HUNA YAANI,MAANA IMANI KULE ROHONI IMEKUFA ROHONI HIVYO HUKU MWILINI MBIO ZOTE ZA KUFANYA MAKUBWA ZINAPATA UPIBZANI WA KIROHO MAANA ULINZI WA HILO UNALO LIDANYA HUKU MWILINI ,
LIMEKOSA ULINZI WA KULE ROHONI,
SASA ILI UFANIKISHE AU UFANIKIWE ,LAZIMA UWE NA IMANI AMBAYO ITAISAPOTI IMANI YAKO HUKO ROHONI YA KUJA KUFANIKIWA HUKU MWILINI ILI MATENDO YAKO YA HUKU MWILINI YALINDWE MAANA ROHONI UNA UZIMA WA HAYO MATENDO UNSYO YAFANYA KATIKA MWILI AMBAO NGUVU YA IZIMA WA MATENDO HAYO NI ILE IMANI,
IMANI YAKO INATAKIWA ISAPOTIWR NA IMANI KUU
AMBAYO NDIO UZIMA WA IMANI ULIONAYO,
NAANI , NENO LA MUNGU INA NGUVU YA KUZALISHA IMANI YA KIROHO SASA ,IMANI YAKO MFANO WA MAFANIKIO INSKUTANA NA NGUVU YA IMANI ,HIVYO ILE IMANI YAKO INA VAA ROHO KWA ILE NGUVU YA ROHO NA KUZAA MATENDO YA ILE IMANI KATIKA MEILI YA MAFANIKIO,
LAKINI KILELE CHA MAFANIKIO YOTE NI KIMJUA MUNGU VEMA ,NJE YA HAPO UKIPATA MALI NA MAGARI ,HIO SIO LA KUSHANGILIA MAANA UNAKUWA UMEPOKEA PENGINE UWANGAMIVU WAKO USIPOKUWA MAKINI,
Kiroho= Uhai wa Imani ni matendo,Ili Imani iendelehe kuwepo rohoni ,Ili huko Rohoni uendelehe kulindwa ,Huyo Imani anamtegemea matendo huku Katika mwili,Sasa kule rohoni ndio unalindwa,
Mwilini= Ili ulindwe mwilini ,Ina tegemea Matendo, maana matendo yanaonekana hivyo matendo Yako mwilini , na utachotenda kitategemea na ufahamu wa Imani inakuelekeza ufanye Nini ,Ili nayo hayo matendo huku mwilini yasife ,ukakosa ulinzi na kibali Cha Mungu ,
Huhai wa matendo mwilini inategemea uhai wa Imani rohoni ,na uhai wa Imani rohoni unategemea uhai wa matendo mwilini , na
Uhai wa ulinzi rohoni unategemea Imani Yako rohoni,na uhai wa ulinzi mwilini unategemea na matendo Yako mwilini,Ili ulinzi uwepo,
Sasa ,
Kwenye Upande wa Baraka,
Nimepokea mafunuo hapa ni hivi
Imani =roho
Matendo=mwili
Imani= Kugundia Teknolojia kubwa,hio unaipokea rohoni ,Sasa Ili hio Imani inside ,
Inaitegemea Matendo ya Mwilini ya kiugunduzi wa Teknolojia mpya,
Matendo= Matendo ya utafiti wa kiugunduzi wa Teknolojia mpya,
Unajishugurisha na Kazi za utafiti wa kiugunduzi wa Teknolojia mpya,
Career:TECHNOLOGY DEVELOPER,
FOCUS: IWE "RESEARCH AND DEVELOPMENT SCIENTIST OR TECHNOLOGIST "
Sasa ,baraka ya Mungu ,ni sawa na kibari Cha Mungu ,Katika utafiti huo MUNGU ANAACHILIA WAZO JIPYA LA KIUTAFITI AMBALO SIO TU JITIADA ZAKO ,
MAANA HAKUNA ANAESEMA LINIJIE WAZO FURANI ,WAZO LOLOTE JIPYA LINAKUJA SIO KWA MAAMUZI YA MTU ,
,WAZO PIA NI ROHO NDIO MAANA MTU ACHAGUI WAZO ,ILA WAZO HUJA LENYEWE TU,
NA MUNGU KWA KUWA NI RIHO HUJIBUBKIROHO HIVYO NJIA NZURI YA BARAKA HIZO LINAPITA KWENYE WAZO,
IMANI= ROHONI; UNAPOKEA, WAZO AU MAWAZO YA KITAJIRI
MATENDO= MWILINI; MATENDO YANAYOHUSU KUUTAFITA UTAJIRI,MATENDO YA KUTENDEWA WAZO LILE LA KITAJIRI,
UKIISHI KIMEILI ,UTAISHI KUTESTI KILA WAZO ,ILA UKIISHI KIROHO UTAPOKEA WAZO TOKA KWA MUNGU NA YAKUPASAYO KUFANYA KATIKA MWILI YAANI MATENDO MWILINI.
NGOJA NIIDHIE HAPO ,